UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

Mapungufu ya madrid yapo katika eneo gani?? Kwangu upungufu upo kwa striker tuu. Benzema sio wakuaminika.
Yapo sana kwenye defence. Bayern wangelikuwa na stricking force iliyo smart, Madrid angefungwa goli nyingi sana
 
Mi nashangaa sana watu wanavyoangalia defence ya Liverpool wakati tatizo la Liverpool ni viungo lkn angalieni msimu huu Madrid na Liverpool wametofautiana nn

Hizo timu zenye difensi nzuri zimeishia wp ,,, hii ni fainali lolote litatokea

Beki za Madrid zinapanda sana kwenda kushambulia hapo sawa wanaweza kupata magoli lkn je wkt wanapanda huko kwao vp,,,

Kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja Madrid wapo juu ,,
Wote wameboronga kwenye ligi zao nguvu zao zipo hapa
Sitarajii ushindi mwepesi wa Madrid
 
Hainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!
Pia mmekuwa na wivu ulioputiliza Real kuingia fainali raundi ya tatu mfululizo na kwenda kuchukua ndoo raundi ya tatu mfululizo. Hii imewapa chuki moja mbaya sana.
Naona uchambuz wenye ushabiki huu....Sasa ulitaka uingereza aisifie Barcelona au?...Kila mtu anasifia cha kwake....Liverpool mlianza kusema hv hv toka round ya makund haya sasa kafika fainali...
 
Kwani Madrid wanadefence nzuri?
Kwa defense ya Liver ya sasa hivi ni nzuri sana.Ukimpima Liver kwa mechi ya Jana utakosea sana,jana yalikuwa ni mahesabu ya jioni tuu.Kyiv mambo yatakuwa tofauti sana.Mechi itaisha ndani ya dakika tisini.Namuona Hendo akinyanyua kwapa.YWNWA.
 
Klabu ya Liverpool imefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 4 kwa 2 na AS Roma ya nchini Italia

Liverpool FC wanasonga mbele kwa faida ya magoli waliyofunga katika mchezo wa awali walioshinda mabao 5 kwa 2 hiyo kuwa na hazina ya magoli 7 kwa 6 ya AS Roma

Katika mchezo uliomalizika usiku huu magoli ya Liverpool yamewekwa kimiani na Sadio Mane 9' na Georgio Wijnaldum 25' huku yale ya AS Roma yakifungwa na Milner(aliyejifunga), Edin Džeko 52' na Radja Nainggolan 86' na 90+2'

Liverpool FC sasa itakwaana na Real Madrid katika mchezo wa Fainali unaotarajiwa kupigwa katika dimba la Olympic National Sports Complex huko Jijini Kiev nchini Ukraine

Mchezo huo utapigwa tarehe 26 mwezi huu


======

Naiona fainali rahisi saaana kwa Real Madrid.

Kutokana na mapungufu makubwa katika safu ya ulinzi ya liverpool

Japo mpira ni dakika 90.
Kwani ww unaffikili ana Safu ya ulinzi pale, hawana walinzi wa nyuma, except Marcello the last are Worse, Ramos ni Rafu rafu tu
 
Hainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!
Pia mmekuwa na wivu ulioputiliza Real kuingia fainali raundi ya tatu mfululizo na kwenda kuchukua ndoo raundi ya tatu mfululizo. Hii imewapa chuki moja mbaya sana.
Wengi wetu sisi ni wapenzi wa Madrid pia,mm mwenyewe ni mpenzi wa Real Madrid,linapokuja swala la Madrid na Liverpool ni Liverpool kwanza,mimi pia ni shabiki wa Ronaldo CR7 lakini anapocheza na Liverpool ni Liverpool kwanza.Hatuna wivu na yeyote ila kaa ukijua,kila papa mpya liver anabeba ndoo hii,toka alipoapishwa Papa Frances bado liver hajabeba ,ninachojua zamu ndo imefika,acha lililoandikwa litimie maana hakuna namna.Kama kuna mtu haamini hilo ajiulize Portugal ilichukua vipi Ubingwa wa mataifa ya Ulaya na Donald Trump alipata vipi urais wa Marekani? Vipi kuhusu rais Magufuli? Aliyepangiwa anapewa tu hata kama hupendi.
 
Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.
Tarehe 26.05.2018 ni ile siku waingeteza watasingizia THE BEST TEAM LOST!
Ina mapungufu kwenye defence ila na foward wakali unaona sasa?

Ko itakua funga nikufunge
 
Loading....
IMG_20170912_202453_428.jpg
 
Huyo madrid juzi tu katoka kufungwa na spurs
Ile ilikuwa group stage. Hivi sasa ni fainali. Madrid mbele ya kombe anakuwaga siriasi saaana.
 
Back
Top Bottom