Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Nimeandika mengi kuhusu Zanzibar, karibu.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Masw
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kil
Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ..
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Masw
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. S
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa M
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. W
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III ,
Live Star Tv: Mkutano wa CUF uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar ...
Kumbe Rais wa JMT ni Nobody Zanzibar!. Waziri Mkuu Pinda ..
Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matok
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuw
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6?
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana
Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Uni
'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-Karume Jn
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto, lakini ipo!, na hakuna aliyejiuzulu!
Pasco
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu waliokuwa ZNP/ZPPP walichinjwa kama juku, wametumbukizwa kisimani, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wame chanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu wengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu na wafuasi wa vyama vya ZNP/ZPPP walichinjwa kama kuku, wametumbukizwa visimani, wmenyolewa ndevu kwa vigae, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wamechanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu mwengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka!
 
Mimi sizungumzii mtoa mada. Ninachosema, biashara ya utumwa na uonevu wa wazungu, makaburu na wakoloni vinajadiliwa vizuri bila watu kuchukua position za udini tatizo ikija kuhusu uchafu na uonevu wa waarabu hamtaki tuwajadili.

Nani asiyejua kuwa biashara ya utumwa ya Africa Mashariki iliwahusisha vizuri waarabu?
Mwarabu sio mchafu, mwarabu ni mstaarabu.

Hata hili neno "MSTAARABU" maana yake ni "mtu mwenye tabia ya waarabu"
 
Wewe Pasco unawaita wenzako (wenye elimu) eti wajinga, kumbe hutambui kwamba mjinga namba moja ni wewe mwenyewe, kwenye thread hii umetuletea picha za Wa Congo wanaoteswa na wazungu kisha ukatudanganya eti picha hizo ni za wazanzibari (babu zetu) wanateswa na Waraabu (wewe inaonyesha unachuki kubwa na Waislamu) unahitaji uelimishwe ndio labda utaelevuka.

Pumbavu.
 
Sasa Pasco...!

Jazba za nin Mkuu?

Kwaiyo wewe unataka kusema Slavery na Colonialism hazina nasaba?

After Scramble and partition of African Continent huko berlin ni kwamba kusema hujui nin kilifuatia?..

Hujui ni kina nan walihusika katika kuwabeba wazee wetu na kuwapeleka North America..Brazil..Carribean islands na kwingineko kama watumwa?

Hivyo wewe ndie wajiita ni mwandish wa habari?teh teh teh...

Sasa unaandikaga nin huko..au utakuwa ni mhariri wa lile gazeti la Udaku la Dira wewe siyo bure...!

Jitu la hovyo kbs yaani wewe unawezaje kusimama na kuwatukuza wazungu pamoja na yoote mabaya waliyokufanyia bado unasimama na kuwatukuza?
Huyu mbumbumbu Pasco hawezi kuimudu kazi hiyo ya uandishi wa habari kwa sababu ana chuki dhidi ya imani za watu.

Kwa mfano, kwenye thread hii kaandika pumba tupu hamna facts zozote, eti picha za Congo alizozikopi kutoka google anatudanganya eti picha hizo ni Zanzibar.

[emoji13] [emoji13] [emoji107] [emoji107] [emoji109] [emoji109]
 
2016-04-22-19-11-36--1373495186.jpeg

Haya hii ndiyo faida ya utumwa wanarakati wamepambana mpaka Marekani imekubali kuweka picha ya mtumwa kwenye dola 20 ambaye alikata minyororo na kuwaokoa wenzake, Pasco na wenzake bado wanaona Marekani ilikuwa sawa kuwafanya watumwa watu weusi.

The portrait of Harriet Tubman, the late abolitionist born into slavery in the 1800s, will replace the countenance of the US' seventh president, Andrew Jackson, on the $20 bill.Tubman, known as the leader of the Underground Railroad - a network of anti-slavery activists - will become the first African American on US paper money and the first woman to be depicted on the country's currency in 100 years.The portrait of Jackson, who was a slave owner, will be pushed to the back of the currency.The move is one of numerous changes announced by Treasury Secretary Jacob Lew on Wednesday.The $5 bill will also undergo a face-lift: The illustration of the Lincoln Memorial on the back will be redesigned to honour "events at the Lincoln Memorial that helped to shape our history and our democracy", Lew said.The new image on the $5 bill will include numerous new figures, including civil rights leader Martin Luther King Jr, who gave his famous "I have a dream" speech on the steps of the memorial in 1963.

images-2.jpeg
 
Ni kweli.
P.
Pasco,
Huenda hizi hamasa zako za ''mapinduzi matukufu,'' na kejeli
nyingine ni kwa kuwa hujui kilichotokea Zanzibar.

