LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #141
Sifuri
Vijana wa kileo bhana.huyu pia kasoma civics ,chemistry,na maths na kafika chuo.familia inamtegemea.! Hana uwezo wa kufikiri hana chochote kichwani zaidi ya cheti chake cha form 4 .kilicho na D nyingi.
Sasa ww kusikia kama mungu anataka umuabudu ndio unakataa kwa kuwa mungu hata usipomuabudu hakuna unachokiongeza kwake ? Ni kweli ukimuabudu mungu au usipo abudu huongezi wala kupunguza ukwasi wa mungu ALLAH . Nikupe mfano mwalimu wako shule anapokupa mtihani ufanye ukipata sifuri au 100 yeye anafaidika nini?? Sana ni ww uliopata A unakuwa daraja la juu na uliepata zero unapata daraja la chini.!!! Hivi vitu mifano yake ni mingi mno wala sio hadi usome havard university ndio ujue kuwa mungu ametaKa tumuabudu yeye kwa faida yetu sisi ili mwisho wa siku akatupe hesabu zetu kama ni mtu wa motoni ataenda motoni kama ni mtu wa peponi ataenda peponi .simple and clear .kama ww unaona haina haja ya kumuabudu Mungu yaan Allah.! Basi fanya hicho kiburi kama unaona labda wewe ndio wa kwanza kuacha ibada.
Duniani hatukuja kutafuta pesa tu na pombe na wanawake