Je watu waliotapeliwa viingilio pale wangeamua pachimbike TFF wana vyombo vya ulinzi kuwazuia wale wahanga?Wenawe!
Sasa simba na yanga ni swala la kitaifa...!!? angalia ushabiki wa mpira utakuua bure
Tunapopelekwa sijui, ni mapema sana kumjaji huyu mama, serious wanaomsifia bado mapema sana, hao hao watarudi kumponda, hakuna wa kumfananisha na JPM bandidu.Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.
Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?
Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.
Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.
Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Ushauri wangu mechi ijayo isiwe na kiingilio, waingie watakao wahi, uwanja ukijaa pafungwe.Je watu waliotapeliwa viingilio pale wangeamua pachimbike TFF wana vyombo vya ulinzi kuwazuia wale wahanga?
Watu wametoka Zambia, mikoani tokea asubuhi wapo kwa MKAPA, mama ana sababu za kukwepa lawama,bahati nzuri WATANZANIA ni wa kimya sana ila tuliowapa mamlaka wanatuchukulia poa kama vile kilichofanyika leo ni kizuri.
Si itakuwa fujo na je waliotapeliwa leo itakuwaje?Ushauri wangu mechi ijayo isiwe na kiingilio, waingie watakao wahi, uwanja ukijaa pafungwe.
Kama ndio hiyo ya kukaribisha waKenya kuwekeza Tz na kupewa ardhi kwa kuwa wana mitaji, mimi nasema ni mawazo ya upotolo.Hahahaha... Misukule ya Jiwe bana.
Eti afanye kazi kama Mwendazake.
Zama zenu zimekwisha kupita, hii ni awamu nyingine.
Wewe ninanii hadi umtukane raisi?? Kweli unamtukana raisi hivo kweliiii?? Naomba mamulaka husika ziwe zinafuatilia matusi hayaaaa.
Tathmini ubongo wako kwa kujisalimisha MirembeRubbish
Magu alisema TUTAMKUMBUKA, huu upuuzi wa leo TFF, bodi ya ligi, Viongozi wa club wangekuwa shimoni central.Sijui nilaumu serikali au nilaumu Yanga. Nitarudi.
Hili jina usilitaje taje, utampunguzia ukali wa moto anaostahili.Magu alisema
Kama ndio hiyo ya kukaribisha waKenya kuwekeza Tz na kupewa ardhi kwa kuwa wana mitaji, mimi nasema ni mawazo ya upotolo.
Kwa kutambua udhaifu huo, Rais Uhuru ameagiza waTz wanaotaka kuwekeza huko, rukhsa bila vibali vyoyote, akijua kuwa hawana mitaji na uwezo wa kuwekeza Kenya, hata dukawala, kwani ardhi ni mali ya wenye nacho huko Kenya.
Miaka 5 iliyopita ndiyo maisha tuliyoishi, wapi Ben Saanane na Azory Gwanda. Nani aliua wale watu kwenye viroba na kuwatupa baharini?ndio maana nasema unaongozwa na muhemko.
lini watu walijifungia ndani wakiogopa kutekwa??
lini watu waogopa kuweka fedha benk wakiogopa zitapotea??
vyombo vya dolar vinafuata sheria ipi??
kama hamjajifunza siasa za kihuni sio dili mtaendelea kipotea.Miaka 5 iliyopita ndiyo maisha tuliyoishi, wapi Ben Saanane na Azory Gwanda. Nani aliua wale watu kwenye viroba na kuwatupa baharini?
Nani alimteka Roma Mkatoliki na Mo Dewji? Nani alimshambulia Tundu Lissu?
Kwa nini wafanyabiashara walikimbia nchi? Nani kajaza watu rumande kwa kesi zusizo na ushahidi?
Waoga? Ungeleta timu saa 11 km mwanaume kweli nilikaa nusu saa nzima kukusubiri mtani mkachungulia na tff wenu mkaona mbadili muda fasta hizo njia sisi wenyewe watu wa mipango tunazijua karia simba kidau simba ndio maana simba wao wameona fresh tu sababu ina maslahi kwao na simba usnitch kawaida yenu hamjawahi kusimama pamoja nasi kwenye suala la maslahi miaka 7 iliyopita Manji aliwahi kugomea m100 za Azamtv simba mkaongea sana cha ajabu juzi kati hapa bosi wenu akatweet kuhusu suala lilelile tuliloligomea yanga miaka 7 iliyopita Yanga pia iliwahi kugomea hela ya kagame simba mkaingiza timu na kutangaza tumewaogopa cha ajabu baadae nanyi mkaja kuona kagame michosho msonye alikuwa pale kwa maslahi lakini sisi tunapopigania wenzetu huwa mnakaa pembeni masnitch kishenzi nyieSerikali haina issue kwenye hili Yanga waoga.
Usnitch hawajaanza leo 1939 timu za wazawa walitaka kuanzisha chombo cha kusimamia timu zao maana chombo kilichopo kiliongozwa na wageni watupu wakati wapo kwenye hzo harakati Sunderland(baadae Simba) wakawasnitch Yanga na kuungana na timu ya kiarabu(Arab sports) hii ilizima kabisa ndoto ya wazawa kuwa na ligi yao kitendo hiki kiliwaudhi sana Young Africans na kuwaona wenzao km wasalitidaaahhh Simba wameonesha unafiki... walipaswa kufika saa ile ile iliyopangwa
Hoja za kitotoUsnitch hawajaanza leo 1939 timu za wazawa walitaka kuanzisha chombo cha kusimamia timu zao maana chombo kilichopo kiliongozwa na wageni watupu wakati wapo kwenye hzo harakati Sunderland(baadae Simba) wakawasnitch Yanga na kuungana na timu ya kiarabu(Arab sports) hii ilizima kabisa ndoto ya wazawa kuwa na ligi yao kitendo hiki kiliwaudhi sana Young Africans na kuwaona wenzao km wasaliti
Hilo Ni dua la nyani tu. Wasukuma mumepigika na badokama hamjajifunza siasa za kihuni sio dili mtaendelea kipotea.
mwanzo ni hiyo kauli ya juzi kwamba majambazi na vibaka msimjaribu,sasa subirini watendaji nini watawafanya.