miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ila Yule mmoja miss chagga alitaka kunifanya HANDSOME POCHI YANGU MWENYEWE MBEBAJI!
Mmmmh kanishinda kabisa!
Bora Khantwe wangu!
Yule mwingine KOMANDO WA JESHI!
Cc: miss neddy
miss chagga kuna nini kati ya wewe na mume wangu?utaruka ruka kama kitenesi bado ujui unataka nini.... handsome wallet yako ndio mpango mzima
Shida Yake huyo WALLET Yangu!
miss chagga kuna nini kati ya wewe na mume wangu?
Dawa yako ni kukutokea kwenye crash na pikipiki yako ya miguu 3 na helmet, this time I'll be a police traffic, we unanichokoza kuwa mie niko ferry, Kaizer kaniambia kanihifadhi kigamboni 4 days, ngoja niingie msituni nikiibuka hatapona mtu humu MMU. Mie niko kwa Obama state nabundi na kupopo nakula life na kuinjoy ujana u said what!! just wait and stay tuned,
Halafu nahisi kuna mtu atakuwa amekutuma wewe sio bure, maana najua ulivo mpole how come unichokoze hivi???!!! ntamjua tuu huyo aliyekutuma unichokozee
miss chagga kuna nini kati ya wewe na mume wangu?
Tuache tulale!
Usitusumbue!
Aisee mbele ya Ntuzu sijui useme nini nikuelewe
Mume wako yupi?
he he he he he heNtuzu kazi kudandia wake z watu tu afu pesa huna ... nyoooooooo ukome nimekwambia unaruka ruka kama kitenesi umekataaa ona sasa ha ha ha ha ha msukuma huyu kuhonga hujui mahaba unataka
Mume wako yupi?