Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Two different agenda
 
Nimecheka sana watu wanavyosema sultan hajawahi kuwatesa wazanzibari...

It seems ukiwasema waarabu... mada inabadilishwa kuonyesha unaisema dini fulani...

Hapa itakuwa vita tu ya udini maana waafrika akili zetu ndivyo zilivyo...
Hata mimi ndicho ninachokiona... waislamu wanatetea waarab na wakristo wanatetea wazungu. Kila mmoja na bwana wake, ila sijawahi kuona watu brainwashed kama muslims... wao kila jambo/mada inayowekwa na muumin mwenzao ambayo inaweza ikawa haina mashiko au ya kutunga tu... wengi wataisapoti kwa MashaAllah, Allah Akbar... hauwezi kuwaona wanahoji.
 
Hapa kinachosumbua ni dini tu. Maana ubaguzi waliofanyiwa wasouth Africa wale hawakuwa waarabu. Kina kunta kinte walipovhukulowa gambia walichukuliwa na wazungu. Lakini hakuna watu wabaguzi kwenye dunia yetu ya sasa kuliko waisrael. Israel inawabagua watu weusi kuliko taifa lolote lile lakini kwa sababu wakiristo wengi mnajihusisha na israel japo wao hawana haja na nyinyi hamtouona ubaguzi wao. Katika jamii iliyojichanganya na sisi watu weusi basi waarabu wameoona na kuzaliana na watu weusi kwa sana. Hata leo hii ukienda nchi za kiaarabu wapo watu weusi tena wenye asili ya Africa ambao baba zao ni waaarabu.
 
Udenye,
Dhana ya ''Mapinduzi Daima,'' toka viingie vyama vingi Zanzibar imepoteza nguvu.

CCM Zanzibar imeshindwa kushinda chaguzi huru kwa mara tano mfululizo serikali
inachukuliwa kwa mabavu.

Labda nikuulize ikiwa hii ndiyo hali ya siasa Zanzibar.
Hayo mapinduzi ya ya kudumu yako wapi?
 
Pascal,
Umeanza kwa kunishutumu kuwa nina chuki na Wamishionari.
Unanisingizia.

Lau kama una ushahidi wa chuki hizo tafadhali ulete hapa uonekane.

Kwa kuwa umeleta hili la chuki sina budi nami kukupa ushahidi wa kuaminika
wa chuki za hao wenye chuki katika nyoyo zao:



Wanamajlis, someni paragraph ya mwisho hapo juu kutoka kitabu cha Padri
John Sivalon
.

Mara kadhaa nimemuonya Paschal kuwa afanye utafiti wa kutosha kabla ya
kuandika.

Kwanza kaweka picha ambazo nyingine ni za vita vya Maji Maji havina uhusiano
wowote na utumwa.



Hao hapo juu ni wapiganaji dhidi ya Wajerumani katika Vita Vya Maji Maji wakiwa
wamekamatwa.

Picha nyingine hazina, ''source,'' kwa hiyo msomaji hawezi kujua wapi zilikotoka.
Muhimu kwa Paschal ajifunze na ajue historia ya utumwa ilikuwaje.

Utumwa uliofurtu ada ni ule wa Transatlantic Slave Trade na wa Wabelgiji Congo.
Akipenda anaweza kuingia hapa:
The Butcher of Congo

Paschal hawezi kujua lakini hiyo, ''report'' ya Mackenzie si ngeni kwangu naijua siku
nyingi sana.

Mwaka wa 1991 nilikuwa Blantyre nje kidogo ya Glasgow hiki ni kijiji alichozaliwa
David Livingstone na kimenfanywa makumbusho yake kijiji kizima na nilifanya kipindi
na BBC Glasgow kuhusu David Livingstone na Afrika.

''Report,'' mfano wa hii ya Mackenzie zipo nyingi sana ila hakuna hata moja utaipitia
ukute Zanzibar watumwa wakinyongwa au kucharazwa viboko au kukatwa mikono
kama Marekani na Congo.

Si kama kama nasema kuna utumwa mwema la hasha ila hapa nia ni kueleza ule
ukweli wa hali halisi iliyokuwapo.

''Report,'' hizi nyingi zilizokuwa zikiandikwa na Wamishionari zilijazwa chumvi ili kutafuta
kupewa fedha kwa ajili ya shughuli zao za kiroho moja wapo ikiwa hiyo ya kukomesha
utumwa.

Katika ''report,'' ya Mackenzie namuomba Paschal aonyeshe mahali
aliposema kuwa Watumwa Zanzibar walibakwa,
walihasiwa na kuuawa kinyama kwa ushahidi madhubuti.

Bahati mbaya sana Paschal anaandika kwa lugha ya kejeli na kuchanganya mambo mengi
yasiyokuwa na adabu wala ustaarabu.