Huna baba wala mama aliyeuawa kwa kuonewa bila sababu.
Mzee wangu mmoja tumekaa umri wangu wote na yeye kwa
kila hali alishiriki katika kuiangusha serikali ya Mohamed Shamte.

Tunakaa ananisomesha historia ya Tanzania kuanzia Tanganyika.
Yeye ni kati ya watu labda 20 wa mwanzo kujiunga na TANU.

Mwalimu Nyerere alikuwa akija kwao yeye kwa kuwa alikua mtoto
ndiye aiyetolewa chumbani kwake kumpisha Nyerere alale.

Baada ya uhuru alishika nafasi kubwa kubwa katika serikali.

Yote tunazungumza ila historia ya mapinduzi na urafiki wake na
Karume.

Yaliyotokea katika mapinduzi na baada yake anayajua vizuri na kwa
sasa anajuta kwa nini alishiriki.

Watu mfano wa mzee wangu huyu wako wengi Dar es Salaam na
wanajulikana kwa majina.

Wakati utakapofika In Sha Allah historia zao zitaandikwa.

Pasco,
Chukua muda umsikilize Aman Thani:
Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9
 
Kwani kuhusika kwa wazungu kunaondoa kuhusika kwa waarabu? Kwani kunukuu andishi na kuweka msimamo wako kuhusu kuamini au kutoamini andishi hilo ni kosa? Usomi ni nini? Hivi hii historia unaweka ya Captain John Hawkins hujaisoma mahali wewe? Kwa nini na wewe unaiweka humu ili tuiamini lakini unaona ni kosa mwenzio kunukuu utafiti?

Hebu njooni na hoja za maana kuhusiana na kuhusika au kutohusika kwa WAARABU katika kile kinachoitwa East African Slave Trade.
1) Waraabu hawakuwatesa babu zetu.

2) Waraabu na Wazanzibari weusi (Waislamu) ndio walioteswa na John Okello (kutoka Uganda) na wafuasi wake walipo ipindua Serekali ya halali ya Zanzibar (John Okello na wafuasi wake walifanya mauwaji ya kinyama kabisa, waliuwa maelfu ya Waislamu bila ya hatia yeyote ile).

3) Kwenye uzi huu wa bieshara ya watumwa, kwanini huyu Pasco hakuwataja Wazungu waliowatesa sana Waafrika? na kuwauza Waafrika huko South American na Europe? na wanaendelea kuwatesa Waafrika mpaka hivi leo kwa siasa zao za ubaguzi.

4) Pasco Acha chuki dhidi ya Waislamu
 
Pasco,
Huenda hizi hamasa zako za ''mapinduzi matukufu,'' na kejeli
nyingine ni kwa kuwa hujui kilichotokea Zanzibar.

Huna baba wala mama aliyeuawa kwa kuonewa bila sababu.
Mzee wangu mmoja tumekaa umri wangu wote na yeye kwa
kila hali alishiriki katika kuiangusha serikali ya Mohamed Shamte.

Tunakaa ananisomesha historia ya Tanzania kuanzia Tanganyika.
Yeye ni kati ya watu labda 20 wa mwanzo kujiunga na TANU.

Mwalimu Nyerere alikuwa akija kwao yeye kwa kuwa alikua mtoto
ndiye aiyetolewa chumbani kwake kumpisha Nyerere alale.

Baada ya uhuru alishika nafasi kubwa kubwa katika serikali.

Yote tunazungumza ila historia ya mapinduzi na urafiki wake na
Karume.

Yaliyotokea katika mapinduzi na baada yake anayajua vizuri na kwa
sasa anajuta kwa nini alishiriki.

