Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #281
Ni kweli.Pasco,
Kuna kuandika na kuandika.
P.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.Pasco,
Kuna kuandika na kuandika.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.Nimeandika mengi kuhusu Zanzibar, karibu.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Masw
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kil
Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ..
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Masw
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. S
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa M
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. W
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III ,
Live Star Tv: Mkutano wa CUF uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar ...
Kumbe Rais wa JMT ni Nobody Zanzibar!. Waziri Mkuu Pinda ..
Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matok
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuw
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6?
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana
Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Uni
'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-Karume Jn
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto, lakini ipo!, na hakuna aliyejiuzulu!
Pasco

Mwarabu sio mchafu, mwarabu ni mstaarabu.Mimi sizungumzii mtoa mada. Ninachosema, biashara ya utumwa na uonevu wa wazungu, makaburu na wakoloni vinajadiliwa vizuri bila watu kuchukua position za udini tatizo ikija kuhusu uchafu na uonevu wa waarabu hamtaki tuwajadili.
Nani asiyejua kuwa biashara ya utumwa ya Africa Mashariki iliwahusisha vizuri waarabu?
Huyu mbumbumbu Pasco hawezi kuimudu kazi hiyo ya uandishi wa habari kwa sababu ana chuki dhidi ya imani za watu.Sasa Pasco...!
Jazba za nin Mkuu?
Kwaiyo wewe unataka kusema Slavery na Colonialism hazina nasaba?
After Scramble and partition of African Continent huko berlin ni kwamba kusema hujui nin kilifuatia?..
Hujui ni kina nan walihusika katika kuwabeba wazee wetu na kuwapeleka North America..Brazil..Carribean islands na kwingineko kama watumwa?
Hivyo wewe ndie wajiita ni mwandish wa habari?teh teh teh...
Sasa unaandikaga nin huko..au utakuwa ni mhariri wa lile gazeti la Udaku la Dira wewe siyo bure...!
Jitu la hovyo kbs yaani wewe unawezaje kusimama na kuwatukuza wazungu pamoja na yoote mabaya waliyokufanyia bado unasimama na kuwatukuza?
Pasco,Ni kweli.
P.
1) Waraabu hawakuwatesa babu zetu.Kwani kuhusika kwa wazungu kunaondoa kuhusika kwa waarabu? Kwani kunukuu andishi na kuweka msimamo wako kuhusu kuamini au kutoamini andishi hilo ni kosa? Usomi ni nini? Hivi hii historia unaweka ya Captain John Hawkins hujaisoma mahali wewe? Kwa nini na wewe unaiweka humu ili tuiamini lakini unaona ni kosa mwenzio kunukuu utafiti?
Hebu njooni na hoja za maana kuhusiana na kuhusika au kutohusika kwa WAARABU katika kile kinachoitwa East African Slave Trade.
Mkuu MaalimPasco,
Huenda hizi hamasa zako za ''mapinduzi matukufu,'' na kejeli
nyingine ni kwa kuwa hujui kilichotokea Zanzibar.
Huna baba wala mama aliyeuawa kwa kuonewa bila sababu.
Mzee wangu mmoja tumekaa umri wangu wote na yeye kwa
kila hali alishiriki katika kuiangusha serikali ya Mohamed Shamte.
Tunakaa ananisomesha historia ya Tanzania kuanzia Tanganyika.
Yeye ni kati ya watu labda 20 wa mwanzo kujiunga na TANU.
Mwalimu Nyerere alikuwa akija kwao yeye kwa kuwa alikua mtoto
ndiye aiyetolewa chumbani kwake kumpisha Nyerere alale.
Baada ya uhuru alishika nafasi kubwa kubwa katika serikali.
Yote tunazungumza ila historia ya mapinduzi na urafiki wake na
Karume.
Yaliyotokea katika mapinduzi na baada yake anayajua vizuri na kwa
sasa anajuta kwa nini alishiriki.