Namsoma anapoandika kuhusu Waarabu Zanzibar na mengine ya uchaguzi.
Wanamajlis, nakuwekeeani hapa ujumbe niliopokea unaomuhusu Paschal:

‘’…mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza nchini kushiriki vyama vya upinzani kituo cha DTV
hivi sasa kinaitwa jina la Chanel Ten kilikua kikirusha matangazo mubashara hewani mimi
binafsi yangu na wenzangu tulikua nyumbani tunafatilia matangazo hayo mtangazaji wa
kituo hicho wakati huo alikua anaitwa Paschal Mayala.

Mayala alikusanya matokeo ya vituo hivyo na kuenesha matokeo halisi ya nani mshindi wa
uchaguzi huo kati ya Salmin Amour na Seif Sharif Hamad.

Ally Amer
aliihojiwa na Paschal Mayala na kuoneshwa ushahidi.
Ali Ameir akasema yeye hayatambui matokeo hayo.

Akamwambia Mayala, ‘’kijana hunitambui mimi?''

''Wewe endelea na hizo habari tu tutaonana.’’
DTV khatimae ikaingia matatani.

Baadae Ally Ameir Mohamed akachaguliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.’’

Paschal,
Unaweza kusema kitu kuhusu hayo hayo juu ikiwa utapenda.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza heri ya mwaka mpya na karibu kwenye bandiko hili la Aprili 2016 likimtag mtu anayekuja kuchangia leo likiwa na posts zaidi ya 500! . Nitakujibu kidogo kidogo.

No stones will be left unturned! .

Karibu

Paskali
 
Paschal,
Sielewi imekuwaje hii post imekuja kwangu kama mpya.

Kwenye nafsi yangu nilikuwa najiambia kuwa hii tuliwahi
kujadili

Nakutaka radhi kwa losa hili.

Hapana haja ya sisi kujirudia ingawa nitashukuru kukusikia
katika sakata lako na Ali Ameir uchaguzi wa 1995.
 
Pascall ni mjinga kama wajinga wengine , mm sikushangai kuleta uzi huu kwa mbwembwe lakini hauna mashiko isipokuwa kutaka kuwaaminisha kwamba CCM na Serikali zake wanayofanya simakubwa, mm sijasoma comments zote ila nna swali kwako wewe unaejiita Pascal, Je waarabu walikuwa wakristo au Waislam? Kama walikuwa wakristo basi walouza na kuwatesa Waafrika ni wakristo, na kama Waarabu walikuwa Waislam basi kwa nn biashara ya utumwa ilifanyika ndani ya makanisa? Ikiwa hujui biashara hii ilifanyika wapi, tembelea kanisa kuu la Mkunazini Unguja ujionee underground na chambers na minyororo waliodhulumiwa ndugu zako na Kanisa, halafu wewe unaendeleza propaganda kwa kulisave Kanisa wakati wajomba zako wame suffer ndani ya mkono wa kanisa.Jengine utuonyeshe msikiti mmoja tu wenye makumbusho ya Utumwa au Jumba lolote la kifalme lenye kumbukumbu za mateso kama huna funga mdomo wako usizungumze usioyajua kenge wewe.
 
Hata ukitembelea Bagamoyo pale Caravan Serai utapata ukweli wa nani waliohusika katika biashara ya utumwa. Hapa unatuamsha kwa kutuambia tusiwe wavivu wa kutembelea makumbusho yetu. Haya mambo yanahitaji kuandikwa vizuri ili vijana wajifunze historia yenye ukweli.
 
Waarabu watu wabaya sana
Perfect,
Waarabu wanaweza kuwa wabaya kuwashinda Wajerumani?

Umepata kusoma historia ya holocaust ukapata kujua nini
Wajerumani walifanya kwa Wayahudi?

Ikiwa tatizo ni utumwa, je unaijua historia ya Transatlantic
Slave Trade?

Ikiwa tatizo ni utumwa unaujua utumwa wa Wabelgiji Congo?

Utumwa ilikuwa biashara ovu sana lakini ikiwa tunataka kuujadili
utumwa basi ni vyema tukaijua historia nzima.

Inapendeza kufanya utafiti lau kidogo kwa somo unalotaka kujadili
vinginevyo itakuwa shida.
 
Kama Historia yetu inatwambia tumetokana na masokwe au nyani je huyu "Mayala" kapata storia yenye hualisia kweli ? nakikubwa zaid huamini kila anachopewa "hongera kwa aliye Muislam ana history iliyo tukua" KAFIRI hana akili huacha maji na kutumia karatasi kuondoa kinyesi au mkojo kaweka uchi wa mama wa watu nakudhalilika hajari ndo wasomi wetu
 
Hizi pic ha niwatumwa waliofanywa na wajerumani Tanganyika ,halafu zikageuzwa kuficha udhalimu wa wazungu,Kwa sababu za kidini
 
Wajerumani na waingereza walifanya mambo makubwa Kwa waafrika wa Tanganyika lakini yanafichwa Kwa Sababu ya udini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…