Watu mfano wa mzee wangu huyu wako wengi Dar es Salaam na
wanajulikana kwa majina.

Wakati utakapofika In Sha Allah historia zao zitaandikwa.

Pasco,
Chukua muda umsikilize Aman Thani:
Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9
Mkuu Maalim
Mohamed Said
kwanza naomba kila nipatapo fursa, nikuthibitishie kuwa mimi ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana, kipaji chako, uwezo wako, na "the power from within" unayo command!, tofauti kati ya mimi na wewe au mahali pekee tunapokosana na kutofautiana ni kwenye urongo tuu!, pale sisi tuliosoma maandishi ya mashuhuda wa Mapinduzi, na wewe unapoleta simulizi za urongo wa hao waliokuhadithia urongo kwa malengo wanayoyajua wao!.

Tulipishana kwenye simulizi zako za Uhuru wa Tanganyika, nikakueleza nilipata kuzungumza na mjane wa Sykes alokuwa akikaa Upanga opposite na Califonia Dreamer akanihadithia hata jinsi alivyomfunza Mama Maria kuokota makumbi, kukanda chapati na kuuza mkaa!.

Pia tumetofautiana kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wewe ukiyabeza na kuyaita mauaji ya halaiki!, kisa waliopinduliwa ni Mwarabu Sultani Dhalimu!. Sasa tena tunatofautiana kwenye hili la utumwa, kisa ni kile kile cha Mwarabu Dhalimu!.

Kwenye Mapinduzi sikuwepo na wewe hukuwepo, wote tunahadithiwa tuu!, tofauti zetu ni mmoja kuchukua cha ukweli kilichotokea na kuandikwa na non partisan writers, na mwingine kuchukua simulizi za urongo za partisan writers!.

Hayo yaliyoandikwa humu kama yangekuwa urongo, yangekanushwa!, unless uniambie yalikanushwa ila hayo makanusho hayakuchapishwa!.
Asante kwa Amani Thani!.

Pasco
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu na wafuasi wa vyama vya ZNP/ZPPP walichinjwa kama kuku, wametumbukizwa visimani, wmenyolewa ndevu kwa vigae, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wamechanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu mwengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka!
Wafundishe hawa kondoo wa bwana wajue ukweli, kazi yao kuropokwa tu bila ya uhakika wowote
 
Wewe ndio muongo namba moja.

Waraabu na Wazanzibari weusi (Waislamu) ndio walioteswa na John Okello (kutoka Uganda) na wafuasi wake walipo ipindua Serekali ya halali ya Zanzibar (waliuuwa maelfu ya Waislamu bila ya hatia yeyote ile).
 
Wewe Pasco unawaita wenzako (wenye elimu) eti wajinga, kumbe hutambui kwamba mjinga namba moja ni wewe mwenyewe, kwenye thread hii umetuletea picha za Wa Congo wanaoteswa na wazungu kisha ukatudanganya eti picha hizo ni za wazanzibari (babu zetu) wanateswa na Waraabu (wewe inaonyesha unachuki kubwa na Waislamu) unahitaji uelimishwe ndio labda utaelevuka.
Pumbavu.
Mkuu Mandago, msingi wa bandiko langu ni utafiti huu, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba
tafuta popote kwenye bandiko langu niliposema ni picha za mahali fulani!. Nimeweka picha za watumwa!.

Laiti ungelinijua, Waislamu wote ni shemeji zangu!, bi mkubwa ni dada yenu!, tena wa Zenj!.
Pasco
 
Mkuu Maalim
Mohamed Said
kwanza naomba kila nipatapo fursa, nikuthibitishie kuwa mimi ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana, kipaji chako, uwezo wako, na "the power from within" unayo command!, tofauti kati ya mimi na wewe au mahali pekee tunapokosana na kutofautiana ni kwenye urongo tuu!, pale sisi tuliosoma maandishi ya mashuhuda wa Mapinduzi, na wewe unapoleta simulizi za urongo wa hao waliokuhadithia urongo kwa malengo wanayoyajua wao!.

