Serikali pendwa ya CCM imejaza mijizi! CCM ni wezi, wanafiki, waongo, walafi. CCM wanahitaji toba
kwahiyo unataka CAG aje akwambie Nape na Makamba ni wezi?Hata kama imejaa majizi bila kuonyesha mwizi au wezi husika zinakuwa porojo tu za kuwatoa watu povu kwa muda kisha kupuuzwa na kutupwa kapuni.
Mtu unaweza tokwa povu kuwa Taasisi imepiga bilioni kadhaa kumbe ni matumizi Tu ya vimemo.Hata kama imejaa majizi bila kuonyesha mwizi au wezi husika zinakuwa porojo tu za kuwatoa watu povu kwa muda kisha kupuuzwa na kutupwa kapuni.
Marehemu hashitakiwagiCAG ametaja uhuni ulifanyika katika ununuzi wa ndege
inamaana mpaka hapo huelewi wa kuchukuliwa hatua?
Ignorant mwingine huyu hapa. Kwani tafsiri ya fictitious receivables ni nini? Umewahi kusikia kuhusu manipulation of financial accounts by overstating assets?Mfano huwezi sema Taasisi inadai bilioni kadhaa lakini mdaiwa hajulikani .. seriously?
Ukaguzi gani usijue source ya deni?..
marehemu yupi?Marehemu hashitakiwagi
et anakwambia CAG anakaguliwa na nani,Ignorant mwingine huyu hapa. Kwani tafsiri ya fictitious receivables ni nini? Umewahi kusikia kuhusu manipulation of financial accounts by overstating assets?! Kama wanafoji madeni hewa kwa nini washindwe madai hewa? Kama ni hewa nani mwenye wajibu wa kuthibitisha kama ni halisi? Kama responsible party wameshindwa kuthibitisha ulitaka CAG asemeje zaidi ya kusema non-existing debtors. Acha porojo broo
Wawataje kwa majina? Report? Sidhani kama ni part of ToR yao! Hio nadhani inaenda kwa TAKUKURU na Polisi, Wale sidhani kama Wana investigate.Hata kama imejaa majizi bila kuonyesha mwizi au wezi husika zinakuwa porojo tu za kuwatoa watu povu kwa muda kisha kupuuzwa na kutupwa kapuni.
Ccm ndio dola ya Tanzania.Serikali pendwa ya CCM imejaza mijizi! CCM ni wezi, wanafiki, waongo, walafi. CCM wanahitaji toba
Dola ya majiziCcm ndio dola ya Tanzania.