2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Pasco sikutaka kukushirikisha haya manake najua kwa hulka yako na mipaka ulihojiwekea huwa si mtu wa kijiingiza kwenye tom and jerry arguments za udini.Mkuu Maalim, bandiko langu hili ni la zaidi ya michango 250 ila bandiko lako ndilo la kwanza kujibu na nadhani pia ndio la mwisho kwa upande wangu!.
Kumbe hizo picha ni fitna tuu na popaganda za chuki tuu dhidi ya Uislamu!.
Asante kutufahamisha, na asante kuchangia uzi wangu huu.
Pasco
Ila kuna kawaida ya hawa watumwa humu ndani hata wakiwa kwenye zile wanaita Da'awa wakiona hoja inawaelemea wanaanzisha vurugu ili mradi tu wasionekane wameshindwa.
Kimsingi Hoja ulizoweka na ushahidi ulioweka kama ukiupeleka kwa wasomi watakuelewa na dhamira yako inaeleweka. Hauko pro-religious.
Lakini humu hawa vikofia japo,.wanakuelewavizuri sana pengine walishamgeuza mwandishi mohammed said kama kiongozi wao wa daawa. Hivyo hawako tayari ashindwe kwa nguvu ya hoja . Wanafanya hizi vurugu zote intentionaly ku ficha udhaifu wa mohammed said.
Na hapa sitaki kumaanisha mohamed said anao udhaifu La. Namheshimu sana., bali kwa hoja nzito ulizoweka na picha hawa wapambe wamesoma wakaona mohammed said pengine hatoweza kutolea ufafanuzi haya uloandika. Ndio wakaanzisha shutuma dhidi yako.
Hoja umeanzisha vyema na pengine mngefikia consesus nyinyi wawili kama wasingejiingiza team mohamed saidi humu ndani...
Mazingira kama haya yanatoa picha kua unapojadili mohamed saidi haujadilli naye tu bali na team yake ambayo imejengeka either formaly ama informaly.
Pasco ulichoandika hujamtukana mtu wala dini ya mtu. Umeandika hoja hazina udini kabisa. Umebakia kua neutral hata sasa. Integrity yako haina mashaka kabisa. Pasco You are so smart.