Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

Mdude_Nyagali waovu na wala nchi watakusaka Weeknd hii wakukamate kwa kuandika hii habari,wataanza na kusaka drone iliyotumika na kukutaka utoe kibali Cha lurusha drone hiyo.

Tulivyo na Taifa la kishenzi,hawatodili na kuhoji waziri wa Ardhi ama kamishina wa madini mkoa husika. Jiandae wasiharibu pasaka yako
Acha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the country
 
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.

Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia kwenye huo mgodi baada ya kugundua kwamba mgodi huo uko ndani ya pori la Kizigo Game Reserve lililoko mkoani Singida na hakuna njia wala barabara inayoweza kukupeleka ndani ya mgodi huo. Na pori hilo hilo linalindwa na askari wanaohusika kulinda mapori na hifadhi za taifa.

Kutokana na mazingira hayo timu yetu ililazimika kutumia technology ambayo ilisaidia kujua mambo yafuatayo.

1. Ni kweli mgodi huo uko ndani ya hifadhi au pori la Kizigo Game Reserve lililopo Singida na linaingia mpaka Tabora.

2. Ni kweli kwamba karibu na mgodi huo kuna uwanja wa ndege (airstrip) kilomita 1.3 kama ambavyo technology imetuonyesha pamoja na picha za uwanja huo.

3. Kwa muda ambao timu yetu iliweka kambi ya wiki moja ndege ilitua na kuondoa mara 2. Kwa hiyo kwa wiki ndege hutua na kuondoka mara mbili kwa ajili ya kushusha na kubeba mizigo.

4. Tumejiridhisha kwamba Kizigo Game Reserve pia inapakana na hifadhi zingine mbili Muhesi Game Reserve na Rungwa Game Reserve.

5. Kuna njia zinatoka kwenye huu uwanja wa ndege kwenda kwenye hayo hizo hifadhi za jirani nilizozitaja hapo juu. Hii inaashiria kuwa kuna biashara nyingine haramu ya kusafirisha wanyama Wildlife trafficking katika eneo hilo. Ndio maana kuna njia za kuingia kwenye mapori mengine ya hifadhi katika eneo hilo.

6. Kuna nyumba zimejengwa umbali wa mita 800 kutoka katika uwanja huo wa ndege.

7. Hakuna barabara yoyote inayoingia katika mgodi huo isipokuwa huo uwanja wa ndege ambao sijui kama unatambulika rasmi.

Katika mazingira tuna mashaka kwamba serikali au viongozi wa serikali binafsi wanaweza kuwa wanahusika na biashara haramu zinazoendelea katika eneo hilo. Kwa sababu hizo Game Reserve zina askari wanaozilinda muda wote hivyo ni ngumu serikali kutokujua uwepo wa mgodi huo.

Bado timu yangu inaendelea na uchunguzi ili kupata picha clear lakini na wamiliki wa biashara haramu ndani ya msitu huo pamoja na washirika wake. Tutajua tu kama biashara hiyo wameuziwa wazungu au waarabu na wahusika wenye mamlaka ya kuuza au kukodisha eneo ndani ya nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2946548View attachment 2946549
Kazi nzuri kamanda hakika CCM watatumaliza.
 
Mdude_Nyagali waovu na wala nchi watakusaka Weeknd hii wakukamate kwa kuandika hii habari,wataanza na kusaka drone iliyotumika na kukutaka utoe kibali Cha lurusha drone hiyo.

Tulivyo na Taifa la kishenzi,hawatodili na kuhoji waziri wa Ardhi ama kamishina wa madini mkoa husika. Jiandae wasiharibu pasaka yako
Inasikitisha. Haiyumkini kweli watafanya hivyo kama kawaida yao lakini tumeshapata walau Taarifa. Mdude songambele tuletee updates ili waumbuke siri imebumburuka sasa.
 
Acha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the country
Soma between the line,namjua Mdude na harakati zake,sio muoga,kashapitia uvungu wa mauti mara kadhaa,Mdude ni bora kwa umma na maslahi ya Taifa kuliko Zitto. Nimeandika kaushauri kua watamsaka na kosa la drone licence maana kaandika kwa real name yake na kukili ni yeye,frame ya kwanza kumsumbua ni hiyo,yeye anaweza kujiandaa kwa kuwasiliana na mtu mwenye drone yenye kibali Cha kufanya shughuli fulani zone hiyo
 
Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako. Sehemu x marehemu alikua na mgodi wake kabisa na ulikua ndani ya hifadhi lakini kwenye tv na redio anatupia episode za uzalendo
Quote: Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako.
Hii ndo Shida kubwa ya waTz wengi - UOGA. Mtu anaogopa kusema ukweli na kile anachokijua eti anahatarisha maisha yake. Tunasahau hakuna atakayeishi milele hapa duniani.
Ni kweli wanaweza "wakamshughulikia" lakini kwamba sasa habari iliyowekwa eti ni siri itakuwa sasa imeanikwa hadharani. Watapatikana au watajitokeza wengine kuishikilia bango mpaka kieleweke kinachoendelea hapo porini.
 
