Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Magufuli hakuwa anamtuma Musiba?Rais amtume Musiba?!.
Acha uongo. Rais ana watu wa kuwatuma, sio Musiba.
Unafikiri ni kwa nini Musiba amepotea baada ya Magufuli kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hakuwa anamtuma Musiba?Rais amtume Musiba?!.
Acha uongo. Rais ana watu wa kuwatuma, sio Musiba.
ok muda huo huo umefanya sabaya tuwe nae mtaani wakati story za vijiweni kauwa watu, kqvunja moguu, kachukua mabilioni ya watu, Kabaka,😁😁😁😁Ni suala la muda ukifika atapelekwa tu
Hata Sabaya atarudi tena Mahakamani mbona makosa ni mengi tu!! Jinai haizeeki wala kufaok muda huo huo umefanya sabaya tuwe nae mtaani wakati story za vijiweni kauwa watu, kqvunja moguu, kachukua mabilioni ya watu, Kabaka,😁😁😁😁
Kwa awamu ile alikuwa hakamatiki bwashee...Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya.
Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika wazi akihamasisha baadhi ya watu kama Tundu Lisu kuuawa, alisikika wazi akiwatukana watu kama Zito kuwa walikuwa wanagombania shoga. Kauli hizo zilisikika wazi kabisa, na kwa uhakika hakuna kiongozi wa Polisi ambaye hakumsikia.
Lakini kati ya aliowataja, mtu kama Lisu aliishia kupigwa risasi. Lakini wapo ambao mpaka leo wamepotezwa au kuuawa. Tuna uhakika gani kuwa hao walioshambuliwa kwa lengo la kuwaua, au waliopotezwa au waliouawa, hawakuafanyiwa hayo yote kwa kuhamasishwa na kauli za watu waovu kama Musiba? Au pengine hata Musiba mwenyewe kushiriki?
Kazi ya polisi ni pamoja na kuchunguza matukio yote yenye viashiaria vya uhalifu, na kisha kama kuna uhalifu uliothibitika, ni mhusika kufikishwa mahakamani. Kwa nini hilo halikufanyika dhidi ya Musiba? Au jeshi la Polisi ili kufanya kazi ni lazima liamriwe na viongozi wa kisiasa ambao siyo Polisi, ndiyo lifanye kazi? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Jeshi la Polisi.
Shukrani nyingi sana kwa Mh. Membe kwa kuchukua hatua dhidi ya muovu huyu (mahakama imethibitisha). Nadhani Membe aliamua kuchukua hatua ya kumshtaki Musiba baada ya kuona Jeshi la Polisi limeshindwa kufanya kazi yake.
Na kwa vile mtu binafsi hawezi kumfungulia mhalifu wa makosa ya jinai kwa shtaka la jinai, aliamua kufungua kesi ya kuvunjiwa heshima. Na mahakama ikatoa hukumu. Hukumu hii japo siyo ya kumpeleka mhalifu Musiba gerezani, lakini angalao inamfanya Musiba alipie uhalifu wake.
Mhalifu anapoadhibiwa, inapeleka ujumbe mpana kwa wahalifu wengine au wanaotegemea kuwa wahalifu. Hatutaki Musiba wengine, hivyo ni vema ujumbe huu uwafikie Musiba wengine kwa ukamilifu. Mhalifu mmoja anapoadhibiwa sawasawa, unawalinda Watanzania mamilioni walio wema.
Jambo la kusikitisha ni taarifa kuwa eti kuna viongozi wa dini wamekuwa wakitumwa na Musiba kwenda kwa Membe kutaka Musiba asiadhibiwe. Hilo linasikitisha sana. Na tungependa kuuliza, hawa viongozi wa dini wakati Musiba anahamasisha watu wengine wauawe, walikuwa wapi? Walitoa kauli gani?
Je, wamechunguza kauli hizo za Musiba zilisababisha watu wangapi wauawe, kutekwa au kupotezwa? Wanaupata wapi ujasiri wa kusimama na muovu mmoja dhidi ya familia, marafiki na ndugu wa wale ambao jamaa zao au waliuawa, walishambukiwa au kupotezwa?
Tunamshukuru sana Mh. Membe kwa kulisimamia hili. Manufaa ya hili ni mapana sana, hasa kwa vizazi vya sasa na vya mbeleni. Na utekelezaji wa hukumu hii uwekwe wazi sana, utangazwe ili watu wajue kuwa uovu huwa hausimami milele. Watu wajivunie wema na siyo uovu unaoweza kukupa mafanikio na umaarufu wa muda mfupi.
Udhaifu unao wewe binafsi na sio Jeshi la Polisi. Saed Kubenea kama mtu binafsi alimfungulia kesi Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Studios. Wewe na udhaifu wako unawalaumu Polisi na kujificha eti mtu binafsi hafungui kesi ya jinai! Ya Kubenea dhidi ya Makonda kuvamia Clouds Studios sio jinai? Pumbavu!!!!!Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya.
Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika wazi akihamasisha baadhi ya watu kama Tundu Lisu kuuawa, alisikika wazi akiwatukana watu kama Zito kuwa walikuwa wanagombania shoga. Kauli hizo zilisikika wazi kabisa, na kwa uhakika hakuna kiongozi wa Polisi ambaye hakumsikia.
Lakini kati ya aliowataja, mtu kama Lisu aliishia kupigwa risasi. Lakini wapo ambao mpaka leo wamepotezwa au kuuawa. Tuna uhakika gani kuwa hao walioshambuliwa kwa lengo la kuwaua, au waliopotezwa au waliouawa, hawakuafanyiwa hayo yote kwa kuhamasishwa na kauli za watu waovu kama Musiba? Au pengine hata Musiba mwenyewe kushiriki?
Kazi ya polisi ni pamoja na kuchunguza matukio yote yenye viashiaria vya uhalifu, na kisha kama kuna uhalifu uliothibitika, ni mhusika kufikishwa mahakamani. Kwa nini hilo halikufanyika dhidi ya Musiba? Au jeshi la Polisi ili kufanya kazi ni lazima liamriwe na viongozi wa kisiasa ambao siyo Polisi, ndiyo lifanye kazi? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Jeshi la Polisi.
Shukrani nyingi sana kwa Mh. Membe kwa kuchukua hatua dhidi ya muovu huyu (mahakama imethibitisha). Nadhani Membe aliamua kuchukua hatua ya kumshtaki Musiba baada ya kuona Jeshi la Polisi limeshindwa kufanya kazi yake.
Na kwa vile mtu binafsi hawezi kumfungulia mhalifu wa makosa ya jinai kwa shtaka la jinai, aliamua kufungua kesi ya kuvunjiwa heshima. Na mahakama ikatoa hukumu. Hukumu hii japo siyo ya kumpeleka mhalifu Musiba gerezani, lakini angalao inamfanya Musiba alipie uhalifu wake.
Mhalifu anapoadhibiwa, inapeleka ujumbe mpana kwa wahalifu wengine au wanaotegemea kuwa wahalifu. Hatutaki Musiba wengine, hivyo ni vema ujumbe huu uwafikie Musiba wengine kwa ukamilifu. Mhalifu mmoja anapoadhibiwa sawasawa, unawalinda Watanzania mamilioni walio wema.
Jambo la kusikitisha ni taarifa kuwa eti kuna viongozi wa dini wamekuwa wakitumwa na Musiba kwenda kwa Membe kutaka Musiba asiadhibiwe. Hilo linasikitisha sana. Na tungependa kuuliza, hawa viongozi wa dini wakati Musiba anahamasisha watu wengine wauawe, walikuwa wapi? Walitoa kauli gani?
Je, wamechunguza kauli hizo za Musiba zilisababisha watu wangapi wauawe, kutekwa au kupotezwa? Wanaupata wapi ujasiri wa kusimama na muovu mmoja dhidi ya familia, marafiki na ndugu wa wale ambao jamaa zao au waliuawa, walishambukiwa au kupotezwa?
Tunamshukuru sana Mh. Membe kwa kulisimamia hili. Manufaa ya hili ni mapana sana, hasa kwa vizazi vya sasa na vya mbeleni. Na utekelezaji wa hukumu hii uwekwe wazi sana, utangazwe ili watu wajue kuwa uovu huwa hausimami milele. Watu wajivunie wema na siyo uovu unaoweza kukupa mafanikio na umaarufu wa muda mfupi.
Mwendawazimu kitu peke anachokiweza ni kutukana. Hakuna mwendawazimu au kichaa mwenye uwezo wa kujenga hoja, lakini wapo vichaa wengi wanaoporomosha matusi.Udhaifu unao wewe binafsi na sio Jeshi la Polisi. Saed Kubenea kama mtu binafsi alimfungulia kesi Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Studios. Wewe na udhaifu wako unawalaumu Polisi na kujificha eti mtu binafsi hafungui kesi ya jinai! Ya Kubenea dhidi ya Makonda kuvamia Clouds Studios sio jinai? Pumbavu!!!!!
Jibu swali langu wewe dhaifu!Mwendawazimu kitu peke anachokiweza ni kutukana. Hakuna mwendawazimu au kichaa mwenye uwezo wa kujenga hoja, lakini wapo vichaa wengi wanaoporomosha matusi.
Pole sana kwa matatizo ya afya ya akili unayoyapitia.
Wanaofanya hivyo ni wale waliokuwa karibu na ule utawala wa giza ambao pengine walikuwa wakichangamana kwa karibu na Musiba.Huyu shetani alihamasisha;
1.watu kuuawa
2.kuvunjwa miguu
3. Kupigwa
Wakati akifanya haya watu wa dini walikaa kimya bila kukemea au kumpinga!
Leo hii sheria imechukua mkondo wake ndio wanainuka kumuombea!
Ni vyema wakae kimya kuliko kujidharaulisha mbele ya jamii ili huyu fisi maji awajibike kwa uovu wake!
Waliompiga risasi na kumvunja kisigino mbowe hawajawahi kuhojiwa mipaka leoKuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya.
Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika wazi akihamasisha baadhi ya watu kama Tundu Lisu kuuawa, alisikika wazi akiwatukana watu kama Zito kuwa walikuwa wanagombania shoga. Kauli hizo zilisikika wazi kabisa, na kwa uhakika hakuna kiongozi wa Polisi ambaye hakumsikia.
Lakini kati ya aliowataja, mtu kama Lisu aliishia kupigwa risasi. Lakini wapo ambao mpaka leo wamepotezwa au kuuawa. Tuna uhakika gani kuwa hao walioshambuliwa kwa lengo la kuwaua, au waliopotezwa au waliouawa, hawakuafanyiwa hayo yote kwa kuhamasishwa na kauli za watu waovu kama Musiba? Au pengine hata Musiba mwenyewe kushiriki?
Kazi ya polisi ni pamoja na kuchunguza matukio yote yenye viashiaria vya uhalifu, na kisha kama kuna uhalifu uliothibitika, ni mhusika kufikishwa mahakamani. Kwa nini hilo halikufanyika dhidi ya Musiba? Au jeshi la Polisi ili kufanya kazi ni lazima liamriwe na viongozi wa kisiasa ambao siyo Polisi, ndiyo lifanye kazi? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Jeshi la Polisi.
Shukrani nyingi sana kwa Mh. Membe kwa kuchukua hatua dhidi ya muovu huyu (mahakama imethibitisha). Nadhani Membe aliamua kuchukua hatua ya kumshtaki Musiba baada ya kuona Jeshi la Polisi limeshindwa kufanya kazi yake.
Na kwa vile mtu binafsi hawezi kumfungulia mhalifu wa makosa ya jinai kwa shtaka la jinai, aliamua kufungua kesi ya kuvunjiwa heshima. Na mahakama ikatoa hukumu. Hukumu hii japo siyo ya kumpeleka mhalifu Musiba gerezani, lakini angalao inamfanya Musiba alipie uhalifu wake.
Mhalifu anapoadhibiwa, inapeleka ujumbe mpana kwa wahalifu wengine au wanaotegemea kuwa wahalifu. Hatutaki Musiba wengine, hivyo ni vema ujumbe huu uwafikie Musiba wengine kwa ukamilifu. Mhalifu mmoja anapoadhibiwa sawasawa, unawalinda Watanzania mamilioni walio wema.
Jambo la kusikitisha ni taarifa kuwa eti kuna viongozi wa dini wamekuwa wakitumwa na Musiba kwenda kwa Membe kutaka Musiba asiadhibiwe. Hilo linasikitisha sana. Na tungependa kuuliza, hawa viongozi wa dini wakati Musiba anahamasisha watu wengine wauawe, walikuwa wapi? Walitoa kauli gani?
Je, wamechunguza kauli hizo za Musiba zilisababisha watu wangapi wauawe, kutekwa au kupotezwa? Wanaupata wapi ujasiri wa kusimama na muovu mmoja dhidi ya familia, marafiki na ndugu wa wale ambao jamaa zao au waliuawa, walishambukiwa au kupotezwa?
Tunamshukuru sana Mh. Membe kwa kulisimamia hili. Manufaa ya hili ni mapana sana, hasa kwa vizazi vya sasa na vya mbeleni. Na utekelezaji wa hukumu hii uwekwe wazi sana, utangazwe ili watu wajue kuwa uovu huwa hausimami milele. Watu wajivunie wema na siyo uovu unaoweza kukupa mafanikio na umaarufu wa muda mfupi.
Tuanze kwanza kukamata lile shetani lenu la Chato kwa kula rambirambi za tetemeko la KageraHata Lisu anatakiwa akamatwe kwa kufanya jinai na kusaliti taifa
Kakateni rufaa.Kwani msiba alisema uongo kuhusu kumteta rais hadi audio zao tukazisikia watz?tunaomba mwenye zile audio za mazungumzo ya kumsema vibaya rais azitupie humu ili watz tujue mwenye kosa ni nani.
Huyu awekwe jirani na ndg zake la sivyo watampoteza.Mkuu inaonekana una stress na chuki sana moyoni mwako. Hebu kunywa maji kwanza ulalae utarudi badae[emoji28][emoji28]
Sijui atakujibu....Magufuli hakuwa anamtuma Musiba?
Unafikiri ni kwa nini Musiba amepotea baada ya Magufuli kufa?
Wamuuwe tu maana hata tukimuona zinaturudia kumbukumbu mbaya za magufuriHuyu awekwe jirani na ndg zake la sivyo watampoteza.
Mana ana uchungu wa kufiwa na Jiwe kuliko ht watt wa Marehemu mwenyewe
Nafikiri pia wangeanza kukwamatwa wanaharakati uchwara waliokuwa wanamtukana Magufuli na kulichafua taifa mitandaoni mfano Mange kimambi, Tobias Marandu, kigogo na wengine wengi mliokuwa mnatukana rais Magufuli kupitia kichaka cha siasa za uhanaharakatiKuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya.
Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika wazi akihamasisha baadhi ya watu kama Tundu Lisu kuuawa, alisikika wazi akiwatukana watu kama Zito kuwa walikuwa wanagombania shoga. Kauli hizo zilisikika wazi kabisa, na kwa uhakika hakuna kiongozi wa Polisi ambaye hakumsikia.
Lakini kati ya aliowataja, mtu kama Lisu aliishia kupigwa risasi. Lakini wapo ambao mpaka leo wamepotezwa au kuuawa. Tuna uhakika gani kuwa hao walioshambuliwa kwa lengo la kuwaua, au waliopotezwa au waliouawa, hawakuafanyiwa hayo yote kwa kuhamasishwa na kauli za watu waovu kama Musiba? Au pengine hata Musiba mwenyewe kushiriki?
Kazi ya polisi ni pamoja na kuchunguza matukio yote yenye viashiaria vya uhalifu, na kisha kama kuna uhalifu uliothibitika, ni mhusika kufikishwa mahakamani. Kwa nini hilo halikufanyika dhidi ya Musiba? Au jeshi la Polisi ili kufanya kazi ni lazima liamriwe na viongozi wa kisiasa ambao siyo Polisi, ndiyo lifanye kazi? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Jeshi la Polisi.
Shukrani nyingi sana kwa Mh. Membe kwa kuchukua hatua dhidi ya muovu huyu (mahakama imethibitisha). Nadhani Membe aliamua kuchukua hatua ya kumshtaki Musiba baada ya kuona Jeshi la Polisi limeshindwa kufanya kazi yake.
Na kwa vile mtu binafsi hawezi kumfungulia mhalifu wa makosa ya jinai kwa shtaka la jinai, aliamua kufungua kesi ya kuvunjiwa heshima. Na mahakama ikatoa hukumu. Hukumu hii japo siyo ya kumpeleka mhalifu Musiba gerezani, lakini angalao inamfanya Musiba alipie uhalifu wake.
Mhalifu anapoadhibiwa, inapeleka ujumbe mpana kwa wahalifu wengine au wanaotegemea kuwa wahalifu. Hatutaki Musiba wengine, hivyo ni vema ujumbe huu uwafikie Musiba wengine kwa ukamilifu. Mhalifu mmoja anapoadhibiwa sawasawa, unawalinda Watanzania mamilioni walio wema.
Jambo la kusikitisha ni taarifa kuwa eti kuna viongozi wa dini wamekuwa wakitumwa na Musiba kwenda kwa Membe kutaka Musiba asiadhibiwe. Hilo linasikitisha sana. Na tungependa kuuliza, hawa viongozi wa dini wakati Musiba anahamasisha watu wengine wauawe, walikuwa wapi? Walitoa kauli gani?
Je, wamechunguza kauli hizo za Musiba zilisababisha watu wangapi wauawe, kutekwa au kupotezwa? Wanaupata wapi ujasiri wa kusimama na muovu mmoja dhidi ya familia, marafiki na ndugu wa wale ambao jamaa zao au waliuawa, walishambukiwa au kupotezwa?
Tunamshukuru sana Mh. Membe kwa kulisimamia hili. Manufaa ya hili ni mapana sana, hasa kwa vizazi vya sasa na vya mbeleni. Na utekelezaji wa hukumu hii uwekwe wazi sana, utangazwe ili watu wajue kuwa uovu huwa hausimami milele. Watu wajivunie wema na siyo uovu unaoweza kukupa mafanikio na umaarufu wa muda mfupi.
Kwani Makonda kuvamia clouds nyie nyumbu inawawasha nini uongozi wa clouds wamesema hawana mpango wa kumshtaki Makonda nyie nyumbu mmeshika mabango kama clouds ni yenuUdhaifu unao wewe binafsi na sio Jeshi la Polisi. Saed Kubenea kama mtu binafsi alimfungulia kesi Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Studios. Wewe na udhaifu wako unawalaumu Polisi na kujificha eti mtu binafsi hafungui kesi ya jinai! Ya Kubenea dhidi ya Makonda kuvamia Clouds Studios sio jinai? Pumbavu!!!!!
Nafikiri pia wangeanza kukwamatwa wanaharakati uchwara waliokuwa wanamtukana Magufuli na kulichafua taifa mitandaoni mfano Mange kimambi, Tobias Marandu, kigogo na wengine wengi mliokuwa mnamtukana rais Magufuli kupitia kichaka cha siasa za uhanaharakati
😅😅😅Huyu awekwe jirani na ndg zake la sivyo watampoteza.