Watu mfano wa mzee wangu huyu wako wengi Dar es Salaam na
wanajulikana kwa majina.
Wakati utakapofika In Sha Allah historia zao zitaandikwa.
Pasco,
Chukua muda umsikilize Aman Thani:
Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9
Wafundishe hawa kondoo wa bwana wajue ukweli, kazi yao kuropokwa tu bila ya uhakika wowoteMapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu na wafuasi wa vyama vya ZNP/ZPPP walichinjwa kama kuku, wametumbukizwa visimani, wmenyolewa ndevu kwa vigae, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wamechanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu mwengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka!
Wewe ndio muongo namba moja.Mkuu Maalim
Mohamed Said
kwanza naomba kila nipatapo fursa, nikuthibitishie kuwa mimi ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana, kipaji chako, uwezo wako, na "the power from within" unayo command!, tofauti kati ya mimi na wewe au mahali pekee tunapokosana na kutofautiana ni kwenye urongo tuu!, pale sisi tuliosoma maandishi ya mashuhuda wa Mapinduzi, na wewe unapoleta simulizi za urongo wa hao waliokuhadithia urongo kwa malengo wanayoyajua wao!.
Tulipishana kwenye simulizi zako za Uhuru wa Tanganyika, nikakueleza nilipata kuzungumza na mjane wa Sykes alokuwa akikaa Upanga opposite na Califonia Dreamer akanihadithia hata jinsi alivyomfunza Mama Maria kuokota makumbi, kukanda chapati na kuuza mkaa!.
Pia tumetofautiana kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wewe ukiyabeza na kuyaita mauaji ya halaiki!, kisa waliopinduliwa ni Mwarabu Sultani Dhalimu!. Sasa tena tunatofautiana kwenye hili la utumwa, kisa ni kile kile cha Mwarabu Dhalimu!.
Kwenye Mapinduzi sikuwepo na wewe hukuwepo, wote tunahadithiwa tuu!, tofauti zetu ni mmoja kuchukua cha ukweli kilichotokea na kuandikwa na non partisan writers, na mwingine kuchukua simulizi za urongo za partisan writers!.
Hayo yaliyoandikwa humu kama yangekuwa urongo, yangekanushwa!, unless uniambie yalikanushwa ila hayo makanusho hayakuchapishwa!.
Asante kwa Amani Thani!.
Pasco
Mkuu Mandago, msingi wa bandiko langu ni utafiti huu, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, PembaWewe Pasco unawaita wenzako (wenye elimu) eti wajinga, kumbe hutambui kwamba mjinga namba moja ni wewe mwenyewe, kwenye thread hii umetuletea picha za Wa Congo wanaoteswa na wazungu kisha ukatudanganya eti picha hizo ni za wazanzibari (babu zetu) wanateswa na Waraabu (wewe inaonyesha unachuki kubwa na Waislamu) unahitaji uelimishwe ndio labda utaelevuka.
Pumbavu.
Pasco,Mkuu Maalim
Mohamed Said
kwanza naomba kila nipatapo fursa, nikuthibitishie kuwa mimi ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana, kipaji chako, uwezo wako, na "the power from within" unayo command!, tofauti kati ya mimi na wewe au mahali pekee tunapokosana na kutofautiana ni kwenye urongo tuu!, pale sisi tuliosoma maandishi ya mashuhuda wa Mapinduzi, na wewe unapoleta simulizi za urongo wa hao waliokuhadithia urongo kwa malengo wanayoyajua wao!.
Tulipishana kwenye simulizi zako za Uhuru wa Tanganyika, nikakueleza nilipata kuzungumza na mjane wa Sykes alokuwa akikaa Upanga opposite na Califonia Dreamer akanihadithia hata jinsi alivyomfunza Mama Maria kuokota makumbi, kukanda chapati na kuuza mkaa!.
