mwallu, kiwatengu, mwekundu, Honey Faith, Khantwe, Mentor, Ntuzu, mwallu, Tized, Mndengereko mbona maneno yamewazidi
Mimi kupendwa na miss chagga mara kahonga sana mara kafanywa ATM mara mchepuko mara #teambazazi mara kawekewa limbwata mara sijui kafa kaoza mara hajielewi mbona maneno mengi
Mimi na miss chagga tunapendana hatuna limbwata wala mchepuko ni mapenzi ya dhati tuu miss chagga anapewa hela ya salon tuu na kupendeza na hanichuni wala nini
Na mwekundu mimi sio #teambazazi bana ni mtulivu sana na hii kuchepuka imeruhusiwa mpaka na mke wangu halisi Dena Amsi
mwanao anaitambua
utaitwa mchepuko mkuu.
sub ofice
cheti changu cha ndoa kimeandikwa ndoa ya wake wengi so nafuata maandiko ya cheti changu mkuu kiwatengu
cc miss chagga
Hahaaaa wewe dawa yako maji machungu tu....
Uwiiiiiiii kiki maieeeeee ptuuuuu mhhhhh kama siamini.Ila ngoja nijifanye sijui maana mhhhhh?????
ashong' mangi, nkyili ngameny nomlewa, afu mchana unamtaka tena...
sitaki nataka hapa kuna kitu kizuri nakipata kwa miss chagga na huwa nikikumbuka huwa siondoki
na pale nilikuwa natingisha kiberiti nione kama kimejaa na kama miss chagga ananipenda kweli
hakuna mwenye nia ya kuivunja ndoa yako
Mr Rocky nakupenda zaidi .. twende chumbani baby nikakuambie kitu changu kizuri kile unachopenda kufanyagamwallu, kiwatengu, mwekundu, Honey Faith, Khantwe, Mentor, Ntuzu, mwallu, Tized, Mndengereko mbona maneno yamewazidi
Mimi kupendwa na miss chagga mara kahonga sana mara kafanywa ATM mara mchepuko mara #teambazazi mara kawekewa limbwata mara sijui kafa kaoza mara hajielewi mbona maneno mengi
Mimi na miss chagga tunapendana hatuna limbwata wala mchepuko ni mapenzi ya dhati tuu miss chagga anapewa hela ya salon tuu na kupendeza na hanichuni wala nini
Na mwekundu mimi sio #teambazazi bana ni mtulivu sana na hii kuchepuka imeruhusiwa mpaka na mke wangu halisi Dena Amsi
afu hiyo dawa uje unilishe wewe!!
anakupenda kweli na anapenda pesa zaidi...