Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Baba Kiki,
Kukubali kitu gani kukataa nini?
Vita Vya Vietnam vilikuwapo na Mauaji ya My Lai yalifanyika.

Si hivyo tu.
Wewe ulinipa rejea Wikipedia mimi nimeikubali.

Nami nikakupa rejea kutoka huko huko.
Tatizo liko wapi?

Mauaji hayo ni miaka mingi baada ya historia ya utumwa.
Sasa nakupa jingine.

Mauaji ya Amritsar 1919.

''On the afternoon of April 13, a crowd of at least 10,000 men, women, and children gathered in an open space known as the Jallianwalla Bagh, which was nearly completely enclosed by walls and had only one exit. It is not clear how many people there were protesters who were defying the ban on public meetings and how many had come to the city from the surrounding region to celebrate Baisakhi, a spring festival. Dyer and his soldiers arrived and sealed off the exit. Without warning, the troops opened fire on the crowd, reportedly shooting hundreds of rounds until they ran out of ammunition. It is not certain how many died in the bloodbath, but, according to one official report, an estimated 379 people were killed, and about 1,200 more were wounded. After they ceased firing, the troops immediately withdrew from the place, leaving behind the dead and wounded.''

Hii ni Encyclopedia Britannica.
Thank you brother Mohamed for the useful information.
 
Nukuu hii nimeitoa kwenye Wikipedia, hebu tuitumie wakati tunaendelea kujadili unyama uliofanywa na Waarabu katika biashara ya Utumwa ya Afrika Mashariki na Kati.

David Livingstone wrote of the slave trade in the African Great Lakes region, which he visited in the mid-nineteenth century: "To overdraw its evils is a simple impossibility ... We passed a slave woman shot or stabbed through the body and lying on the path. [Onlookers] said an Arab who passed early that morning had done it in anger at losing the price he had given for her, because she was unable to walk any longer. We passed a woman tied by the neck to a tree and dead ... We came upon a man dead from starvation ... The strangest disease I have seen in this country seems really to be broken heartedness, and it attacks free men who have been captured and made slaves."[68] [69] Livingstone estimated that 80,000 Africans died each year before ever reaching the slave markets of Zanzibar.[33][34][70][71]Zanzibar was once East Africa's main slave-trading port, and under Omani Arabs in the 19th century as many as 50,000 slaves were passing through the city each year.[72]

Livingstone wrote in a letter to the editor of the New York Herald:

And if my disclosures regarding the terrible Ujijian slavery should lead to the suppression of the East Coast slave trade, I shall regard that as a greater matter by far than the discovery of all the Nile sources together.[73]
Ama kweli akili ni mali.

Eti unaleta rejea kutoka Wikipedia!

Hiyo Wikipedia mtu yeyote anaweza kuhariri (hata mie naweza kwenda hapo nikaandika wazungu wabaya)

Hahaha

Waovu ni viongozi wetu waliosababisha tz kuwa masikini mpaka leo, hao ndio waovu wa kweli.
 
Hakuna mtu anajaribu Kuhalalisha Ubaya hapa . Tunachofanya ni kujaribu kumuelimisha huyu Mtoto Pasco Vitu ambavyo hana ujuzi navyo.
Analeta Hadith za kuonyesha ati ubaya wa waarabu na hadith hio ameitoa kwa Mzungu ambae Aliingia hapa Kwetu Kwa malengo ya KUBEBA WATUMWA na KUTUTAWALA KWA NGUVU.

Kufanya hivyo ni Sawa na kumsikiliza Simba akihadithia Mateso aliyoyafanya fisi kwa KONDOO . HALI Ya kuwa Simba ni MUUWAJI MKUBWA anaetambulika.

Huu ni Upumbavu uliopita kiasi.

