Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko huo kwa Mkoa wa Mtwara, wakati Meneja wa Mkoa wa Mfuko huo, Dk. Adolph Kahamba, akiwasilisha tarifa mbele ya mkutano huo.

"Kuna tukio lilitokea nadhani vombo vya habari vilitoa hapa Mtwara kwamba mtu amefunga ndoa na dada yake ili apate bima ya afya, kwa hiyo kumekuwa na udanganyifu na bahati nzuri viongozi wa dini mpo mtusaidie ili kuweka maadili."

"Ofisi yetu ina kesi shekhe ana 'confess' (kiri) bwana mimi kwa kweli nilidanganya nikafungisha ndoa ya uongo mtu na dada yake ili apate bima ya afya," alisema Dk. Kahamba.
Sema mibongo ni mizuzu kuliko hata mende.

Haijui chochote zaidi ujuha wa kimende tu.
 
Huyo jamaa wa NHIF bado hajaeleweka vizuri.

Usajili wa bima ya mke unahitaji cheti cha ndoa, cheti cha kuzaliwa na namba ya NIDA. Sasa kama ni dada wa baba mmoja itagoma kwa sababu majina yatafanana, labda kama ni dada ndugu si wa damu.

Kile cheti cha kuzaliwa kinakuwa na majina ya baba na mama!
Sio lazima, kuna mikoa mingi ambapo majina ya wazazi hayaendani na watoto na hili ni janga. Hasa mikoa ya kanda ziwa mfano Kagera!
 
Ndo matokeo ya kubadili kifumo pasipo kuangalia athari. Mtumishi ana nafasi 5 ambazo anapaswa awaunge watoto na mzazi. Lkn mnampangia wengine hawana wazazi ,,,wengine hawajabarikiwa kupata watoto wala wenza. Lkn kila mwisho wa mwezi anakatwa.. Serikali nayo iangalie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mfanyakazi Hana mama au baba.

Kila Mshahara wake ukiingia anakaywa 3% mpaka siku ya kustaafu.

Watu wake wa karibu ni dada, mama mdogo, shangazi au mjomba.

NHIF wanakubali Baba, mama na watoto 4 Tena stricly kwa kuangalia vielelezo.

Kama ni mama, wanataka Cheti chako Cha kuzaliwa, kwenye jina la mama liwe Kama lilivyo kwenye namba yake ya NIDA, likiwa tofauti wanakataa.

Kama ni mke wanataka cheti Cha ndoa yenu.

Kwahiyo, unaweza kuwa unakatwa pesa na huna mtu wa kuuunga na Bado unaataabika kulipa gharama za ndugu zako wanaokutegemea.

Ndio maana watu wanafanya hivyo.

Kama wewe ni NHIF ndio utauita UDANGANYIFU ila Kama wewe ni Hustler mpambanaji, unaepambania familia yako kuungana na NHIF ninujuha wa kishoga.

Kwasababu siku zote NHIF huwa wanatamani ulipie Bima halafu usiituie. Pesa za BIMA wanakopeshana huko kwao, wafanyakazi wa NHIF ni matajiri wakubwa.

NHIF wanapambana kwa kila namna kupunguza watu Ila siyo kupunguza Makato. Waliona watoto wa kifurushi Cha Tsh 50,400 wanatumia sana bima wamekitoa.

Leo wameanzisha finger print ili kudhibiti watu wanaotumia kadi za bima za watu wengine.

Mwananchi wa kawaida kusimama na haya majizi ya NHIF ni ushoga uliokomaa.
 
NHIF isiwapangie wanachama tegemezi wa kuingizwa kwenye orodha ya mwanachama.

Kama ni nafasi 5 aachwe mwanachama achaguwe anamuingiza nani anaweza kutowa sadaka kumuingiza hata mtoto yatima.
Hawawezi kukubali hili.

Wao siku zote wanataka wawe upande salama tu, kukwepa uwajibikaji.
 
Kama mchango wa mwanachama unaweza kuhudumia watu wa5 Kwanini walazimishe uhusiano na wanufaika
Michango ya wanachama mmoja mmoja ukisema utumike wenyewe kuhudimia watu wake watano hautatosha hata siku moja kwakuwa asilimia 80 ya wanachama mchango wa mtu mmoja mmoja haufiki 80,000/= kwa mwaka labda kwa asilimia 20 iliyobaki kwakuwa mishahara ya watumishi wengi ni chini ya 1M. Ila kinachofanya uone unaweza kuhudumia watu wote watano ndani ya mwaka mmoja ni kwasababu bima tunayotumia ni social insurance. Tunachangiana kwenye matibabu, asiyeumwa anamchangia anayeumwa apate matibabu. Mfano, kwawastani mgonjwa mmoja hutumia wastani wa 40,000/= kwa siku moja kwa magonjwa ya kawaida aendapo hospitali ya rufaa. Ila ukiweka magonjwa yasiyoambukizwa kama kisukari na pressure huo mchango unamalizika ndani ya siku 1 ndani ya mwaka na bado itazidi. Ukiweka matibabu maalumu kama dialysis au matibabu ya cancer ndio unaweza usione thamani hata ya mshahara wanaokulipa.
 
