Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

Ukwerli gani Majebere, kuwa nauza unga na siku yangu ilikuwa imewadia?

Nimesafiri sana dunia hii nimgekuwa mtu a unga weshanikamata siku nyingi.

huko duniani huwa unaenda kufanza nini?
Ni mfanyabiashara wewe, kama ni kuhubiri hapa home ushahuri mpaka kaliua sikonge na ulyampiti, ushafika kipumbuiko na malampaka kuwasilimisha makafiri, DINI IMO NDANI YAKO WALA SI WEWE UPO NDANI YA DINI.
 
Pole kwa yote yaliyokukuta,hata hivyo elewa watanzania ni wamoja na wanatawaliwa kwa kufuata katika na sheria.Ila uzingatie kuwa suala za vurugu za Mwembe chai na kuvunja mabucha ya nguruwe yasingekubalika katika serikali ya nchi yoyote.
Inabidi uwe/muwe wavumilivu katika kuepusha dini na siasa katika misikiti.
Wewe umesema ulikuwa ktk mkutano kuusiana na ugaidi Afrika mashariki hususani TZ,ila haujasema ni wa dini au siasa?.
Hata hivyo elewa kuwa watu wenye mamlaka ni waoga sana wakijua au kupata taarifa kuwa fulani anajihusisha na siasa nje ya nchi ktk vikao au mikutano mbalimbali,maana anahatarisha maslahi yao.Kwa walichokufanyia wako sawa kabisa hata wewe ungesikia kama ungekuwa kwenye mamlaka usingenyamaza,ila baada ya kujiridhisha umeachiwa.
Endelea kufanya kazi ya mungu wako utapata thawabu,maana ninavyojua mimi hakuna mtu aliyewahi kufanya vita na mungu akashinda labda unayemtumikia siyo MUNGU wa kweli.
Hapo umesahau kidogo mkuu wangu. Hali hiyo ingekubalika sana na kupokelewa na nchi zenye serikali za Kiislamu kama Irani, Saudi Arabia n.k. Ila katika nchi zizizofungamana na dini yoyote kama Tanzania, hilo lisingekubalika.
 
huko duniani huwa unaenda kufanza nini?
Ni mfanyabiashara wewe, kama ni kuhubiri hapa home ushahuri mpaka kaliua sikonge na ulyampiti, ushafika kipumbuiko na malampaka kuwasilimisha makafiri, DINI IMO NDANI YAKO WALA SI WEWE UPO NDANI YA DINI.

Unaweza kutuelezea maana ya dini?
 
Ndugu zangu waislamu ondoeni INFERIOTY kwenye maisha yenu inatakiwa mjiamini na yote yanayotukia na muweze kuelewa kuwa si kila kitu mnaleta UDINI tu mbona hata wakristo na wapagani wanapata dhahama kama hizo mimi sijawahi kusikia Mpagani analalamika kuwa amenyanyaswa kwa sababu ya UPAGANI wake na wala Mkristo kwa sababu ya Ukristo wake pamoja na kwamba Wakristo wengi wamekumbana na misukosuko mingi na vyombo vya Dola mpaka wengine wamepata vilema vya kudumu Mfano mzuri SIMBAULANGA amekuwa akiswekwa ndani kila mara na kupigwa mabomu ya machozi kila anapofanya mikutano yake sababu tu ya kueleza Imani yake lakini sijasikia akisema kuwa ananyanyaswsa kwa sababu ya Ukristo wake.

Kuhusiana na maelezo marefu ya Mohamed Said inaonyesha kuwa vyombo vya Dola vilikuwa vinafanya kazi yake kulingana na wakati ule maana hata watu wengine wanatumia njia hizo kufanikisha ubaya hivyo serikali lazima iwe makini na katika kufanya hivyo mambo kama hayo yanaweza kutokea lakini isiwe kila kitu wanasingizia wamenyanyaswa haya mambo ndiyo maana wanasusia hata sensa na wanakuwa na chuki na dini zingine hasa Ukristo kwani kwa hili Ukristo una kosa gani watu kama hawa ndio wanapinga Muungano na Kuanza kuchoma makanisa utadhani kuna uhusiano kati ya Muungano na Makanisa wakati Muungano ni wa 1964 na makanisa huko Zanzibar yana zaidi ya miaka 100.

Ushauri kwa Mohamed Said aache kupandikiza chuki kwenye jamii yetu na kuwafanya Waislamu waonekane wananyanyaswa wakati si kweli kabisa watanyanyaswaje wakati Rais,Makamu wake,Mkuu wa polisi na wengine wengi tu ni waislamu??????? hata kama wangekuwa si waislamu Bwana Mohamed asingeonewa kwa misingi ya dini yake maana naamini Tanzania hatuko hivyo lakini akina Mohamed Said wanatulazimisha tuwe huko, Na kama anaona anaonewa sana basi Ahamie huko Iran akale Haluwa vizuri kitu ambacho hakitapendeza kabisa wito wangu kwake AWE NA UPENDO KWA WOTE ASIWE MBAGUZI WA DINI.
 
Udini ni jambo baya sana. Mijinga na mipumbavu hukaa na kushupalia udini udini. Hata ukiwa unaelimu kiasi gani ukileta swala la udini unaonesha jinsi gani akili zako ni matope. Mnaacha kukua na kufikiri nijinsi tutakwamua uchumi wa nchi yetu unabaki kuleta udini. HAYAWANI WAKUBWA NYINYI MNALETA ITIKADI ZA DINI KATIKA TAIFA LETU. Uwe mkristo,Uwe mpagani au Uwe muislamu hy ni imani yako. Kaanayo maana kwako inafaa na kwa mwingine haifai ndio maana hayuko kama wewe"
 
Hapo umesahau kidogo mkuu wangu. Hali hiyo ingekubalika sana na kupokelewa na nchi zenye serikali za Kiislamu kama Irani, Saudi Arabia n.k. Ila katika nchi zizizofungamana na dini yoyote kama Tanzania, hilo lisingekubalika.

Kuna watu malalamiko kwao ni jadi, hasa wale waio na la kufanya. Hata kama kusiwe na la kulalamika watalalamika tu.

Ukitaka kujua kama kweli hao wanaojiita waislamu ni waislamu au la angalia matendo yao. Kuna jamaa mmoja alikuwa anjidai kwa kujiita Alhaji, lakini kila jioni alikuwa anaonekana na machangudoa, alikuwa anavuta sigara, na kuna wakati pia alikuwa anakula nguruwe, lakini ikifika mambo ya "waislamu" alikuwa wa kwanza kujitokeza.

Unajua uislamu unafundisha watu kuwa wenyewe ndio dini pekee ya kuzaliwa nayo, (kitu ambacho ni uongo) na unawataka wao ndio watawale wengine wote wasio waislamu kwa upanga na kuwakata makoo kama hawasikii. Kwa mtindo huu unawa indoctrinate watu wajione kuwa ni victims, wajione inferior na wawe na violent reactions wanapopambana na wanachokiona kutofanikiwa kufikia lengo hilo. Sio coincidence kwamba magaidi wengi wanatoka middle east. Jaribu kuangalia idadi ya wafungwa wa Tanzania angalia kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi.

Wakristo utakaokuta gereza utaona wengi ni wezi wa pesa, lakini makosa ya waislamu mpaka unaweza kusikitika, kwa hiyo unaweza kuona kuwa dini ina factor fulani.
Halafu kuna ajabu moja angalia waislamu wa Tanzania wengi wanakwenda wapi, nchi za magharibi au za kikafir, au nchi za kiislam, unaweza kukuta ni wachahce sana wanaoendda nchi za kiislamu, wengi wanaenda kwenye nchi za kikafir, sijui ni kwanini.
 
Ndio maana makundi kwa makundi ya watu wanaingia na kufata mfumo wa Maisha wa Mwenyeezi Mungu nao ni Uislaam.

hivi dini inalazimishwa? Maana kama ndivyo hivyo itakuwa ni hatari. Me nipenda kila mtu asimame na imani yake maana siku ya mwisho kila mtu atasimamia matendo yake. Si mchungaji, shekh wala mwingine atakeye kusemea.
 
Mwanakijiji! mzee wetu Mohamed Said ameianza nakala yake kwa kuturudisha nyuma kidogo na habari ya yule Sheikh aliyerudishwa "kwao" Zanzibar halafu akaendelea kutupeleka mwaka 1964 wakati masheikh wengi waliwekwa kizuizini, hakutuacha hapo bali alitukumbusha mwaka 1993 ambapo kulizuka tafrani kati ya askari na Waislamu akamalizia tukio la Sheikh Kishki juzijuzi na Mufti wa Yemen halafu akaunganisha na lilomkuta yeye.
Huu ni mlolongo wa matukio baada ya matukio haiwezekani ulifananishe na tukio moja la Ulimboka au na jingine kama la Ulimboka pale na hapa......mwisho kauli yako imenishangaza sana kwani inaonekana kuihukumu Serikali kuwa na hatia ya utekwaji wa Ulimboka!
Mohamed said ametuletea udhalilishwaji wa Waislamu unaofanywa na vyombo vya dola, wakati ya Ulimboka ndio kwanza uchunguzi unaendelea!