Tulipishana kwenye simulizi zako za Uhuru wa Tanganyika, nikakueleza nilipata kuzungumza na mjane wa Sykes alokuwa akikaa Upanga opposite na Califonia Dreamer akanihadithia hata jinsi alivyomfunza Mama Maria kuokota makumbi, kukanda chapati na kuuza mkaa!.

Pia tumetofautiana kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wewe ukiyabeza na kuyaita mauaji ya halaiki!, kisa waliopinduliwa ni Mwarabu Sultani Dhalimu!. Sasa tena tunatofautiana kwenye hili la utumwa, kisa ni kile kile cha Mwarabu Dhalimu!.

Kwenye Mapinduzi sikuwepo na wewe hukuwepo, wote tunahadithiwa tuu!, tofauti zetu ni mmoja kuchukua cha ukweli kilichotokea na kuandikwa na non partisan writers, na mwingine kuchukua simulizi za urongo za partisan writers!.

Hayo yaliyoandikwa humu kama yangekuwa urongo, yangekanushwa!, unless uniambie yalikanushwa ila hayo makanusho hayakuchapishwa!.
Asante kwa Amani Thani!.

Pasco
Pasco,
Huyo uliemtaja ni Mama Daisy.
Mimi huyo ni mama yangu.

Sisi sote tunazaliwa anatuona.
Tuishie hapa na historia ya Zanzibar.
 
Pasco,
Huyo uliemtaja ni Mama Daisy.
Mimi huyo ni mama yangu.

Sisi sote tunazaliwa anatuona.
Tuishie hapa na historia ya Zanzibar.
Huyu ndiye liyemuingiza mjini Mama Maria. Pale nilipelekwa na binti yenu mmoja naomba kulihifadhi jina lake wale wafuasi wako wasije kumzushia kama yule binti wa ki Zenj!.
Naunga mkono kuishia hapa ila nina ombi moja kwako, naamini unajijua darja yako miongoni mwa waumini wa dini yako humu jukwaani!, sijawahi kukusikia ukimtukana mtu, ukikashifu au kukufuru dini za watu wengine, sasa kwa ustaarabu huo ulionao, naomba ufungue madrasa ya jf, ukiona wafuasi wako, wanatenda ndivyo sivyo, au wanavuka mipaka ya minakasha, wakemee!, warudishe kwenye mstari, utapafanya hapa jf kuwa mahala pazuri zaidi kujadili, na mimi nakiri kuwa ni wewe ndio ulionifanya nichangie uzi huu, japo kinyago nilikichonga mwenyewe lakini nikakiogopa kisa tuu watu wako wametafsiri Uarabu na dini ya Kiislamu!.

Mimi nimelelewa na Sheikh Jabir na amenipeleka hadi nyumbani kwa Sheikh Nurdin pale Upanga. Kina Sheikh Comorian nimewahoji pale kwa Jabali Marijan Rajabu!. Kazi ya Utangazaji nimefunza na Othman Matata na nduguye Chama Omar Matata!. Kufuatia mahusiano yangu mazuri na Waislamu, mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku moja moja huwa nafunga na kufuturu nao!.

Asante sana kuchangia uzi wangu, nami naendelea kukusoma!.

Pasqwa.
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.
Huu ni upofu na si makengeza. Waarabu na wafuasi wa vyama vya ZNP/ZPPP walichinjwa kama kuku, wametumbukizwa visimani, wmenyolewa ndevu kwa vigae, wamechomwa kwenye matanuri ya mbata, , wamechanjwa kama kuni kwa shoka. Udhalimu mwengine hauwelezeki bila ya machozi kukudondoka!
Wee Baragashi, ulikuwepo kuyashuhudia hayo au umehadithiwa?!. Mimi nakiri sikuwepo ila sijahadithiwa bali nimesikiliza mimi mwenyewe shududa wa Mapinduzi yale Matukufu, yalivyorudisha hishma kwa visiwa vile, yena ili kuondoa ubaguzi, wamatumbi wakawao Waarabu kinguvu!.Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa, Walikimbia Wenyewe!.

Nimemsikia aliyepindua akisema hakuna Mwarabu alyefukuzwa Zanzibar, walioomdoka, waliondoka wenyewe bila yoyote kutimuliwa!. Kwa taarifa tuu, hata ASP wapo waliopote maisha!.

