Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Tuache tulale!

Usitusumbue!

user-online.png
Khantwe usitake kujua mengi hutalala tena
 
Kumbe Kaizer ndio alikuwa amekutuma eeh!!! Wale samaki wameshaisha kwani! Hinhinhiiiiiiiiiii

I am waiting my dear, Yaaani ukitokeza ntavyokunyakua utashangaaa.... but only to expect greatest and funniest moments with Bodaboda man. Cant wait wakina Obama wakishakurudisha.

Wishing all th best. ENJOY!!!!!!

Dawa yako ni kukutokea kwenye crash na pikipiki yako ya miguu 3 na helmet, this time I'll be a police traffic, we unanichokoza kuwa mie niko ferry, Kaizer kaniambia kanihifadhi kigamboni 4 days, ngoja niingie msituni nikiibuka hatapona mtu humu MMU. Mie niko kwa Obama state nabundi na kupopo nakula life na kuinjoy ujana u said what!! just wait and stay tuned,
Halafu nahisi kuna mtu atakuwa amekutuma wewe sio bure, maana najua ulivo mpole how come unichokoze hivi???!!! ntamjua tuu huyo aliyekutuma unichokozee
 
Last edited by a moderator:
Mume wako yupi?

he he he he he he
user-online.png
Ntuzu kazi kudandia wake z watu tu afu pesa huna ... nyoooooooo ukome nimekwambia unaruka ruka kama kitenesi umekataaa ona sasa ha ha ha ha ha msukuma huyu kuhonga hujui mahaba unataka
 
huwa sipendwi kupitwa na nakala hata moja ya haya matoleo
 
he he he he he he
user-online.png
Ntuzu kazi kudandia wake z watu tu afu pesa huna ... nyoooooooo ukome nimekwambia unaruka ruka kama kitenesi umekataaa ona sasa ha ha ha ha ha msukuma huyu kuhonga hujui mahaba unataka

Khaaa mchaga wa wapi wewe una michambo ka mzaramo lol
 
Back
Top Bottom