Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Bora kamera za waandishi wa udaku hazijaniona.
 
Bajeti ya kwenda kuweka umeme huko kijijini kwao imebuma kaka.
Mhhh hiyo ni adhabu sasa umempa na set ya tv ili akaendelee kuangalia Maria Clara huko kijijini maana atakuwa anaimiss sana mkuu utafiti
 
Mkuu kiwatengu waandishi wa gazeti lako wamedisturb utulivu wa mke wangu,
Jumatatu tutatinga ofisini kwako nikiwa na advocate wangu

kama unakuja na advocate tangulia kabisa mahakamani..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…