Kumbe Kaizer ndio alikuwa amekutuma eeh!!! Wale samaki wameshaisha kwani! Hinhinhiiiiiiiiiii
I am waiting my dear, Yaaani ukitokeza ntavyokunyakua utashangaaa.... but only to expect greatest and funniest moments with Bodaboda man. Cant wait wakina Obama wakishakurudisha.
Wishing all th best. ENJOY!!!!!!
Mmh kafanyaje tena
Mkwe naona unakisiana tu na watu eeh
Sijawahi ona mwanyasi ukimdai huduma yyt
Shikamoo mkwe
Mwaaaahh mkwe wangu mzaa chema
Marhaba mkwe...kale ka milioni umeshaniwekea tigo pesa?
Sijawahi ona mwanyasi ukimdai huduma yyt
Unamuonea Chocs, mie nina mke ujue
Mkwe naona unakisiana tu na watu eeh
Mmh mambo yenu ya kidijitali haya.....haya mwaaa na wewe lol