Tutarumbana mpaka kuwa vichaa kwa hoja zisizo na mashiko wala malengo mema kwa taifa letu.
Mleta hoja hebu tusaidie kidogo
syria, libya, misri, lebanon, iraq, sudan, somalia, tunisia, nk wanateswa
1. kwasababu wanatawaliwa na wakristu?
2. kwasababu wanabaguliwa na wakristu
3. Kwasababu vyombo vya usalama ni vya wakristu
4. kwasabau viongozi wa kiislam wameshindwa kazi?
5. Kwasababu sharia law imedhibiti machafuko sasa wameshindwa kuivumilia?
Nchi yetu masikini, watanzania ni maskini, bado tunarudi kwa hayati mwalimu nyerere, historia hutoa hukumu nahofia kuona kwa nini asisifiwe kwa kuboresha mfumo wa elimu uliotuwezesha watanzania wa imani zote kuenda sambamba kielimu bila kuachana njiani.
kama tatizo ni ukristu na mfumo kristo kama wachache wenu mnavyopotosha jamii
kwanini nchi nyingi za kiislam hakuna amani? kwanini tusitafute majibu kuanzia huko? Je nyerere ameasisi pia fujo, mauwaji na mateso ya waislamu katika nchi za syria, iraq, tunisia, misri, sudan, somalia nk
Isitoshe jirani zetu kenya mambo ya kuchoma makanisa yanajitokeza sijui na wao WANAGOMBEA MUUNGANO GANI kama kule zanzibar (cha ajabu makanisa pekee huteketezwa sio misikiti) kunaajenda ya siri imejificha ambayo nicommon goal
Ndugu zangu tuache uchochezi kwa malengo yaliyojificha ndani ya gunia la giza, Tanzania yetu sote kwanini kuitafuta shali ilituangamizane tukitaraji sharia law kushika hatamu? Haiwezekani watanzania wengi kwa hekima na busara zao waislam kwa wakristu wameiona hatari mbele yao ya kutaka kuwagawa na haitafanikiwa maana wameshituka.
Tamko la pamoja kati ya mashehe na maasikofu kuhusu mgomo wa madakitari jana ni ushahidi kwamba imani hizi mbili sio maadui, maadui ni vikundi vya kipuuzi kama vile alshabab, alkaeda, uamusho, bokoharamu, janjaweed nk. Vikundi hivi na wajinga wachache walioikosa heri wanatumika kuchochea na kuiweka jamii ya watanzania hatarini.
Mleta maada jalibu kuwa muungwana kwa kuleta hoja za kuijenga jamii ya kinzania sio za kuwagawa watanzania hii haikubaliki.
kama utatueleza majibu ya kwa nini waislamu wa inchi nilizotaja wanasumbuliwa itakuwa vema na endapo huko nako baba wa taifa na mfumo kristo unawakandamiza sawa!
Misri, tunisia, lebanon, iraq, Libya nk zote hizi ni nchi za kiislam wanauwana kweli!!!!
Mleta hoja tuambie huko nako wanaonewa kwa ukristu wao au uislam wao na wanateswa na wakristu na kama sio kwa nini?
NiGeria upande wanakoishi wakristu wengi hakuna ubaguzi, misikiti haichomwi na kunamaendeleo. Upande wanakoishi waislamu wengi nihatari tupu kila siku mauwaji, utekaji na mateso kwanin??
Tanzania watu wake ni wema waislamu kwa wakristu kwa nin tunamtaka ibilisi mchukuwa roho za watu kwa lazima
TAFAKALI..........CHUKUA HATUA........ACHENI UCHOCHEZI........TUNAHITAJI KUISHI KWA AMANI KAMA WATANZANIA.