UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

Mapungufu ya madrid yapo katika eneo gani?? Kwangu upungufu upo kwa striker tuu. Benzema sio wakuaminika.
Yapo sana kwenye defence. Bayern wangelikuwa na stricking force iliyo smart, Madrid angefungwa goli nyingi sana
 
Mi nashangaa sana watu wanavyoangalia defence ya Liverpool wakati tatizo la Liverpool ni viungo lkn angalieni msimu huu Madrid na Liverpool wametofautiana nn

Hizo timu zenye difensi nzuri zimeishia wp ,,, hii ni fainali lolote litatokea

Beki za Madrid zinapanda sana kwenda kushambulia hapo sawa wanaweza kupata magoli lkn je wkt wanapanda huko kwao vp,,,

Kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja Madrid wapo juu ,,
Wote wameboronga kwenye ligi zao nguvu zao zipo hapa
Sitarajii ushindi mwepesi wa Madrid
 
Naona uchambuz wenye ushabiki huu....Sasa ulitaka uingereza aisifie Barcelona au?...Kila mtu anasifia cha kwake....Liverpool mlianza kusema hv hv toka round ya makund haya sasa kafika fainali...
 
Kwani Madrid wanadefence nzuri?
Kwa defense ya Liver ya sasa hivi ni nzuri sana.Ukimpima Liver kwa mechi ya Jana utakosea sana,jana yalikuwa ni mahesabu ya jioni tuu.Kyiv mambo yatakuwa tofauti sana.Mechi itaisha ndani ya dakika tisini.Namuona Hendo akinyanyua kwapa.YWNWA.
 
Kwani ww unaffikili ana Safu ya ulinzi pale, hawana walinzi wa nyuma, except Marcello the last are Worse, Ramos ni Rafu rafu tu
 
Wengi wetu sisi ni wapenzi wa Madrid pia,mm mwenyewe ni mpenzi wa Real Madrid,linapokuja swala la Madrid na Liverpool ni Liverpool kwanza,mimi pia ni shabiki wa Ronaldo CR7 lakini anapocheza na Liverpool ni Liverpool kwanza.Hatuna wivu na yeyote ila kaa ukijua,kila papa mpya liver anabeba ndoo hii,toka alipoapishwa Papa Frances bado liver hajabeba ,ninachojua zamu ndo imefika,acha lililoandikwa litimie maana hakuna namna.Kama kuna mtu haamini hilo ajiulize Portugal ilichukua vipi Ubingwa wa mataifa ya Ulaya na Donald Trump alipata vipi urais wa Marekani? Vipi kuhusu rais Magufuli? Aliyepangiwa anapewa tu hata kama hupendi.
 
Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.
Tarehe 26.05.2018 ni ile siku waingeteza watasingizia THE BEST TEAM LOST!
Ina mapungufu kwenye defence ila na foward wakali unaona sasa?

Ko itakua funga nikufunge
 
Huyo madrid juzi tu katoka kufungwa na spurs
Ile ilikuwa group stage. Hivi sasa ni fainali. Madrid mbele ya kombe anakuwaga siriasi saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…