Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai

Ni suala la muda ukifika atapelekwa tu
ok muda huo huo umefanya sabaya tuwe nae mtaani wakati story za vijiweni kauwa watu, kqvunja moguu, kachukua mabilioni ya watu, Kabaka,😁😁😁😁
 
ok muda huo huo umefanya sabaya tuwe nae mtaani wakati story za vijiweni kauwa watu, kqvunja moguu, kachukua mabilioni ya watu, Kabaka,😁😁😁😁
Hata Sabaya atarudi tena Mahakamani mbona makosa ni mengi tu!! Jinai haizeeki wala kufa
 
Kwa awamu ile alikuwa hakamatiki bwashee...
 
Attachments

  • Musiba.jpg
    15.9 KB · Views: 2
Udhaifu unao wewe binafsi na sio Jeshi la Polisi. Saed Kubenea kama mtu binafsi alimfungulia kesi Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Studios. Wewe na udhaifu wako unawalaumu Polisi na kujificha eti mtu binafsi hafungui kesi ya jinai! Ya Kubenea dhidi ya Makonda kuvamia Clouds Studios sio jinai? Pumbavu!!!!!
 
Mwendawazimu kitu peke anachokiweza ni kutukana. Hakuna mwendawazimu au kichaa mwenye uwezo wa kujenga hoja, lakini wapo vichaa wengi wanaoporomosha matusi.

Pole sana kwa matatizo ya afya ya akili unayoyapitia.
 
Mimi binafsi, Musiba hakuwa mwehu, kuna ukweli ndani yake ndio maana watu wanakuwa wakali. Kumbuka "ukweli unauwa".
 
Mwendawazimu kitu peke anachokiweza ni kutukana. Hakuna mwendawazimu au kichaa mwenye uwezo wa kujenga hoja, lakini wapo vichaa wengi wanaoporomosha matusi.

Pole sana kwa matatizo ya afya ya akili unayoyapitia.
Jibu swali langu wewe dhaifu!
 
Wanaofanya hivyo ni wale waliokuwa karibu na ule utawala wa giza ambao pengine walikuwa wakichangamana kwa karibu na Musiba.
 
Waliompiga risasi na kumvunja kisigino mbowe hawajawahi kuhojiwa mipaka leo
 
Kwani msiba alisema uongo kuhusu kumteta rais hadi audio zao tukazisikia watz?tunaomba mwenye zile audio za mazungumzo ya kumsema vibaya rais azitupie humu ili watz tujue mwenye kosa ni nani.
Kakateni rufaa.
Mahakama ilishaamua
 
Mkuu inaonekana una stress na chuki sana moyoni mwako. Hebu kunywa maji kwanza ulalae utarudi badae[emoji28][emoji28]
Huyu awekwe jirani na ndg zake la sivyo watampoteza.
Mana ana uchungu wa kufiwa na Jiwe kuliko ht watt wa Marehemu mwenyewe
 
Huyu awekwe jirani na ndg zake la sivyo watampoteza.
Mana ana uchungu wa kufiwa na Jiwe kuliko ht watt wa Marehemu mwenyewe
Wamuuwe tu maana hata tukimuona zinaturudia kumbukumbu mbaya za magufuri
 
Nafikiri pia wangeanza kukwamatwa wanaharakati uchwara waliokuwa wanamtukana Magufuli na kulichafua taifa mitandaoni mfano Mange kimambi, Tobias Marandu, kigogo na wengine wengi mliokuwa mnatukana rais Magufuli kupitia kichaka cha siasa za uhanaharakati
 
Kwani Makonda kuvamia clouds nyie nyumbu inawawasha nini uongozi wa clouds wamesema hawana mpango wa kumshtaki Makonda nyie nyumbu mmeshika mabango kama clouds ni yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…