Pili.
Tumefunza ktk Historia zote kuwa km Mkoloni mvamizi ni Kiumbe aliyeishi na Watu wa ardhi ile aliotawala alikuwa MUOVU KWA WATU WALE basi baada ya KUONDOKA KWAKE au KUONDOLEWA watu wale waliotawaliwa HUKATA MAWASILIANO YOTE na Wakoloni wale na Kuwachukia siku zote.
Yawe ya Kijamii au ya DAMU.

Kwa mfano huu utaona kwamba kwa UPANDE wa WAARABU Leo SIO kufanana nao tu ktk LUGHA YETU YA KISWAHILI bali tuna Uhusiano nao MPAKA WA DAMU na Wengi wa WAZANZIBARI wana Ndugu zao wa DAMU na Wengi wao kuwa na Uraia WA OMAN. Na mahusiano Mazuri mno Ya kiuchumi na kijamii baina ya Pande zote mbili.

Hii ni DALILI TOSHA kuonyesha Uungwana Waliokuwa nao hao WAARABU WA OMAN hapa Kwetu enzi hizo za Utawala wao.

Na Huko OMAN asilimia 35% ya WANANCHI WAKE NI WENYE ASILI YA KITANZANIA. mpk baadhi ya Mawaziri wao Wa Nchi Ile.

Tukija Upande wa WAZUNGU juu ya kuwa WAMETUTAWALA KIMABAVU toka wa mwaka 1880s mpk 1961 zaidi ya Kutuachia UKRISTO na Picha zao kuziabudu na Kutuvisha SUTI wakati wa jua Kali na POmbe Kali HAKUNA Uhusiano Wowote Tulionao baina Yetu.
Damu zao hatuna wala Tabia zao jamii yetu Haizikubali Japo kuna wapuuzi wachache wenye kupenda kuiga kila akifanyacho mzungu.

Na Hata Kuingia Ktk nchi zao kwa sisi waafrika HAWATAKI kabisa.
Hio kupewa Visa tu ni Km Unaomba Uhai mpya.!

Sasa Tusiwe wajinga wa Kusoma Upuuzi wa Huyu mtoto Pasco msukuma asie na elimu yoyote ya historia wala asie na uwezo wa kutumia Logic ktk midahalo ya namna hii zaidi ya upumbavu wa Kijisifia at Yeye ana Nguvu sana kwa Kula Ugali Na Maharage kwa Wingi.

Ukitaka kuona Athari za elimu ya Kata msome Pasco hapo Juu.

Nyerere Kaumiza Wengi mno na Elimi hizi njaa.
Maneno yako ni kweli kabisa. Shukran.
 
No sichokozi mtu, ni kweli hao ni laini laini, nb, kuwa laini sio uvivu!, watu wa ukanda wa pwani ni laini, wavivu na legelege, ila Wapemba wao ni laini tuu lakini sii wavivu!, wanaweza sana kazi za kukaa mahali kuuza maduka, vibanda vya chips na sasa mbao za samaki!.

Mkoa wa Pwani ndio unaoongoza kwa maeneo mengi ya kilimo na udongo wenye rutuba!, wenyeji wa mkoa huu ni Waswahili, Wazaramo na Wandenge' hawa jamaa ndio masikini wa kutupwa kutokana na uvivu hivyo kukalia majungu!.

Pasco

Kwanza watu wa pwani sio wavivu.

Pili watu wa pwani ndio walioendelea na Wastaarabu zaidi in tz. Waungwana sana na watu wa dini wenye utu.

Tatu, Nyerere alikuwa anawafelisha wanafunzi wa Kiislamu kwa makusudi, ndio maana Waislamu hao wa Pwani hawana shahada za kupata kazi nzuri serikalini.
 
Baba Kiki,
Dunia ni katili sana na hakika kuna mambo mabaya yalotendeka yanatia
simanzi kubwa.

Lakini ukiwa unataka kuchangia mambo kama haya vyema unatakiwa kwa
kiasi na wewe uwe mjuzi.