Kuna vitu vingine ni bora kuuliza kwanza ili uelimishwe.
Kwa kukusaidia ili usiendelee kupuyanga..

1. Nenda Dodoma pale kaulize hiyo/hizo MPL za nani..hakuna uchimbaji/utafutaji wa Madini unafanyika bila kuwa na leseni.

2. Duniani kote, mara nyingi migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi hivyo kutokwepo kwa barabara ni kitu cha kawaida.

3. Kwenye mgodi kuwa na kiwanja cha ndege ni kitu cha kawaida, madini ni Biashara kubwa, uwekezaji wake ni mkubwa.

4. Kuhusu kutokwepo kwa njia za kuunganisha mbuga hizo, hakuna hoja hapo.

5. Fanya utafiti upya, uwe na fact za kutosha ndio uje useme kuna wizi au Madini yanachimbwa bila vibali..yawezekana hata huo mgodi haupo hapo
 
Mkuu,
1. Utafutaji wa madini unafanyika bila Leseni kwa muda gani (Survey duration/period)?
2. Kama migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi (Kitu ambacho ni sahihi na ni kweli) wahudumu huwa wanafikaje hapo? Mitambo ya kufanyia kazi ilipelekwaje hapo? Hii inafikirisha kwani tangu pagundulike hadi imeonekana ni pa umuhimu na wakaweka uwanja wa ndege ni kitu cha muda mrefu. Je, kwa nini yasitolewe majibu kwa huyo aliyetoa hoja?
3. Hapo # 4 naona kama kuna ukwepaji wa hoja. Kama kuna walinzi (watumishi wa Umma) pande zote ni nini kinawazuia wasianzishe mawasiliano kwa njia za barabara au nao hutumia ndege? endepo kumetokea Tukio la kiuhalifu na mhalifu kakimbilia upande wa pili?
4. Hapo # 5 naona hilo ni Kumnyong'onyesha mtoa hoja kwamba kazi aliyoifanya haina maana eti akarudie kazi hiyo kana kwamba amechemsha.
Hiyo sio sawa. Inafaa Apewe ushirikiano badala ya kumbeza na kumkatisha tamaa.
 
(NINAHISI) Humo kuna hunting camps kama zile za Selous!
1711621804273.png
1711621842968.png
1711621876907.png

Airstrip kwa ajili ya usafiri wa hunters ni muhimu kwa maeneo remote kama hayo! ... LAKINI, JE:
1) KUNA MANUFAA KWA UMMA?
2) HIZO HUNTING CAMPS ZIMESAJILIWA?
3) KUNA UFUATILIAJI?
4) HAKUNA SHUGHULI ZA HARAMU KAMA MIGODI-BUBU?
.
.
 
Kama ni mgodi wa Kitunda (madini ya dhahabu) mbona upo wazi huo tangu jk akiwa Rais,waliojaribu kuuvamia kama wachimbaji wadogo wadogo walifurushwa vibaya mno kusubiri taratibu za kiserikali
 
Kuna vitu vingine ni bora kuuliza kwanza ili uelimishwe.
Kwa kukusaidia ili usiendelee kupuyanga..

1. Nenda Dodoma pale kaulize hiyo/hizo MPL za nani..hakuna uchimbaji/utafutaji wa Madini unafanyika bila kuwa na leseni.

2. Duniani kote, mara nyingi migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi hivyo kutokwepo kwa barabara ni kitu cha kawaida.

3. Kwenye mgodi kuwa na kiwanja cha ndege ni kitu cha kawaida, madini ni Biashara kubwa, uwekezaji wake ni mkubwa.

4. Kuhusu kutokwepo kwa njia za kuunganisha mbuga hizo, hakuna hoja hapo.

5. Fanya utafiti upya, uwe na fact za kutosha ndio uje useme kuna wizi au Madini yanachimbwa bila vibali..yawezekana hata huo mgodi haupo hapo
...... MA'SPY' WA GOOGLE-EARTH!
😅
 
KUNA MAKITU YA HOVYO YANAFANYIKA KWA SIRI, KIBAYA TRA WAMENGANGANA NA VIJITU VIDOGO MITAANI KUVIKIMBIZA, HUKU MALI ZIKIONDISHWA KIMYA KIMYA, LENGO LA MIGODI NI KUSAIDIA NA KULETA UNAFUU WA KIKODI KWA WANYONGE WA KITAA, WENYE VIDUKA VYA MAFUTA YA TAA.
 
Acha uoga wa kizuzu mkuu,mtoa hoja hajajificha nyuma ya ID fake,ni shujaa na elewa Senegalese wamepata young president kwa jasho la damu,kuna watu pale wamelipa maximum penalty ili wengine wapate maisha bora,chavdas wamerudi na captured the country
Sioni tatizo la hiyo post. Ametoa angalizo zuri ajiandae-ambao ndio ukweli. Sioni akimwambia aondoe post
 
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.

Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia kwenye huo mgodi baada ya kugundua kwamba mgodi huo uko ndani ya pori la Kizigo Game Reserve lililoko mkoani Singida na hakuna njia wala barabara inayoweza kukupeleka ndani ya mgodi huo. Na pori hilo hilo linalindwa na askari wanaohusika kulinda mapori na hifadhi za taifa.

Kutokana na mazingira hayo timu yetu ililazimika kutumia technology ambayo ilisaidia kujua mambo yafuatayo.

1. Ni kweli mgodi huo uko ndani ya hifadhi au pori la Kizigo Game Reserve lililopo Singida na linaingia mpaka Tabora.

2. Ni kweli kwamba karibu na mgodi huo kuna uwanja wa ndege (airstrip) kilomita 1.3 kama ambavyo technology imetuonyesha pamoja na picha za uwanja huo.

3. Kwa muda ambao timu yetu iliweka kambi ya wiki moja ndege ilitua na kuondoa mara 2. Kwa hiyo kwa wiki ndege hutua na kuondoka mara mbili kwa ajili ya kushusha na kubeba mizigo.

4. Tumejiridhisha kwamba Kizigo Game Reserve pia inapakana na hifadhi zingine mbili Muhesi Game Reserve na Rungwa Game Reserve.

5. Kuna njia zinatoka kwenye huu uwanja wa ndege kwenda kwenye hayo hizo hifadhi za jirani nilizozitaja hapo juu. Hii inaashiria kuwa kuna biashara nyingine haramu ya kusafirisha wanyama Wildlife trafficking katika eneo hilo. Ndio maana kuna njia za kuingia kwenye mapori mengine ya hifadhi katika eneo hilo.

6. Kuna nyumba zimejengwa umbali wa mita 800 kutoka katika uwanja huo wa ndege.

7. Hakuna barabara yoyote inayoingia katika mgodi huo isipokuwa huo uwanja wa ndege ambao sijui kama unatambulika rasmi.

Katika mazingira tuna mashaka kwamba serikali au viongozi wa serikali binafsi wanaweza kuwa wanahusika na biashara haramu zinazoendelea katika eneo hilo. Kwa sababu hizo Game Reserve zina askari wanaozilinda muda wote hivyo ni ngumu serikali kutokujua uwepo wa mgodi huo.

Bado timu yangu inaendelea na uchunguzi ili kupata picha clear lakini na wamiliki wa biashara haramu ndani ya msitu huo pamoja na washirika wake. Tutajua tu kama biashara hiyo wameuziwa wazungu au waarabu na wahusika wenye mamlaka ya kuuza au kukodisha eneo ndani ya nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2946548View attachment 2946549

Ndugu

Ulichopata ni "game post" ya Rungwa game reserve inayoitwa Makwasa. Ukizoom mwisho wa airstrip unaona kabisa iko marked na imeandikwa "Makwasa" (attached pictures). Hiyo inasapotiwa pia ukiangalia kwenye ramani ambayo niliattach. Ulipopata airstrip hii pako karibu na tag ya "Makwasa GP".

Airstrip kuwa marked na pia kusajiliwa kama airstrip rasmi (Makwasa Airport | TZ-0128 | Pilot info | Makwasa, Tanzania) haisapoti theory yako ya operesheni siri ya mgodi. Aidha nikiangalia picha za satelaiti za mazingira ya airstrip sioni alama za activity ya kuchimba madini. Naomba utoe uthibitisho zaidi unaothibitisha kweli nadharia yako kabla ya kuendelea kupotosha watu.
MAKWASA.png
Map-of-rungwa-kizigo-muhesi-game-reserve-showing-study-areas.jpg
 
Attachments

Sioni tatizo la hiyo post. Ametoa angalizo zuri ajiandae-ambao ndio ukweli. Sioni akimwambia aondoe post
Sawa mkuu ajiandae na nini?,yaani post kama hii ndio inayowafanya hawa wasiojulikana kutuona sisi bado ni waoga,lini freedom of expression itatamalaki hapa nchini?,President Zuma anazomewa na CIC malema na maisha kwa malema yanaendelea kama kawaida,hapo zambia kwa sasa President wao hayupo above law ,anachambuliwa na kila mtu anarudi nyumbani kwake bila uoga
 
Kwa kuandika hayo basi unajua kama bongo hakuna freedom on expression na imeondolewa kisheria. Kwa hiyo ukifanya hivyo ujiandae. Sasa tatizo sio aliyetoa ushauri Mdude ajiandae, bali ni wabunge wetu.
Ajiandae la usumbufu wowote anaoweza kuupata, kuna kutekwa, kupelekwa polisi, vitisho. Bahati nzuri Mdude sio mgeni wa hayo yote. Kama huwa hajiandai, ajiandae
 
Back
Top Bottom