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko huo kwa Mkoa wa Mtwara, wakati Meneja wa Mkoa wa Mfuko huo, Dk. Adolph Kahamba, akiwasilisha tarifa mbele ya mkutano huo.

"Kuna tukio lilitokea nadhani vombo vya habari vilitoa hapa Mtwara kwamba mtu amefunga ndoa na dada yake ili apate bima ya afya, kwa hiyo kumekuwa na udanganyifu na bahati nzuri viongozi wa dini mpo mtusaidie ili kuweka maadili."

"Ofisi yetu ina kesi shekhe ana 'confess' (kiri) bwana mimi kwa kweli nilidanganya nikafungisha ndoa ya uongo mtu na dada yake ili apate bima ya afya," alisema Dk. Kahamba.
Sheikh alikula bei gani kwenye huo mchongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michango ya wanachama mmoja mmoja ukisema utumike wenyewe kuhudimia watu wake watano hautatosha hata siku moja kwakuwa asilimia 80 ya wanachama mchango wa mtu mmoja mmoja haufiki 80,000/= kwa mwaka labda kwa asilimia 20 iliyobaki kwakuwa mishahara ya watumishi wengi ni chini ya 1M. Ila kinachofanya uone unaweza kuhudumia watu wote watano ndani ya mwaka mmoja ni kwasababu bima tunayotumia ni social insurance. Tunachangiana kwenye matibabu, asiyeumwa anamchangia anayeumwa apate matibabu. Mfano, kwawastani mgonjwa mmoja hutumia wastani wa 40,000/= kwa siku moja kwa magonjwa ya kawaida aendapo hospitali ya rufaa. Ila ukiweka magonjwa yasiyoambukizwa kama kisukari na pressure huo mchango unamalizika ndani ya siku 1 ndani ya mwaka na bado itazidi. Ukiweka matibabu maalumu kama dialysis au matibabu ya cancer ndio unaweza usione thamani hata ya mshahara wanaokulipa.
Pesa za matibabu kwa wanachama HAZITOSHI.

Ila pesa za kuwapa serikali ZIPO.

Na pesa za KUKOPESHANA zipo👇👇

Nyie MAJUHA mnaonaga wabongo wote hawana akili Wala kumbukumbu

Ubora huduma unaboreshwa na kituo cha afya husika ikisimamiwa na wizara ya afya kwakuwa vituo vya afya na NHIF wote wapo chini ya wizara ya afya, kinachotofautiana ni mmoja anatoa huduma na mwingine analipia hiyo huduma iliyotolewa ila msimamizi wa kuboresha huduma ni serikari chini ya wizara ya afya. NHIF haiwezi ingilia majukumu ya wizara!
Sio katika staili hiyo. Iko hivi NHIF ina miongozo yao namna ya kutibu kila aina ya ugonjwa ambao mnufaika ataumwa. Kwa mfano mnufaika akiumwa malaria akienda hospitali anatakiwa apewe dawa mseto ambayo ina midonge mingiiii. Wakati dawa zingine mzuri za kutibu malaria zipo na za vidonge vichache na ukinywa hupati tena malaria mpaka mwaka upite. Kwa hiyo kama mtu hapendi mseto analazimika kwenda kununua na hela ingine wakati kila mwezi anakatwa hela. Na hizo dawa zingine ikizifata phamacy ni hela ndefu sometimes mpaka elf 15 kwa dozi
 
