Acha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the countryMdude_Nyagali waovu na wala nchi watakusaka Weeknd hii wakukamate kwa kuandika hii habari,wataanza na kusaka drone iliyotumika na kukutaka utoe kibali Cha lurusha drone hiyo.
Tulivyo na Taifa la kishenzi,hawatodili na kuhoji waziri wa Ardhi ama kamishina wa madini mkoa husika. Jiandae wasiharibu pasaka yako
Kazi nzuri kamanda hakika CCM watatumaliza.Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia kwenye huo mgodi baada ya kugundua kwamba mgodi huo uko ndani ya pori la Kizigo Game Reserve lililoko mkoani Singida na hakuna njia wala barabara inayoweza kukupeleka ndani ya mgodi huo. Na pori hilo hilo linalindwa na askari wanaohusika kulinda mapori na hifadhi za taifa.
Kutokana na mazingira hayo timu yetu ililazimika kutumia technology ambayo ilisaidia kujua mambo yafuatayo.
1. Ni kweli mgodi huo uko ndani ya hifadhi au pori la Kizigo Game Reserve lililopo Singida na linaingia mpaka Tabora.
2. Ni kweli kwamba karibu na mgodi huo kuna uwanja wa ndege (airstrip) kilomita 1.3 kama ambavyo technology imetuonyesha pamoja na picha za uwanja huo.
3. Kwa muda ambao timu yetu iliweka kambi ya wiki moja ndege ilitua na kuondoa mara 2. Kwa hiyo kwa wiki ndege hutua na kuondoka mara mbili kwa ajili ya kushusha na kubeba mizigo.
4. Tumejiridhisha kwamba Kizigo Game Reserve pia inapakana na hifadhi zingine mbili Muhesi Game Reserve na Rungwa Game Reserve.
5. Kuna njia zinatoka kwenye huu uwanja wa ndege kwenda kwenye hayo hizo hifadhi za jirani nilizozitaja hapo juu. Hii inaashiria kuwa kuna biashara nyingine haramu ya kusafirisha wanyama Wildlife trafficking katika eneo hilo. Ndio maana kuna njia za kuingia kwenye mapori mengine ya hifadhi katika eneo hilo.
6. Kuna nyumba zimejengwa umbali wa mita 800 kutoka katika uwanja huo wa ndege.
7. Hakuna barabara yoyote inayoingia katika mgodi huo isipokuwa huo uwanja wa ndege ambao sijui kama unatambulika rasmi.
Katika mazingira tuna mashaka kwamba serikali au viongozi wa serikali binafsi wanaweza kuwa wanahusika na biashara haramu zinazoendelea katika eneo hilo. Kwa sababu hizo Game Reserve zina askari wanaozilinda muda wote hivyo ni ngumu serikali kutokujua uwepo wa mgodi huo.
Bado timu yangu inaendelea na uchunguzi ili kupata picha clear lakini na wamiliki wa biashara haramu ndani ya msitu huo pamoja na washirika wake. Tutajua tu kama biashara hiyo wameuziwa wazungu au waarabu na wahusika wenye mamlaka ya kuuza au kukodisha eneo ndani ya nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2946548View attachment 2946549
Inasikitisha. Haiyumkini kweli watafanya hivyo kama kawaida yao lakini tumeshapata walau Taarifa. Mdude songambele tuletee updates ili waumbuke siri imebumburuka sasa.Mdude_Nyagali waovu na wala nchi watakusaka Weeknd hii wakukamate kwa kuandika hii habari,wataanza na kusaka drone iliyotumika na kukutaka utoe kibali Cha lurusha drone hiyo.
Tulivyo na Taifa la kishenzi,hawatodili na kuhoji waziri wa Ardhi ama kamishina wa madini mkoa husika. Jiandae wasiharibu pasaka yako
OK. Basi wewe tuambie ni nini hicho.Wewe una uhakika gani kuwa ni mgodi?
Soma between the line,namjua Mdude na harakati zake,sio muoga,kashapitia uvungu wa mauti mara kadhaa,Mdude ni bora kwa umma na maslahi ya Taifa kuliko Zitto. Nimeandika kaushauri kua watamsaka na kosa la drone licence maana kaandika kwa real name yake na kukili ni yeye,frame ya kwanza kumsumbua ni hiyo,yeye anaweza kujiandaa kwa kuwasiliana na mtu mwenye drone yenye kibali Cha kufanya shughuli fulani zone hiyoAcha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the country
Quote: Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako.Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako. Sehemu x marehemu alikua na mgodi wake kabisa na ulikua ndani ya hifadhi lakini kwenye tv na redio anatupia episode za uzalendo
Mkuu,Kuna vitu vingine ni bora kuuliza kwanza ili uelimishwe.
