Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

kaizar nakuangalia kwa jicho moja vzr sn!

Khantwe mpnz wangu nashaanga huyo mwanamke anaona FAHARI KUA NYUMBA NDOGO NA HUYO HANDSOME WALLET YAKE MWENYEWE Mr Rocky HAONI ATA AIBU kumtangaza hadharani?! Kha!

Khantwe mpnz wangu njoo tupange mipango yetu ile ya kwenda kumiliki mgodi SA.

That's my hubby....luv u
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda zaidi na zaidi mpenzi wangu miss chagga Kaizer ukisikia umbea ndio huo huyo umukagame wamuitia nini huku wakati watu wanaendeleza malove davi Ntuzu jipe moyo na Khantwe atakuacha na wewe soon atakapolishwa maugali ya kisukuma na kulimishwa mashamba kama maksai

Wee wee wee....! Sahau hicho kitu hakitatokea kamwe.!
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh
Khantwe ni malikia wangu YEYE muda wote amekaa anakagua RIPOTI Na mahesabu ya makampuni yetu! Sasa hayo mashamba atayaonea wapi?

Chakula analetewa Na nyumbani Na kampung ya FOOD ON WHEEL Kutoka mighawa Na hotel mbalimbali! Sasa hayo Maugali atayaonea wapi?

Mwambie huyo.....yan mi kwako hata ningekuwa nalala kwenye gunia nisingebandukaa... Ntakupenda daima Ntuzu wangu hayo mengine ni motisha tu ya mapenzi yetu
 
Last edited by a moderator:
Come ooooh!!!! meet this athletic gentleman with his bodaboda kicks and tricks. scoring wonder points from the impossible angles!!! Longing to see your otherside ooohhh!!! ITS GETTING NASTYYYYYYYYY!!!!!!!!. One condition..... NO REMATCH. sitaki visingizio mie!!!!!!! (ooh juzi sikuwa vizuri oohh nlishiba sana, nlikua nimechoka sana etc) NOT ACCEPTED.

DEAL SEALED???

hahahahhaa Tized, u r inviting me looh!! utanifanya nirudi Dar kabla vacation yangu haijaisha looh!!! Un glue me from u.... after the crush.....??? Unanifanya niingie msituni maana sitakubali kushindwa game, Kasinde is a silly girl hutakaa uamini, wacha nijikoki kuanzia sasa kisha u will be the one unajifikiria ntajinasuaje kwa Kasinde coz she is soo hot and sweet...
 
Come ooooh!!!! meet this athletic gentleman with his bodaboda kicks and tricks. scoring wonder points from the impossible angles!!! Longing to see your otherside ooohhh!!! ITS GETTING NASTYYYYYYYYY!!!!!!!!. One condition..... NO REMATCH. sitaki visingizio mie!!!!!!! (ooh juzi sikuwa vizuri oohh nlishiba sana, nlikua nimechoka sana etc) NOT ACCEPTED.

DEAL SEALED???

Aisee hum jf kila siku napata mambo mapya....leo nmepata 'DEAL SEALED'
 
Come ooooh!!!! meet this athletic gentleman with his bodaboda kicks and tricks. scoring wonder points from the impossible angles!!! Longing to see your otherside ooohhh!!! ITS GETTING NASTYYYYYYYYY!!!!!!!!. One condition..... NO REMATCH. sitaki visingizio mie!!!!!!! (ooh juzi sikuwa vizuri oohh nlishiba sana, nlikua nimechoka sana etc) NOT ACCEPTED.

DEAL SEALED???

nice beat..lazma aogope
 
Back
Top Bottom