Unataka wakristu nao waje na statistics za awamu ya nne? Kama Nyerere alikuwa mdini, JK naye ni nani? Au mnafikiri kila mtu anaenda kwa kulalama kama hana kichwa wala miguu ya kutafuta riziki yake ya kila siku?
 
Hali hii ya udini itaangamiza taifa letu. Vyeo/kazi haviwezi kutolewa kwa kuangalia dini ya mtu bali sifa sitahiki aliyonayo muhusika kwa nafasi hiyo. Eeeeeeeeeee Mungu tuepushe na hali hii.
 
Mkuu Mohamed Said unataka kusema kwamba viongozi wote wa Kiislamu kwenye serikali ukianzia na raisi wanatekeleza "mfumo Kristo". Kama hivyo ndivyo unavyo dai basi adui wa Waislamu Tanzania ni Waislamu wenywe maana sielewi kuna wezaje kuwa na Waislamu kwenye vyombo vyote vya maamuzi lakini bado muonewe.

Raisi- Muislamu
Makamo wa Raisi- Muislamu
Waziri ya mambo ya ndani (polisi, etc)- Muislamu
Waziri wa ulinzi (jeshi)- Muislamu
Mkuu wa ujasusi Tanzania (intelligence)- Muislamu
Mkuu wa jeshi la polisi- Muislamu

Mkuu kwenye vyombo vyote hivi vya usalama wakuu ni Waislamu bado mnaonewa? If that is the case basi Waislamu wenyewe mnasalitiana kama hawa Waislamu wote wata kuwa wapo tayari kuona ndugu zao katika imani waki nyanyaswa kutokana na imani zao.
 
Nguruvi3, nimependa uchambuzi wako! Hakika umegonga ikulu.
Kama kuna wafuasi wa Mohamed Saidi wanaofuatilia huu mjadala na wakabahatika kusoma hiyo post yako
basi kuna kitu watakuwa wamekielewa kwa uzuri sana. Ahsante sana Nguruvi3
 
tatizo kubwa naloona katika uislam ni kuhusisha kila jambo na dini yao. Mwislamu akikamatwa na polisi atadai kakamatwa kisa tu yeye mwislamu. Kumbe kakamatwa kama mtu mwingine tu. jamani mbona wakristo wengi wanapata maswahibu hawalalamiki kuwa yaliyo wapata yametokana na kuwa wakristo?

Yani mnalalamika kwa kila kitu hata kiwe kidogo na ambacho kinetokea tu kutoka na mazingira mtadai mnaonewa kisa dini.
Acheni mawazo mgando kwani wakati wakamatwa wewe pekee ndiye ulikuwa mwislamu pekee siku hiyo?

Ni waislamu wangapi wanasafiri kila siku hawakamatwi? Usihusishe kukamatwa kwako na dini yako hii ni issue ya kisiasa na kiusalama si ya kidini.
 
Mbona raisi ni Muislam pamoja na makamu wake?
yeye ndo anateua mawaziri na wakurugenzi....
Conclusion :hakuna anayewaonea mnaoneana wenyewe....
 
Tutarumbana mpaka kuwa vichaa kwa hoja zisizo na mashiko wala malengo mema kwa taifa letu.

Mleta hoja hebu tusaidie kidogo

syria, libya, misri, lebanon, iraq, sudan, somalia, tunisia, nk wanateswa

1. kwasababu wanatawaliwa na wakristu?

2. kwasababu wanabaguliwa na wakristu

3. Kwasababu vyombo vya usalama ni vya wakristu

4. kwasabau viongozi wa kiislam wameshindwa kazi?

