UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

Wakiwatengea mabasi yao na watu wazima watapanda humohumo na kulazimisha kupata siti na wakikosa wataanza kuwalaani vikali watoto, hapo ndio utajua nchi ngumu hii.
 
Nimefikiria iwe busara sasa Udart embu tengeni walau basi 1 au 2 liwe specially kwa kubeba wanafunzi
[emoji1545]
 
Hakuna kitu kama icho aisee zamani liliwah kuwapo kwa uzamin wa bank flani yalikuwa mawili,linatoka asubuh alaf jioni ,kwasababu tulikuwa tunatwangana na makondakta sana,
 
Naunga mkono hoja.
Wengi wao hawana adabu,

Wakikalia siti wakiona wakubwa wamesima ,, ndy kwnz wanalala usingizi ,
Kana kwamba hawakuoni.
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.
 
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.
Taifa linapitia kipindi cha aina ya vijana wa hovyo Sana..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mtoto hana haki ya kukaa kwenye kiti?

Akupishe wewe mtu mzima una kipi cha ajabu?

Kama unachoka na yeye anachoka vilevile. Usijione wa muhimu sana kwenye mambo madogo kama hayo.

vijana nao wana haki ya kukaa kwenye siti. mtu mzima ikikuuma sana nunua gari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…