Kwa kukusaidia ili usiendelee kupuyanga..
1. Nenda Dodoma pale kaulize hiyo/hizo MPL za nani..hakuna uchimbaji/utafutaji wa Madini unafanyika bila kuwa na leseni.
2. Duniani kote, mara nyingi migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi hivyo kutokwepo kwa barabara ni kitu cha kawaida.
3. Kwenye mgodi kuwa na kiwanja cha ndege ni kitu cha kawaida, madini ni Biashara kubwa, uwekezaji wake ni mkubwa.
4. Kuhusu kutokwepo kwa njia za kuunganisha mbuga hizo, hakuna hoja hapo.
5. Fanya utafiti upya, uwe na fact za kutosha ndio uje useme kuna wizi au Madini yanachimbwa bila vibali..yawezekana hata huo mgodi haupo hapo
...... MA'SPY' WA GOOGLE-EARTH!Kuna vitu vingine ni bora kuuliza kwanza ili uelimishwe.
Kwa kukusaidia ili usiendelee kupuyanga..
1. Nenda Dodoma pale kaulize hiyo/hizo MPL za nani..hakuna uchimbaji/utafutaji wa Madini unafanyika bila kuwa na leseni.
2. Duniani kote, mara nyingi migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi hivyo kutokwepo kwa barabara ni kitu cha kawaida.
3. Kwenye mgodi kuwa na kiwanja cha ndege ni kitu cha kawaida, madini ni Biashara kubwa, uwekezaji wake ni mkubwa.
4. Kuhusu kutokwepo kwa njia za kuunganisha mbuga hizo, hakuna hoja hapo.
5. Fanya utafiti upya, uwe na fact za kutosha ndio uje useme kuna wizi au Madini yanachimbwa bila vibali..yawezekana hata huo mgodi haupo hapo
Bado tu unaendelea hiyo project yako mkuu?!.Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako. Sehemu x marehemu alikua na mgodi wake kabisa na ulikua ndani ya hifadhi lakini kwenye tv na redio anatupia episode za uzalendo
Sioni tatizo la hiyo post. Ametoa angalizo zuri ajiandae-ambao ndio ukweli. Sioni akimwambia aondoe postAcha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the country
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia kwenye huo mgodi baada ya kugundua kwamba mgodi huo uko ndani ya pori la Kizigo Game Reserve lililoko mkoani Singida na hakuna njia wala barabara inayoweza kukupeleka ndani ya mgodi huo. Na pori hilo hilo linalindwa na askari wanaohusika kulinda mapori na hifadhi za taifa.
Kutokana na mazingira hayo timu yetu ililazimika kutumia technology ambayo ilisaidia kujua mambo yafuatayo.
1. Ni kweli mgodi huo uko ndani ya hifadhi au pori la Kizigo Game Reserve lililopo Singida na linaingia mpaka Tabora.
2. Ni kweli kwamba karibu na mgodi huo kuna uwanja wa ndege (airstrip) kilomita 1.3 kama ambavyo technology imetuonyesha pamoja na picha za uwanja huo.
3. Kwa muda ambao timu yetu iliweka kambi ya wiki moja ndege ilitua na kuondoa mara 2. Kwa hiyo kwa wiki ndege hutua na kuondoka mara mbili kwa ajili ya kushusha na kubeba mizigo.
4. Tumejiridhisha kwamba Kizigo Game Reserve pia inapakana na hifadhi zingine mbili Muhesi Game Reserve na Rungwa Game Reserve.
5. Kuna njia zinatoka kwenye huu uwanja wa ndege kwenda kwenye hayo hizo hifadhi za jirani nilizozitaja hapo juu. Hii inaashiria kuwa kuna biashara nyingine haramu ya kusafirisha wanyama Wildlife trafficking katika eneo hilo. Ndio maana kuna njia za kuingia kwenye mapori mengine ya hifadhi katika eneo hilo.
6. Kuna nyumba zimejengwa umbali wa mita 800 kutoka katika uwanja huo wa ndege.
7. Hakuna barabara yoyote inayoingia katika mgodi huo isipokuwa huo uwanja wa ndege ambao sijui kama unatambulika rasmi.
Katika mazingira tuna mashaka kwamba serikali au viongozi wa serikali binafsi wanaweza kuwa wanahusika na biashara haramu zinazoendelea katika eneo hilo. Kwa sababu hizo Game Reserve zina askari wanaozilinda muda wote hivyo ni ngumu serikali kutokujua uwepo wa mgodi huo.