Pasco
 
Wee Pasco, unatukana watu (Waislamu) kisha unatarajia kukumbatiwa?

Sometimes, inabidi tutumia dawa ya moto ni moto, kukujibu uongo wako huu unaoandika hapa.

Ukitaka heshima, anza wewe kuheshimu watu na wewe utaheshimiwa, In Sha Allah.

Heshima kamwe hailetwi na matusi.
(kama wewe unavyo fanya, eti unatafuta heshima kwa kutukana watu, kamwe hauzi kupata heshima mpaka ujirekebishe na uwaheshimu watu wote).
 
Mkuu Mandago, msingi wa bandiko langu ni utafiti huu, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba
tafuta popote kwenye bandiko langu niliposema ni picha za mahali fulani!. Nimeweka picha za watumwa!.

Laiti ungelinijua, Waislamu wote ni shemeji zangu!, bi mkubwa ni dada yenu!, tena wa Zenj!.
Pasco
Hii thread inahusu Zanzibar, kwanini basi unaweka picha za Congo in the post which is talking about Zanzibar?

Je hauni hapa kama unadanganya?
 
Hii topic tu hapo juu ni enough kukuondoa katika watu waliokua na akili timam.
Wacha waarabu kuuliwa hadhani kama paka, mwisho Karume alianza kuwauwa wasomi wote.
Kina Abdul Aziz Twala, Othman Sharif, Mohamed Hamoud, Saleh Sadala, Abdallah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, na wengine wengi.

Uliza historia, hao hapo juu wamefanya nini na wamekufa vipi? Maana hata makaburi yao hayapo.
 
Huyu ndiye liyemuingiza mjini Mama Maria. Pale nilipelekwa na binti yenu mmoja naomba kulihifadhi jina lake wale wafuasi wako wasije kumzushia kama yule binti wa ki Zenj!.
Naunga mkono kuishia hapa ila nina ombi moja kwako, naamini unajijua darja yako miongoni mwa waumini wa dini yako humu jukwaani!, sijawahi kukusikia ukimtukana mtu, ukikashifu au kukufuru dini za watu wengine, sasa kwa ustaarabu huo ulionao, naomba ufungue madrasa ya jf, ukiona wafuasi wako, wanatenda ndivyo sivyo, au wanavuka mipaka ya minakasha, wakemee!, warudishe kwenye mstari, utapafanya hapa jf kuwa mahala pazuri zaidi kujadili, na mimi nakiri kuwa ni wewe ndio ulionifanya nichangie uzi huu, japo kinyago nilikichonga mwenyewe lakini nikakiogopa kisa tuu watu wako wametafsiri Uarabu na dini ya Kiislamu!.

Mimi nimelelewa na Sheikh Jabir na amenipeleka hadi nyumbani kwa Sheikh Nurdin pale Upanga. Kina Sheikh Comorian nimewahoji pale kwa Jabali Marijan Rajabu!. Kazi ya Utangazaji nimefunza na Othman Matata na nduguye Chama Omar Matata!. Kufuatia mahusiano yangu mazuri na Waislamu, mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku moja moja huwa nafunga na kufuturu nao!.

Asante sana kuchangia uzi wangu, nami naendelea kukusoma!.

Pasqwa.
Pasco,
Mimi ni mtoto wa Mama Daisy.

toW0HLKw0_eZRKHUURD38LIxZWcW5RXD7goNoYJWFVWEj8kMEyL1bPXqHWB5CmfrXmD1mA=w329-h566-no

Kushoto: Mama Daisy, mbele ni Bi. Titi Mohamed
na kushoto yake ni Bi. Zainab mkewe Tewa Said Tewa
katika maandamano siku za mwanzo za uhuru

Ingekuwa si huu uhusiano wa kindugu Mama Daisy asingenieleza
chochote katika historia ya mumewe marehemu Abdulwahid Sykes.

Wakati ule watu walikuwa wakiogopa sana kusema lolote lililo kinyume
na historia ambayo watu walikuwa wameaminishwa.

