UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

Wakiwatengea mabasi yao na watu wazima watapanda humohumo na kulazimisha kupata siti na wakikosa wataanza kuwalaani vikali watoto, hapo ndio utajua nchi ngumu hii.
 
Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa

wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale kituo cha DIT watoto wakati wanasukumana gafla wakamsukuma mdada mmoja aisee yule dada alikuwa mbogooo

Nimefikiria iwe busara sasa Udart embu tengeni walau basi 1 au 2 liwe specially kwa kubeba wanafunzi

Asante naomba niwasilishe kwenu
Nimefikiria iwe busara sasa Udart embu tengeni walau basi 1 au 2 liwe specially kwa kubeba wanafunzi
[emoji1545]
 
Wawekewe utaratibu mzuri tu...kuwawekea wanafunzi basi lao Itakua kama ni school bus..na ujiulize wataweka mabasi mangapi...it's obvious yanatakiwa kuwa idadi SAwa tu na haya mabasi mengine..of which Itakua ni investment ingine ambayo sidhani kama italipa..
Hakuna kitu kama icho aisee zamani liliwah kuwapo kwa uzamin wa bank flani yalikuwa mawili,linatoka asubuh alaf jioni ,kwasababu tulikuwa tunatwangana na makondakta sana,
 
Naunga mkono hoja.
Wengi wao hawana adabu,

Wakikalia siti wakiona wakubwa wamesima ,, ndy kwnz wanalala usingizi ,
Kana kwamba hawakuoni.
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.
 
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.
Taifa linapitia kipindi cha aina ya vijana wa hovyo Sana..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.

vijana nao wana haki ya kukaa kwenye siti. mtu mzima ikikuuma sana nunua gari yako
 
Back
Top Bottom