5. Kwasababu sharia law imedhibiti machafuko sasa wameshindwa kuivumilia?



Nchi yetu masikini, watanzania ni maskini, bado tunarudi kwa hayati mwalimu nyerere, historia hutoa hukumu nahofia kuona kwa nini asisifiwe kwa kuboresha mfumo wa elimu uliotuwezesha watanzania wa imani zote kuenda sambamba kielimu bila kuachana njiani.

kama tatizo ni ukristu na mfumo kristo kama wachache wenu mnavyopotosha jamii

kwanini nchi nyingi za kiislam hakuna amani? kwanini tusitafute majibu kuanzia huko? Je nyerere ameasisi pia fujo, mauwaji na mateso ya waislamu katika nchi za syria, iraq, tunisia, misri, sudan, somalia nk


Isitoshe jirani zetu kenya mambo ya kuchoma makanisa yanajitokeza sijui na wao WANAGOMBEA MUUNGANO GANI kama kule zanzibar (cha ajabu makanisa pekee huteketezwa sio misikiti) kunaajenda ya siri imejificha ambayo nicommon goal

Ndugu zangu tuache uchochezi kwa malengo yaliyojificha ndani ya gunia la giza, Tanzania yetu sote kwanini kuitafuta shali ilituangamizane tukitaraji sharia law kushika hatamu? Haiwezekani watanzania wengi kwa hekima na busara zao waislam kwa wakristu wameiona hatari mbele yao ya kutaka kuwagawa na haitafanikiwa maana wameshituka.

Tamko la pamoja kati ya mashehe na maasikofu kuhusu mgomo wa madakitari jana ni ushahidi kwamba imani hizi mbili sio maadui, maadui ni vikundi vya kipuuzi kama vile alshabab, alkaeda, uamusho, bokoharamu, janjaweed nk. Vikundi hivi na wajinga wachache walioikosa heri wanatumika kuchochea na kuiweka jamii ya watanzania hatarini.

Mleta maada jalibu kuwa muungwana kwa kuleta hoja za kuijenga jamii ya kinzania sio za kuwagawa watanzania hii haikubaliki.


kama utatueleza majibu ya kwa nini waislamu wa inchi nilizotaja wanasumbuliwa itakuwa vema na endapo huko nako baba wa taifa na mfumo kristo unawakandamiza sawa!

Misri, tunisia, lebanon, iraq, Libya nk zote hizi ni nchi za kiislam wanauwana kweli!!!!

Mleta hoja tuambie huko nako wanaonewa kwa ukristu wao au uislam wao na wanateswa na wakristu na kama sio kwa nini?

NiGeria upande wanakoishi wakristu wengi hakuna ubaguzi, misikiti haichomwi na kunamaendeleo. Upande wanakoishi waislamu wengi nihatari tupu kila siku mauwaji, utekaji na mateso kwanin??

Tanzania watu wake ni wema waislamu kwa wakristu kwa nin tunamtaka ibilisi mchukuwa roho za watu kwa lazima

TAFAKALI..........CHUKUA HATUA........ACHENI UCHOCHEZI........TUNAHITAJI KUISHI KWA AMANI KAMA WATANZANIA.
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php
[/QUOT

Tatizo mbona liko wazi hapa. Nafasi nyingi kati ya hizi ulizozitolea mfano ni za KITAALUMA zaidi. Hapewi mtu kwa sababu ya dini yake, nafasi hizi zinapatikana kutokana na sifa za TAALUMA. Tumieni nguvu nyingi sana kuwapeleka watoto wenu shule ili wapate elimu na kujinasua kwenye ujinga unaoendelea kuitafuna jamii yenu. Angalia mfano huu hapa: Kwa kipindi cha miaka saba nilipokuwa shule ya msingi sikufundishwa na mwalimu yeyote MUISLAM, nakumbuka kwenye eneo lote la kata ile yenye shule za msingi tisa hakukuwa na mwalimu hata mmoja MUISLAM. Nilipokwenda shule ya sekondari ambayo ilikuwa na walimu 47 alikuwepo mwalimu mmoja tu MUISLAM. Kwa bahati nzuri nilifauru mtihani wa kidato cha nne na kuendelea na masomo ya high school katika shule ile ile, tulikuwa wanafunzi 46 wa (PGM) tuliochaguliwa kuingia kidato cha tano, katika darasa letu hakuwemo MUISLAM hata mmoja. Nilipokwenda chuo kikuu nilisoma na wanafunzi wachache sana WAISLAM. Kwa mtiririko huu usitegemee kuwaona WAISLAM kwenye nafasi za kiataaluma. Acheni tabia ya kulalalamika tu, jengeni shule, wapelekeni watoto wenu shule, wahimize watoto wenu wasome kwa bidii na acheni tabia ya kuwajaza fikra za kibaguzi watoto wenu.
 
