Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Sasa sijui kondoo wake tutaongozwa na nani? Halafu anadai hatuna pa kupeleka malalamiko mana askofu hashtakiwi, sijui jimboni wana hizi habari...... labda tumuulize msaidizi wake Kaizer ila Valentina siyo muumini mzuri kumtega mtumishi lolz!!

Ujue penzi ni kikohozi bibie tumeshindwa kulificha...lol
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone

Arusha Juu daima

BTW Nalimiss sana jukwaa letu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom