Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Ahaa Shukran sana mkuu
 
Udhaifu kwa kizungu weakness
Lakini kwa wenzetu haimaanishi kuwa kitu hasi, wakati mwingine ni kitu chanya kwako binafsi, ila hakiendani na mazingira yako.
Wakati mwingine udhaifu unaweza kuwa kufanya kazi kwa bidii kwenye suala fulani na kukusabishia kupoteza muda mwingi, japo utalifanya kwa ustadi mkubwa, huo ni udhaifu yaani weakness kwenye kupoteza muda

Kwenye usaili wa kazi, hii ilianzia ulaya, ila naona wabongo pia wameanza kuitumia, ambapo unaulizwa nini ni udhaifu wako na nini ni ushupavu wako?
Unapojibu unatakiwa kuugeza udhaifu kuwa ushupavu, kama mfano niloutolea, au kusomea mimi nafanya kazi vizuri kwa ustadi nikiiifanya peke yangu japo najua niokoa muda kama tukifanya kwa kushirikiana na wenzagu.
 
Hapana mkuu nakataa. Fedha inamambo mengi sana

Siku nikapata wasaa nitakuja na Uzi unaohusu maisha yangu na mambo ya biashara hope watu wengi watajifunza kitu.
Kwahiyo mkuu, kwakuwa fedha ina mambo mengi nikisema kuikosa ni udhaifu nakuwa nakosea!
 
Ambao mtoto hajaanza hata kutembea.

Anyway, technically tabia zote zilizopo duniani zilianzia kwenye uasili wa mtu fulani coz hakuna tabia ambayo watu wamekuja wameikuta inaelea elea hapa duniani.
Nimekwambia kuwa hakuna kiumbe ambacho hakina upendo.

Na huo ndo ukweli., mtoto mdogo asili yake ni upendo, ila Kadri a navyo ingia kwenye uhalisia wa survival ndo ana develop character ili a survive.
 
Kwahiyo mkuu, kwakuwa fedha ina mambo mengi nikisema kuikosa nakuwa nakosea!
Kwa kiasi Fulani unakosea.

Nikupe mfano Kuna mwamba nilifanya nae biashara alipoteza zaidi ya 60milioni kwa mbao zake kuungua porini + gari. Jamaa sahivi hataki kusikia maswala ya biashara

Mtu kama huyo akikuomba elfu kumi unaweza kusema ni mvivu kufanya kazi lakini alichokibeba moyoni mwake anajua yeye.

Likija swala la fedha Huwa namuomba Mungu azidi kunipa hekima.
 
Hili neno Udhaifu ni fupi lakini lina tafsiri nyingi
Shukran sana mkuu mmetendea haki uzi
 
Nimekwambia kuwa hakuna kiumbe ambacho hakina upendo.

Na huo ndo ukweli., mtoto mdogo asili yake ni upendo, ila Kadri a navyo ingia kwenye uhalisia wa survival ndo ana develop character ili a survive.
Sio kweli, ingekua hivyo basi watu wanaoishi kwenye eneo moja wote wangekua na tabia zinazofanana coz wote wangekua wanadevelop character zinazowawezesha kusurvive kwenye mazingira hayo waliyopo na character zao zingekua za aina moja tu.

Chukulia mfano hata wa wanyama wa porini then Jenga logics zako kupitia hapo.

Zipo tabia zinazojengwa kutokana na mazingira kweli ila haziingii kwenye udhaifu.

Kwamfano watu wanaamini watu wengi wanaotokea kwenye nchi zenye baridi Kali wanatumia sana pombe kali, ila pia ukikaa na wachina walio wengi wanavuta sana sigara na kadhalika (huu wote ni uraibu ila sio character ya ndani ya mtu husika)
 
Hayo aliyoyapitia hayaondoi ninachokisema. Ni udhaifu kwasababu ameshindwa kuinuka na kuendelea kupambana
I can't judge that way, kama aliweza kuraise from zero to millions shilling iweje Leo awe dhaifu?

Kuna mambo unaweza kuyajudge endapo tuu umeshawahi kupita hiyo njia.

I can tell you, He's not weak but he need time, he need God and He need his luck/chance to boomerang.

Mfumo wa fedha upo tofauti sana ndio maana huwa sipendi kukoment chochote, nikimkuta mtu katika Hali ya utajiri au umaskini huwa najaribu tuu kumuelewa na kama ninauwezo wa kufanya jambo huwa nafanya kwa nafasi.

My point is

Maswala ya fedha hayana mjanja, biblia inasema "MIMI NI MUNGU NIKUPAYE NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI"

Utajiri ni Hali ya kuwa na ziada, kama mtu anayoziada bhasi amshukuru Mungu na kwa yule asiye na ziada nae pia amuombe Mungu.

Hakuna udhaifu wowote juu ya kupata fedha na endapo utaona Kuna udhaifu juu ya kupata fedha bhasi unaweza kuchukua maamuzi magumu ndio kama hayo wengine wanajiuza, wanaume wanakua mashoga, wengine wanataka kafara so that they can catch up with style but the game of money doesn't play that way.

Speaking this with experience, I have been a millionaire of over 100milions Tsh at 23y.o and I found myself broke with zero Tsh at 26y.o bounce back at 28y.o and lost it all at 29y.o make it at 30y.o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…