Kwa hiyo unataka aajiriwe mtu yeyote hata kama hajui kuandika bora tu anajiita muislamu? Walioajiriwa hawana sifa za kuajiriwa kwenye kazi walizopewa? Ninajua nchi hii viongozi ni corrupt, na kwa maana hiyo sitashangaa kuona mtu kapewa kazi asiyostahili (kama kina Sophia Simba, Celina Kombani, Stephen Wassira, Mustapha Mkulo n.k), unataka kutuambia walipewa kwa kuwa wote ni wakristo au walipewa kutokana na incompetence ya aliowapa? Acheni uzuzu nyie watu!

Ndio maana nnasema mmbomoa nchi na mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe,hawa ndugu zetu waislam kila kitu wanalalamika oohh! sababu mie muislam ndio maana nimefanyiwa hichi na kile kibaya yaani hawaishi kulalama,ipo siku watatuletea machafuko nchi mwetu.Amani idumu kwa wananchi wote wa Tanzania bila kubagua rangi/dini/kabila/,na siku tutakapoipeperusha amani hii tuliyonayo itakuwa kazi sana kuipata tena neema hii.
 
Mwanakijiji! mzee wetu Mohamed Said ameianza nakala yake kwa kuturudisha nyuma kidogo na habari ya yule Sheikh aliyerudishwa "kwao" Zanzibar halafu akaendelea kutupeleka mwaka 1964 wakati masheikh wengi waliwekwa kizuizini, hakutuacha hapo bali alitukumbusha mwaka 1993 ambapo kulizuka tafrani kati ya askari na Waislamu akamalizia tukio la Sheikh Kishki juzijuzi na Mufti wa Yemen halafu akaunganisha na lilomkuta yeye.
Huu ni mlolongo wa matukio baada ya matukio haiwezekani ulifananishe na tukio moja la Ulimboka au na jingine kama la Ulimboka pale na hapa......mwisho kauli yako imenishangaza sana kwani inaonekana kuihukumu Serikali kuwa na hatia ya utekwaji wa Ulimboka!
Mohamed said ametuletea udhalilishwaji wa Waislamu unaofanywa na vyombo vya dola, wakati ya Ulimboka ndio kwanza uchunguzi unaendelea!
Kwani hao masheikh waliokamatwa mwembechai hawakuhusika kuvunja mabucha ya kitimoto?
Nchi ina sheria zake kama wao kitimoto kinawakera ilikuwa lazima kuvunja hayo mabucha? Si wangeenda kumwona ndugu yao RC Makambaangewasikiliza badala ya kutumia mabavu? Acheni udini nchi hii ni ya wote!!!
 
Nataka mleta maada atueleze kipi kinaenda kombo inchi nilizo taja? Somalia, tunisia, pakstan, afghanstan nk. Huko pia kunamfumo kristo?

Islam means peace so asichochee jazba kwa watanzania bila sabab.

Nimekulia miongoni mwa waislam wa tabora, mim ni mkristu sikuwahi kuona ubaguzi wa aina yoyote, nilisoma tanga usagara kule hostel-mkwakwan tulichanganyika na waislam. nasasa ni mtu mzima upuuzi na uchochez wa waislam kukandamizwa unaletwa na wapuuzi wachache kwa maslah binafsi wala si kwa watanzania.

Nakama ni usomi huu sio bali ibilis kazin. Tuangalie mbele kwamaana ya umoja wetu kama watanzania sio kutugawa kwa iman na din zetu.
 
Mohamed Said, kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho hawa ndugu zetu hutuogopa kwa majina tu ya Kiislaam. Hawana zaidi ya uoga, na uonevu wao wote lakini AlhamduliLllah Uislaam ndio dini inayokuwa kwa haraka kuliko dini nyingine yoyote duniani na hususan hukohuko Merekani, ushahidi huu hapa: Fastgrowing Islam winning converts in Western world - CNN

kwa nini mnafosi kila mtu awe mwislamu? sasa kama dini inakuwa kwa kasi sisi tufanyeje, si mkae na dini yenu. tatizo lenu ni kwamba hata mkiwa huko kwenye mihadhara yenu badala ya kufundisha dini yenu mnakalia kutangaza dini za wenzenu. kwa nini mchome mabucha ta kitimoto? yanawahusu nini, mbona hao wa dini nyingine hawajatungua loud speaker zinazotuamsha asubuhi kila siku. ninyi ni dhaifu (inferiority complex) na wabinafsi sana. samahani kwa hisia zangu niko tayari kupingwa kwa hoja.
 
Back
Top Bottom