Pia tumetofautiana kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wewe ukiyabeza na kuyaita mauaji ya halaiki!, kisa waliopinduliwa ni Mwarabu Sultani Dhalimu!. Sasa tena tunatofautiana kwenye hili la utumwa, kisa ni kile kile cha Mwarabu Dhalimu!.
Kwenye Mapinduzi sikuwepo na wewe hukuwepo, wote tunahadithiwa tuu!, tofauti zetu ni mmoja kuchukua cha ukweli kilichotokea na kuandikwa na non partisan writers, na mwingine kuchukua simulizi za urongo za partisan writers!.
Hayo yaliyoandikwa humu kama yangekuwa urongo, yangekanushwa!, unless uniambie yalikanushwa ila hayo makanusho hayakuchapishwa!.
Asante kwa Amani Thani!.
Pasco
Huyu ndiye liyemuingiza mjini Mama Maria. Pale nilipelekwa na binti yenu mmoja naomba kulihifadhi jina lake wale wafuasi wako wasije kumzushia kama yule binti wa ki Zenj!.Pasco,
Huyo uliemtaja ni Mama Daisy.
Mimi huyo ni mama yangu.
Sisi sote tunazaliwa anatuona.
Tuishie hapa na historia ya Zanzibar.
Wee Baragashi, ulikuwepo kuyashuhudia hayo au umehadithiwa?!. Mimi nakiri sikuwepo ila sijahadithiwa bali nimesikiliza mimi mwenyewe shududa wa Mapinduzi yale Matukufu, yalivyorudisha hishma kwa visiwa vile, yena ili kuondoa ubaguzi, wamatumbi wakawao Waarabu kinguvu!.Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu na wafuasi wa vyama vya ZNP/ZPPP walichinjwa kama kuku, wametumbukizwa visimani, wmenyolewa ndevu kwa vigae, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wamechanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu mwengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka!
Hii thread inahusu Zanzibar, kwanini basi unaweka picha za Congo in the post which is talking about Zanzibar?Mkuu Mandago, msingi wa bandiko langu ni utafiti huu, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba
tafuta popote kwenye bandiko langu niliposema ni picha za mahali fulani!. Nimeweka picha za watumwa!.
Laiti ungelinijua, Waislamu wote ni shemeji zangu!, bi mkubwa ni dada yenu!, tena wa Zenj!.
Pasco
Nimeandika mengi kuhusu Zanzibar, karibu.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Pasco
Pasco,Huyu ndiye liyemuingiza mjini Mama Maria. Pale nilipelekwa na binti yenu mmoja naomba kulihifadhi jina lake wale wafuasi wako wasije kumzushia kama yule binti wa ki Zenj!.
Naunga mkono kuishia hapa ila nina ombi moja kwako, naamini unajijua darja yako miongoni mwa waumini wa dini yako humu jukwaani!, sijawahi kukusikia ukimtukana mtu, ukikashifu au kukufuru dini za watu wengine, sasa kwa ustaarabu huo ulionao, naomba ufungue madrasa ya jf, ukiona wafuasi wako, wanatenda ndivyo sivyo, au wanavuka mipaka ya minakasha, wakemee!, warudishe kwenye mstari, utapafanya hapa jf kuwa mahala pazuri zaidi kujadili, na mimi nakiri kuwa ni wewe ndio ulionifanya nichangie uzi huu, japo kinyago nilikichonga mwenyewe lakini nikakiogopa kisa tuu watu wako wametafsiri Uarabu na dini ya Kiislamu!.
Mimi nimelelewa na Sheikh Jabir na amenipeleka hadi nyumbani kwa Sheikh Nurdin pale Upanga. Kina Sheikh Comorian nimewahoji pale kwa Jabali Marijan Rajabu!. Kazi ya Utangazaji nimefunza na Othman Matata na nduguye Chama Omar Matata!. Kufuatia mahusiano yangu mazuri na Waislamu, mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku moja moja huwa nafunga na kufuturu nao!.
Asante sana kuchangia uzi wangu, nami naendelea kukusoma!.
Pasqwa.