Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

hahahahahahahhaahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wifi jamani
ila umekosea kuachana na kaka yangu bhana msamehe kama amekukosea na mrudie tena kwani yule ndo chaguo lako

halafu nzutu kaka yako ana mikwara kama nini amesema eti atanipiga ngumi 10 sijui hajui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA NA NI JEMEDARI
nikurekebishe ntunzi siyo kaka yangu alikuwa bwana wangu nikaona bahili nikakuachia wew nae kakushinda ndio kaenda huko..... kaka yako simwachi atajuta kunitongoza
 
Acha kuipenda..timu zote za Africa nje...Chile nje...Italy nje... snowhite amekosa kimbilio. Labda mumpe ushauri wa kitaalamu.
Cc: Belo

Timu zangu zilikuwa Italy na France ,bado vijana kina Pogba,Matuidi,Varane wanatuwakilisha
 
We bidada ulitaka kaka yangu akupendeje?Kila kitu alikuwa anakuhudumia sasa wewe ulitakaje?Na kudhihirisha na mahari akataka akulipie sasa wewe ulitaka nini zaidi ya hilo?Au ndo njama zako za kumchuna na kumpa nanihiiii wako?

kaka mwenyewe kuchunika ni kzi aiii aende huko mahari kalipa na asinijue simpendi kwanza ... ndio maana kitenesi
 
Si unaona wanavyotupiga vita miss chagga waambie meli hiyo inaelea tunaelekea kwenye ulimwengu wa maraha na hii hata mke wangu halisi Dena Amsi analijua na amelibariki mwallu haiwezi kuwa hivyo miss chagga hajaweka limbwata mpaka nipoteze ufahamu kiasi hicho Honey Faith jipe moyo huyo kaka yako kakataa kitu kizuri kama miss chagga kweli yeye ni kipofu Khantwe usije unakimbia unasema umechoka kulishwa ugali wa mtama na kulima
cc Mentor, Ntuzu, mwekundu, Honey Faith, mwallu, Tized, kiwatengu

wapi utafiti na Mndengereko? wanayajua haya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom