Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Ndio kwanza nimemaliza hanimuni jana kwa wakwe zangu!! leo tunafanyiwa mila turudi bandani kwetu!! Yani we kiwatengu wewe !!! He he heeee!!!
 
Last edited by a moderator:
mchana kuna wanaopiga misele, ukiwa kwenye mishe zako.
mkeo anatembea....

Unamsingizia wife wangu, mie huwa niko nae bega kwa bega tunapiga kazi pa1.
Mfano muda huu tunaandaa shamba la viazi chips
 

Nilishakwambia wewe....yule kibaka unayependa kuongea nae atakuharibia ndoa
 
Last edited by a moderator:
Unamsingizia wife wangu, mie huwa niko nae bega kwa bega tunapiga kazi pa1.
Mfano muda huu tunaandaa shamba la viazi chips

msome mama yake hapo juu anadhibitisha..
 
kiwatengu umetisha sana aisee. Huo udaku unakaribia ukweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…