Uwe umeisoma vizuri historia ya dunia.
Hebu soma hii kisha linganisha:

My Lai Massacre

Baba Kiki,
Ningeweza kukupa mifano mingi sana lakini tuanze na huu wa miaka ya karibu
zaidi kuliko enzi za utumwa.

Tatizo nilionalo hapa jamvini ni kuwa wengi mnachangia wakati hamna ujuzi
wa somo.

Lakini la kusikitisha zaidi ni kuwa hata mnapoelekezwa mnakuwa bongo zenu
mshazifunga kwa hiyo hakuna kipya kinachoweza kupenya.
Mkuu Maalim, naomba sana tujikite kwenye mada!. Hii ni mada kuhusu andiko hili, kwa yaliyotokea Zanzibar!. Kitendo cha kuleta madhila mengine mabaya zaidi, yaliyofanywa na watu wengine mahali pengine duniani ni kutaka kuhalalisha udhalimu wa Waarabu, kwa kuonyeshea, waliyoyafanya Waarabu ni madogo, shuhudieni makubwa!.

Unachotakiwa kufanya ni kwanza kukiri, Waarabu wa enzi zile walikuwa ni watu madhalimu!, kisha ndipo ukasema, pamoja na udhalimu wao, kuna watu humu duniani ni madhalimu na makatili kuliko Waarabu, ndipo ukatuletea mifano, ili kuhusianisha hoja zako na hoja iliyoko mezani!.

Pasco,
Mimi mzito sana kutumia maneno makali lakini kuna
watu hapa wamekuambia kuwa elimu yako ni ndogo
sana.

Kinachokusukuma ni chuki dhidi ya Uislam ambayo
umeificha nyuma ya pazia la Waarabu.

Unasema Waarabu wa enzi zile...
Kwani Transatlantic Slave Trade imefanyika leo?

Unaijua historia ya Spaniards na unyama waliofanya
Latin America?

Hawa waliishi leo?
Pasco,
Hebu fanya bidii usome kwanza.
 
Ama kweli akili ni mali.

Eti unaleta rejea kutoka Wikipedia!

Hiyo Wikipedia mtu yeyote anaweza kuhariri (hata mie naweza kwenda hapo nikaandika wazungu wabaya)

Hahaha

Maovu ni viongozi wetu waliosababisha tz kuwa masikini mpaka leo, hao ndio waovu wa kweli.

Naheshimu michango yako lakini nikusaidie tu wewe bado sana.

Endelea kujifunza kabla ya kuanza kujadili na watu.
Uko too shallow, biased na unakimbilia kichaka cha dini, huku umejaa matusi. Sioni kama dini ikiwa imekusaidia chochote.

Jifunze kwanza historia ya dunia halafu ujifunze kujadili. Matusi, kebehi, dharau, chuki za kidini huwa zinahamisha watu kwenye mada husika.
 
Baba Kiki,
Tatizo si wewe kupokea rejea.

Tatizo ni wewe kuona ukweli wa mauaji yaliyofanywa na Wazungu
kama ilivyoelezwa na Encyclopedia Britannica.

Msimamo wangu kuhusu biashara ya utumwa ni kuwa ule ni unyama.

Ila mimi sichagui wa Utumwa wa Afrika ya Mashariki kama wewe bali
naunganisha na Transatlantic ambao ulikuwa mbaya zaidi.

Asante kwa kutoa msimamo wako.

Wengi wanaojificha ktk kichaka cha dini na chuki za kidini wajifunze historia na kuelewa mambo ya dunia.
Kwamba WAARABU na WAZUNGU kwa namna, style na vipindi tofauti tofauti walituonea, kutunyanyasa, na kutukandamiza watu weusi. Huu ni ukweli ambao hakuna atayefanikiwa kuuficha.

Kitu ambacho nimejifunza watu wengi ni rahisi kujadili matatizo yote haya lakini tukifika kujadili utumwa wa Afrika Mashariki watu mnakuwa wakali kama pilipili, au humu JF kuna wabia wa hiyo biashara ya utumwa?
 
