Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikurekebishe ntunzi siyo kaka yangu alikuwa bwana wangu nikaona bahili nikakuachia wew nae kakushinda ndio kaenda huko..... kaka yako simwachi atajuta kunitongozahahahahahahahhaahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wifi jamani
ila umekosea kuachana na kaka yangu bhana msamehe kama amekukosea na mrudie tena kwani yule ndo chaguo lako
halafu nzutu kaka yako ana mikwara kama nini amesema eti atanipiga ngumi 10 sijui hajui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA NA NI JEMEDARI
Tangu lini kuku akachinjwa na watu wawili jamani.
We bidada ulitaka kaka yangu akupendeje?Kila kitu alikuwa anakuhudumia sasa wewe ulitakaje?Na kudhihirisha na mahari akataka akulipie sasa wewe ulitaka nini zaidi ya hilo?Au ndo njama zako za kumchuna na kumpa nanihiiii wako?
Mr Rocky utakua una fedha sana anakuchuna miss chagga
hili penzi unakolezwa mpaka siku hizi unanisahau lol
hili penzi unakolezwa mpaka siku hizi unanisahau lol
Ntuzu kitenesi at work...hili penzi unakolezwa mpaka siku hizi unanisahau lol
Si unaona wanavyotupiga vita miss chagga waambie meli hiyo inaelea tunaelekea kwenye ulimwengu wa maraha na hii hata mke wangu halisi Dena Amsi analijua na amelibariki mwallu haiwezi kuwa hivyo miss chagga hajaweka limbwata mpaka nipoteze ufahamu kiasi hicho Honey Faith jipe moyo huyo kaka yako kakataa kitu kizuri kama miss chagga kweli yeye ni kipofu Khantwe usije unakimbia unasema umechoka kulishwa ugali wa mtama na kulima
cc Mentor, Ntuzu, mwekundu, Honey Faith, mwallu, Tized, kiwatengu
Dada Yangu polepole basi Maana Khantwe si mchezo kanishika vzr haswa NA Mimi nimemshika Kweli Kweli!
All in all miss u my sister sn miss neddy
Dada Yangu polepole basi Maana Khantwe si mchezo kanishika vzr haswa NA Mimi nimemshika Kweli Kweli!
All in all miss u my sister sn miss neddy
wapi utafiti na Mndengereko? wanayajua haya?
Kumbe Mr Rocky mchepuko wake miss chagga? ulishamueleza ulikua na wangapi kabla yake humu?,madame una kazi ngumu sana ya kumbadilisha bazazi huyo cc kiwatengu