Bado timu yangu inaendelea na uchunguzi ili kupata picha clear lakini na wamiliki wa biashara haramu ndani ya msitu huo pamoja na washirika wake. Tutajua tu kama biashara hiyo wameuziwa wazungu au waarabu na wahusika wenye mamlaka ya kuuza au kukodisha eneo ndani ya nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2946548View attachment 2946549
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia kwenye huo mgodi baada ya kugundua kwamba mgodi huo uko ndani ya pori la Kizigo Game Reserve lililoko mkoani Singida na hakuna njia wala barabara inayoweza kukupeleka ndani ya mgodi huo. Na pori hilo hilo linalindwa na askari wanaohusika kulinda mapori na hifadhi za taifa.
Kutokana na mazingira hayo timu yetu ililazimika kutumia technology ambayo ilisaidia kujua mambo yafuatayo.
1. Ni kweli mgodi huo uko ndani ya hifadhi au pori la Kizigo Game Reserve lililopo Singida na linaingia mpaka Tabora.
2. Ni kweli kwamba karibu na mgodi huo kuna uwanja wa ndege (airstrip) kilomita 1.3 kama ambavyo technology imetuonyesha pamoja na picha za uwanja huo.
3. Kwa muda ambao timu yetu iliweka kambi ya wiki moja ndege ilitua na kuondoa mara 2. Kwa hiyo kwa wiki ndege hutua na kuondoka mara mbili kwa ajili ya kushusha na kubeba mizigo.
4. Tumejiridhisha kwamba Kizigo Game Reserve pia inapakana na hifadhi zingine mbili Muhesi Game Reserve na Rungwa Game Reserve.
5. Kuna njia zinatoka kwenye huu uwanja wa ndege kwenda kwenye hayo hizo hifadhi za jirani nilizozitaja hapo juu. Hii inaashiria kuwa kuna biashara nyingine haramu ya kusafirisha wanyama Wildlife trafficking katika eneo hilo. Ndio maana kuna njia za kuingia kwenye mapori mengine ya hifadhi katika eneo hilo.
6. Kuna nyumba zimejengwa umbali wa mita 800 kutoka katika uwanja huo wa ndege.
7. Hakuna barabara yoyote inayoingia katika mgodi huo isipokuwa huo uwanja wa ndege ambao sijui kama unatambulika rasmi.
Katika mazingira tuna mashaka kwamba serikali au viongozi wa serikali binafsi wanaweza kuwa wanahusika na biashara haramu zinazoendelea katika eneo hilo. Kwa sababu hizo Game Reserve zina askari wanaozilinda muda wote hivyo ni ngumu serikali kutokujua uwepo wa mgodi huo.
Bado timu yangu inaendelea na uchunguzi ili kupata picha clear lakini na wamiliki wa biashara haramu ndani ya msitu huo pamoja na washirika wake. Tutajua tu kama biashara hiyo wameuziwa wazungu au waarabu na wahusika wenye mamlaka ya kuuza au kukodisha eneo ndani ya nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2946548View attachment 2946549
Mwamba hatishwi-tishwi ovyo. Yuko ngangari.Bado tu unaendelea hiyo project yako mkuu?!.
Sawa mkuu ajiandae na nini?,yaani post kama hii ndio inayowafanya hawa wasiojulikana kutuona sisi bado ni waoga,lini freedom of expression itatamalaki hapa nchini?,President Zuma anazomewa na CIC malema na maisha kwa malema yanaendelea kama kawaida,hapo zambia kwa sasa President wao hayupo above law ,anachambuliwa na kila mtu anarudi nyumbani kwake bila uogaSioni tatizo la hiyo post. Ametoa angalizo zuri ajiandae-ambao ndio ukweli. Sioni akimwambia aondoe post
Kwa kuandika hayo basi unajua kama bongo hakuna freedom on expression na imeondolewa kisheria. Kwa hiyo ukifanya hivyo ujiandae. Sasa tatizo sio aliyetoa ushauri Mdude ajiandae, bali ni wabunge wetu.Sawa mkuu ajiandae na nini?,yaani post kama hii ndio inayowafanya hawa wasiojulikana kutuona sisi bado ni waoga,lini freedom of expression itatamalaki hapa nchini?,President Zuma anazomewa na CIC malema na maisha kwa malema yanaendelea kama kawaida,hapo zambia kwa sasa President wao hayupo above law ,anachambuliwa na kila mtu anarudi nyumbani kwake bila uoga