Michango ya wanachama mmoja mmoja ukisema utumike wenyewe kuhudimia watu wake watano hautatosha hata siku moja kwakuwa asilimia 80 ya wanachama mchango wa mtu mmoja mmoja haufiki 80,000/= kwa mwaka labda kwa asilimia 20 iliyobaki kwakuwa mishahara ya watumishi wengi ni chini ya 1M. Ila kinachofanya uone unaweza kuhudumia watu wote watano ndani ya mwaka mmoja ni kwasababu bima tunayotumia ni social insurance. Tunachangiana kwenye matibabu, asiyeumwa anamchangia anayeumwa apate matibabu. Mfano, kwawastani mgonjwa mmoja hutumia wastani wa 40,000/= kwa siku moja kwa magonjwa ya kawaida aendapo hospitali ya rufaa. Ila ukiweka magonjwa yasiyoambukizwa kama kisukari na pressure huo mchango unamalizika ndani ya siku 1 ndani ya mwaka na bado itazidi. Ukiweka matibabu maalumu kama dialysis au matibabu ya cancer ndio unaweza usione thamani hata ya mshahara wanaokulipa.
Ila kukopeshana ninyi wafanyakazi wa NHIF na kuipa serikali ya ccm ndo zinatosha? Kwa nini nanyi msiende benki kama wafanyakazi wa sekta zingine?
 
Sio katika staili hiyo. Iko hivi NHIF ina miongozo yao namna ya kutibu kila aina ya ugonjwa ambao mnufaika ataumwa. Kwa mfano mnufaika akiumwa malaria akienda hospitali anatakiwa apewe dawa mseto ambayo ina midonge mingiiii. Wakati dawa zingine mzuri za kutibu malaria zipo na za vidonge vichache na ukinywa hupati tena malaria mpaka mwaka upite. Kwa hiyo kama mtu hapendi mseto analazimika kwenda kununua na hela ingine wakati kila mwezi anakatwa hela. Na hizo dawa zingine ikizifata phamacy ni hela ndefu sometimes mpaka elf 15 kwa dozi
Si unajua anaekutibu ni daktari chief nasio NHIF. Hivyo yeye ndio anatoa dawa gani itumike kukutibia na dawa gani isitimike. Nahakuna muongozo wa NHIF bali kuna muongozo wa matibabu wa taifa ambao anaouitengeneza ni wizara ya afya nasio NHIF. Pili ukifuata mwongozo wa matibabu, dawa ya kutumika ni mseto halafu kuna ngazi za dawa kadri ugonjwa unavyokuwa sugu. Huwezi kuchukua morphine kutibi maumivu ya kichwa, kwanza utajiharibu kiafya pili utaumia kiuchumi.
 
Katika hili ki ukweli serikali ilipuyanga. Mi nashuria bora wapitie upya sheria hii na waifanyie maboresho. Wasiwachagulie wategemezi. Mfano nina rafiki angu mtumishi no mkubwa kwao mzazinqake kamsomesha kwa kuunga unga. Haya mama kamkatia bima lkn alitaka kumkatia bima mdogo wake imeshindikana.

Kwa hiyo mdogo akiumwa atoe hela wakati nafasi zipo. Kuna mdau kasema hapo eti kuna utaratibu wa kuwaweka watoto ambao sio wa tumbo. Ni kweli wanasema hadi upeleke cheti/ kibali cha kuasili ndo apatiwe bima? Je kuna mdau yeyote ashawahi kufatilia hizo taratibu aje atupe ushuhuda?

Ki ukweli kabisa acha tu wananchi waendeleee kudanganya. Sasa usikute hao mmoja wapo alikubali kuacha shule ili mwenzake asome,,haya leo amefika hapo unadhani atashindwa kufanya namna yoyote kwa ajili ya ndugu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unajua anaekutibu ni daktari chief nasio NHIF. Hivyo yeye ndio anatoa dawa gani itumike kukutibia na dawa gani isitimike. Nahakuna muongozo wa NHIF bali kuna muongozo wa matibabu wa taifa ambao anaouitengeneza ni wizara ya afya nasio NHIF. Pili ukifuata mwongozo wa matibabu, dawa ya kutumika ni mseto halafu kuna ngazi za dawa kadri ugonjwa unavyokuwa sugu. Huwezi kuchukua morphine kutibi maumivu ya kichwa, kwanza utajiharibu kiafya pili utaumia kiuchumi.
Unapuyanga mwenyewe yaani
 
Sasa Kama hujui NHIF hapa unaongelea Nini?

Mbona Kama Juha.

Bima ni muhimu ila NHIF ni takataka.

Kwa sentence hii nimegundua wewe ni JUHA na huna unachojua.

Kwa kukusaidia, NHIF Kujiunga ni HIARI ila kuanza kukatwa 3% ya Mshahara wako ni lazima tangu siku ya Kwanza.

Kwahiyo ni maamuzi yako kwenda kuchukua kadi au kuacha lakini Makato yako pale pale. Tena usipochukua ndio furaha yao.