Jina la Abdul Sykes na mdogo wake Ally na wazalendo wengine kama
Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir, Bi, Tatu bint
Mzee, Iddi Faizi Mafongo
, Oscar Kambona kuwataja wachache yote
yalikuwa yamefutwa kabisa.

Siku ile Mwalimu Nyerere ambayo aliwahutubia Wazee wa Mzizima
yaani Dar es Salaam kuwaaga ambayo kwa bahati mbaya sana ndiyo
siku aliyosema hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na cheo gani katika
TAA yeye alipoingia TAA Mama Maria Nyerere alikuwa na kikao kifupi
na akina Mama wa Dar es Salaam hapo hapo Diamond Jubilee Hall.

Mmojawapo katika hao akina mama alikuwa Mama Daisy.

Mama Maria aliwaeleza akina mama wale kuwa yeye na mumewe
walipokelewa Dar es Salaam na Abdul Sykes.

Wanamajlis,
Mtakumbuka siku niliposema kuwa Mwalimu Nyerere alisema kuwa
hakumbuki cheo cha Abdul Sykes katika TAA palizuka ubishi mkubwa
sana hadi Yericko Nyerere kusema yeye ataiweka hapa hotuba hiyo
tusikize kama kweli Mwalimu Nyerere alitamka kweli maneno yale.

Mama Daisy hakuwa na wasiwasi na mimi akinieleza kila kitu na kubwa
ambalo lilinishtua sana ni siku aliponiambia kuwa Allah ndiye atoae
ufalme, ''Baba yako yeye akimtaka sana Chief David Kidaha Makwaia
ndiyo aingie TAA wamchague president kisha waunde TANU.

Lakini Chief hakutaka.

Kila Chief akija Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya Legico tukimualika
nyumbani kwa chakula cha jioni na mimi nilikuwa pale nikiwaandalia na
nikisika mazungumzo yao yote.

''Bwana Abdul akimwabia Chief Kidaha, ''David hebu achana na hao
Waingereza bwana njoo huku tudai nchi yetu.''

Mama Daisy alikuwa na mengi na akizungumza alikuwa hana uchungu
kwa yale yaliyopita akizungumza huku ametulia kabisa.

Hali ya siasa katika TAA ilikuwa hivi katika miaka ya mwanzoni ya 1950.
Yako mengi lakini kwa leo haya yanatosha.

Anaetaka zaidi kuhusu Chief Kidaha Makwaia aingie hapa:
Mohamed Said: Chief David Kidaha Makwaia 1922 - 2007

Pasco,
Naona nikuage na picha ya maalim wako Chama Omari Matata:

Puqofe5Tukr_vrldX_KQCZcqhvlYql-3hCv-oKJO-g1VWax5tICiWzpb0MDvmuITpWKqmd3blpXyvub9H-iGAuNay4yMjnJf1rRGPe_90xFsSy2qQDYaSPbToEMwDdYuRgpHqEgYos6Upc_ifqPAnqx_pDsu-OSldzYHbqlArvt4ht50E9S6ipMo4D43g0jmE_hkAcKH5obdFF0-x7C05xgNbnLCsHgaapRC7_XhCFMV3bh8uy8nudlzYsjvBH3wVu9f_IFCounOxeinqidMa0BiJ0dow5L-jqNvptswbjtkB025NZblov1nnSv2tyuug5H82U-QdeUnosWZtqs4Xr4ltM_ynlrhw7jsXQaWueNH9fwzeLPP5iOqRtHustQV7C_Uc65rCTSoQbm0wDPpNR1xDS2MzKbZ3BvTdCYnydNs1yQ6i5oWDHmBMVhdYpGwmwXRzJXYVE4dsVhJLq_ja6fwyTohjV0rOlxgWZij9v5x9Iq8e_xt_-N8nBNHXXQaeG_83MhL1D1Frp9PtbBokJmiUTGOP78f2P36XjmWoRD5qlPz9iqim__owZ6Mgq6micizCQ=w878-h658-no

Kushoto: Ali Saleh, Mwandishi, Chama Omari Matata na aliyesimama nyuma ni
Balozi Mohamed Maharage BBC Club, Bush House London 1991
 
Back
Top Bottom