Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Sifuri
 
Emar tafakari akili yako ndgu
 
hilo la kulala lako mm silijui, ilikuwa mission sababu ya ghadhabu, na lengo tunaonglea jE MUNGU hupata hasira? nahisi jibu umepata
Moyoni mwa mpumbavu ndipo hasira hukaa , tafakari Sana uwezo wako wa kufikiri bila kushikiwa akili
 
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Ina maana kwa akili yako unataka kutuambia sisi tunao muabudu Mola kwa sababu hiyo hatujui ya kuwa Shukurani ni katika Ibada...?

Nilichokiona kwako hujui maana ya tamko Ibada na hao Masheikh au Wachungaji hawakukufafanulia hilo.

Kwanye ibada ndiyo kwenye kufaulu na kutengamaa kwa mambo mengine, kwenye kuna utiifu, kwenye ibada kuna shukurani, kwenye ibada kuna wema na mfano wake.

Kwenye ibada kuna masharti na vigezo.
 
Hasira haijengi unaposema kitabu cha mungu unamaana kwamba hakikuandikwa kwamikono yabinadam nakama kimeandikwa namungu mungu asingeluhusu watu wavitoe copy kwa mashine zinazo hifadhi mpaka picha za xx yeye angevishusha kwawingi wajawake tuviokote
Nakama vimandikwa nawatu nakupritiwa hayo nimawazo binafsi yakibinadam kuhusu mungu naweza sema bible na Quran havina tofauti navitabu vya yeriko nyerere
 
Wewe jibu swali , USIPO MUABUDU MUNGU ANA PUNGUKIWA NA KITU GANI? UKIMUABUDU MUNGU ANAONGEZEKEWA NA KITU GANI?
Hapungukiwi na chochote wala haongezewi chochote bali ni utiifu kwake na kuonyesha shukurani ya wewe kuumbwa na kupewa muongozo wa kuweza kuishi na kufikia lengo la wewe kuumbwa kikamilifu.
 
Nakama vimandikwa nawatu nakupritiwa hayo nimawazo binafsi yakibinadam kuhusu mungu naweza sema bible na Quran havina tofauti navitabu vya yeriko nyerere
Kwani maneno ya Mola hayawezi kuandikwa na binadamu ?

Kingine usijenge hoja kwa dhana, kwamba kama hivi ingekuwa hivi, tukikuuliza uthibitishe hutaweza.

Naomba unijibu swali nililo kuuliza.
 
nasikitika jinsi mafundisho maovu ya upotoshji wa neno la MUNGU yanavyokuwa kwa kasi, iyo juu yako mm siijui luthu aliongoka kwa utakatifu wake, hilo b,sijawai kuona hivyo jijibu mwenyewe kulingana na upumbavu wako
Hii Ni kuonyesha wa Africa tumefahamu kuwa dini zililetwa kutu brain wash tu , tunamrejea Mungu wetu ambae Hana tabia za kinadam Kama wivu na hasira
 
Hapungukiwi na chochote wala haongezewi chochote bali ni utiifu kwake na kuonyesha shukurani ya wewe kuumbwa na kupewa muongozo wa kuweza kuishi na kufikia lengo la wewe kuumbwa kikamilifu.
Thank you bro. Haya ndo majibu niliyo kuwa nayatafuta. Nimejifunza kitu

Stay blessed
 
Kwani maneno ya Mola hayawezi kuandikwa na binadamu ?

Kingine usijenge hoja kwa dhana, kwamba kama hivi ingekuwa hivi, tukikuuliza uthibitishe hutaweza.

Naomba unijibu swali nililo kuuliza.
Hapo nimejalibu kukutanua kwamba sodoma nagomola nihadith Kama Hadith za watoto wamama ntilie nanyinginezo ila mungu waukuu nimungu aliyewekwa kwenye dhana potofu mungu wamizim yeye anakujia kwandoto kuku saidia dawa yamagonjwa nataarifa kuhusu yajayo back to Africa
 
Nataka tujadili hili jambo kielimu, usiandike kama uko kijiweni na wajinga.

Naomba unithibitishie ya kuwa hadithi za Sodoma na Gomora ni kama hadithi za watoto wa mama ntilie, kisha uniambie ni nani wa mwanzo kuelezea hadithi za Sodoma na Gomora na uniambie muandishi wa hadithi hizo ni nani.

Kingine swali langu la msingi hujajibu nimekuuliza hivi kwani maneno ya Mola hayawezi kuandikwa na Mwanadamu ?
 
Kama wewe nimwanaume natumai umenielewa vyakutosha
 
Kumuabudu Mungu ni faida yetu mahusiano yetu na Mungu ni kwa faida yetu usipo mwabudu hapati yeye hasara ila wewe
 
Umeongea jambo kubwa na la msingi ila subiri uone wehu watakavyokuja kupinga hoja hii
 
Kuabudu Ni kushkuru? Dah huwa unajisomeaga kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…