Huna akili
😂😂😂 nani kakwambia ni lazima, ninani kakwambia hiyo 3% directly inawasilishwa NHIF. Unajua procedure inayotumika kuwasilisha hiyo 3% NHIF chief. Maana wewe unaona kuna 3% imekatwa kwenye mshahara halafu huo mshahara unatoka hazina, wewe unachoona tu pesa iliokwisha katwa imeingia kwenye account yako. Unajua jinsi 3% yako inafikaje NHIF chief😂😂😂. Natumai ushasikia kesi tofauti za watumishi kadi zao kutofanya kazi kwakuwa kadi yake haina michango ilihali inaonekana wanakatwa 3% kila mwezi. 😂😂😂 WaTz ni wasumbufu sana. Mimi ni Juha sawa ila tumia akili chief😂😂😂😂. Unafikiri wanaokukata ni NHIF🤣🤣🤣
 
Ndo matokeo ya kubadili kifumo pasipo kuangalia athari. Mtumishi ana nafasi 5 ambazo anapaswa awaunge watoto na mzazi. Lkn mnampangia wengine hawana wazazi ,,,wengine hawajabarikiwa kupata watoto wala wenza. Lkn kila mwisho wa mwezi anakatwa.. Serikali nayo iangalie

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ndo aliondoa hyo fursa ya watu kuwaeka ndugu zao
 
😂😂😂 nani kakwambia ni lazima, ninani kakwambia hiyo 3% directly inawasilishwa NHIF. Unajua procedure inayotumika kuwasilisha hiyo 3% NHIF chief. Maana wewe unaona kuna 3% imekatwa kwenye mshahara halafu huo mshahara unatoka hazina, wewe unachoona tu pesa iliokwisha katwa imeingia kwenye account yako. Unajua jinsi 3% yako inafikaje NHIF chief😂😂😂. Natumai ushasikia kesi tofauti za watumishi kadi zao kutofanya kazi kwakuwa kadi yake haina michango ilihali inaonekana wanakatwa 3% kila mwezi. 😂😂😂 WaTz ni wasumbufu sana. Mimi ni Juha sawa ila tumia akili chief😂😂😂😂. Unafikiri wanaokukata ni NHIF🤣🤣🤣
Hapa Kuna tatizo lolote kwa mwanachama???

Mbona unaweka weka emojis za kishoga, upinde Nini?

Mfanyakazi kakatwa 3% ya Mshahara wewe ulitakaje, aende kwa mwajiri aichukue hiyo pesa ailete NHIF mwenyewe??

Na kama tatizo uwasilishaji wa michango,mbona mbinu zote za NHIF ni kumkaanga mwanachama.

Narudia Tena, NHIF ni mavi ya kuharisha takataka.
 
Ila kukopeshana ninyi wafanyakazi wa NHIF na kuipa serikali ya ccm ndo zinatosha? Kwa nini nanyi msiende benki kama wafanyakazi wa sekta zingine?
Mbona kila taasisi zinakopeshana boss, kwanzia NSSF mpaka hizo zingine zote unazozijua. Halafu unanirefer mimi, kwani mimi NHIF
 
Kuna wapumbavu wamepewa Madaraka utadhani hawajakulia haya maisha yetu.

Familia nyingi hakosekani mtoto au Watoto ambao ni extended family unawalea.

Sasa kama unawalea na kuwasomesha matibabu wanapata kwa nani? Ni ujinga na kujisahau.

Inachotakiwa ni mwanachama yeye ndio atajaza idadi ya tegemezi alioruhusiwa idadi na atamuweka nani hilo ni jukumu na maamuzi ya mwanachama mwenyewe siyo mambo ya kupangiana.
Mwanzoni ilikua hvyoo mi bima yangu ilikua na wadogo zangu na dogo mmoja jirani walikua hawauzuiii...awamu ya mwenda zake Ndo ilikuja nasheria za ajabu ajabu mradi tu kukomoana
 
Hapa Kuna tatizo lolote kwa mwanachama???

Mbona unaweka weka emojis za kishoga, upinde Nini?

Mfanyakazi kakatwa 3% ya Mshahara wewe ulitakaje, aende kwa mwajiri aichukue hiyo pesa ailete NHIF mwenyewe??

Na kama tatizo uwasilishaji wa michango,mbona mbinu zote za NHIF ni kumkaanga mwanachama.

Narudia Tena, NHIF ni mavi ya kuharisha takataka.
As usual, mnaupinga ila mnautaja sana kinywani mwenu halafu hauwatoki. Kimtokacho mtu, ndicho kimjazacho😂😂😂. Get yourself together man!
 
Back
Top Bottom