Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

Unaongea sababu ni mzima wa afya.
Ukiugua ndiyo utajua umuhimu wa bima
 
Na Bado watu watafoji sana maana wanawalazimisha nani aingie kwenye bima badala ya mtu kuachiwa amue nani anamuweka
Sasa utafoji vp wakati RITA, NIDA wanahusika?
Au hujui Family Tree inaanza tengenezwa ?
 
Hiyo ni kwa sasa, zamani haikuwa hivyo maana NIDA haikuwepo
 
Kwenye cheti cha ndoa NIDA haihusiki

Kwenye NHIF Principal pekee ndiye NIDA jnahitajika tena hii ni kwa waajiriwa wapya, wa zamani NIDA haikuwepo
kama unadanganya jina kwenye cheti cha ndoa mbona sasa unajisumbua maana kinachomatter ni jina la namba ya NIDA... wewe ukimuoaa mtoto wa mama mdogo wako NHIF watahitaji namba yake ya nida hata kama cheti cha ndoa mkidanganya means kiendane na nida huwezi pishanisha jina la nida na cheti cha ndoa.
 
Sio lazima, kuna mikoa mingi ambapo majina ya wazazi hayaendani na watoto na hili ni janga. Hasa mikoa ya kanda ziwa mfano Kagera!
Na hilo ndilo kosa ambalo watu hulifanya.

Kwa kawaida yatakiwa jina la mzazi liwe la kati, kisha la Mwanzilishi wa familia
 
Magufuli ndo aliondoa hyo fursa ya watu kuwaeka ndugu zao
Msitoe shutuma bila uthibitisho.

Lengo hilo lilikuwa la NHIF maana mfuko ulikuwa waelekea pabaya,
Na ndio maana wakaanzisha na ulazima kwa wamafunzi wote wa vyuo kujiunga
 
Nimesema kuwa hayo yalitokea zamani kabla ya NIDA na ndo maana kwenye gazeti aliyesema ni Shehe ma sio NHIF
 
Huna akili na huelewi chochote
Baba yako ndio hana akili kwa kuzaa mtoto shoga kama wewe, ni Heri angepiga punyeto tu au kutumia condom angeikowa dunia kujazwa na jitu jinga kama wewe.
 
Baba yako ndio hana akili kwa kuzaa mtoto shoga kama wewe, ni Heri angepiga punyeto tu au kutumia condom angeikowa dunia kujazwa na jitu jinga kama wewe.
Baba yako mwenyewe ni shoga

Hata hao watoto wako nao ni mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…