barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sio hovyo kama ya liver.Et final nyepes? Uyo Madrid mbona nae ni ovyo tu kwenye defense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hovyo kama ya liver.Et final nyepes? Uyo Madrid mbona nae ni ovyo tu kwenye defense
We jamaa Liverpool kuingia Final inaonekana imekuuma sana Kama vipi si uandamana kabisaSio hovyo kama ya liver.
Kwani Madrid wanadefence nzuri?Liver defence itawaghatimu sana.
Kwani Madrid wanadefence nzuri?Liver defence itawaghatimu sana.
Hainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!We jamaa Liverpool kuingia Final inaonekana imekuuma sana Kama vipi si uandamana kabisa
Ni nzuri zaidi ya defence ya liver.Kwani Madrid wanadefence nzuri?
Hiyo match lazima tuiangalizie magheton kwenye projector huku cocktail na popcorn zikishushwa.May 26th, 2018 I hope utakuwa mchapo wa nguvu wenye ushindani mwanzo mwisho kwa dakika zote 90, kama itabidi extra time na maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
Huna point hata moja Zaidi ya ushabiki uchwara na wivu tu uliokujaa Acha kufata mkumboHainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!
Pia mmekuwa na wivu ulioputiliza Real kuingia fainali raundi ya tatu mfululizo na kwenda kuchukua ndoo raundi ya tatu mfululizo. Hii imewapa chuki moja mbaya sana.
Dj BAKI hamna hiyo kitu. Sioni nafasi ya liver.
Kwa madrid hii iliyokuwa sirias na UEFA.
Fainali rahisi saana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenchekesha saaana mkuuu..Pia anaweza mkuta sergio ramos na casemero wamejipata mafuta ya kiti moto! Huwezi jua.
Lakini timu iliyoruhusu goli 6 za Roma ndiyo timu pekee iliyofunga goli nyingi (40) zaidi kuliko timu nyingine yoyote msimu huuKuna timu moja imeruhusu goli 6 za Juventus na Bayern na nyingine imeruhisu goli 6 za Roma pekee.
Unamaanisha nini ndugu?Kuna timu moja imeruhusu goli 6 za Juventus na Bayern na nyingine imeruhisu goli 6 za Roma pekee.
Uliangalia mechi ya marudiano kati ya bayern munich na real madrid??? Pale ni pengo la carvagal tuu but defense ilikua vema saana kiasi cha kuwatoa mchezoni wakina lewondosk na mullerEt final nyepes? Uyo Madrid mbona nae ni ovyo tu kwenye defense
Hamna beki. Bek gani inaweza kufungwa magoli sita, magoli manne ya hovyo katika mechi ya round ya piliHuo mpira wa Madrid ninaouona mkimsifia kwa kufata ukubwa wa majina ya wachezaji mnajifariji bure!
Hii ndoo ni ya Liverpool bila ubishi
Mapungufu ambayo kina Leroy Sane, Sterling, Aguero, De Bruyne na Pep wao walishindwa kuyaona? Madrid nao hawapo gado kama last season na defence yao ina nyufa za kutosha sana tu. Hata kuchomoka mbele ya Bayern ilikuwa bahati na Zidane amekiri hilo.Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.!