Pasco,
Mimi mzito sana kutumia maneno makali lakini kuna
watu hapa wamekuambia kuwa elimu yako ni ndogo
sana.

Kinachokusukuma ni chuki dhidi ya Uislam ambayo
umeificha nyuma ya pazia la Waarabu.

Unasema Waarabu wa enzi zile...
Kwani Transatlantic Slave Trade imefanyika leo?

Unaijua historia ya Spaniards na unyama waliofanya
Latin America?

Hawa waliishi leo?
Pasco,
Hebu fanya bidii usome kwanza.
Mkuu Maalim
Mohamed Said
, chuki na Waislamu itoke wapi, hata hawa Waarabu niliowaandika hapa, sina chuki nao kabisa!, kwa taarifa tuu, mke wangu wangu mkubwa ni Mwislamu!, nilipoanza anza kazi RTD, nilipikwa na safu ya Watangazaji mahiri wote Waislamu, Suleiman Hegga, Abdul Ngarawa, Ahamed Jongo, Salim Seif Mkamba, Juma Ngodae, Ahamad Kipozi, Sekioni Kitojo, Salama Mfamao, Siwatu Luanda etc, niwachukie kwa lipi?!.

Nipoanza kazi, nilipangishwa nyumba ya Mwislamu pale Ilala Sharif Shamba, Mwajuma Mchuka wa ATC, nikiishi na Muislamu Aboubakar Liongo, nilikuwa napikiwa kwa Da Mwajuma, mwaka mzima na mwezi Mtukufu nilifunga, kanzu na kofia hadi leo ninavaa!. Alipohama kuamia Masaki, Mdogo wake Halima Mchuka (RIP) aliendelea kutuhudumia hadi ... sasa niwe na chuki na Waislamu za nini?!.

Nilipoondoka RTD, niliajiiwa DTV, waajiri wangu ni Waislamu watupu na Waarabu, Nilipoondoka DTV, nilitunza na kulelewa na Sheikh Jabir, nimefanyiwa mema mengi na Waarabu/Waislamu!. Japo mimi ni Mkristo Mkatoliki lakini naukubali sana Uislamu, hapa nilipo nina wake 3 bado mmoja nitimize nguzo!. Kwenye hoja ya mahakama ya kadhi, nimewatolea hoja muruwa kuhusu ufumbuzi wake kulikoni hata nyinyi Waislamu wenyewe, hebu kanisome hapa, kweli mtu mwenye kuuchukia Uislamu anaweza kutoa ushauri kama huu,
Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu?.

Kuna tatizo la baadhi ya Waislamu waliofilisika kuusianisha Uislamu na Uarabu!, hivyo ukizungumziwa udhalimu wa Waarabu, wao wanatafsii ni udhalimu wa Waislamu!. Udhalimu ni udhalimu, hauna dini , rangi, wala kabila!. Kama hoja ni Lugha ya Kiarabu, hata Nabii Issa Bin Maryam, alizungumza Kiarabu.

Mada hapa ni kuhusu unyama wa Waarabu waliowafanyia babu zetu!, sasa ili kuupunguza unyama wa Waarabu, sasa ndio unatuletea unyama mkubwa zaidi ya huo wa Waarabu, ili sote kwa pamoja tuseme, afadhali ya Waarabu?!, kama Spaniards nao ni wanyama kuliko Waarabu, na unyama waliofanyia Latin America?, pandisha uzi wake, tutachangia!. Uzii huu ni kuhusu unyama wa Waarabu!.

Inawezekana ulikirimiwa na kupata malezi ya kiungwana na ukawa na chuki ndani ya moyo kwa waislamu na ukweli unadhihiri unapojenga na kujibu hoja kwa kujificha kwenye kivuli cha hayo unayoyasema
 
Pasco ni Jembe. Kaanzisha uzi, umejaza walaji kwasababu una mantiki sana.

Huu uzi hata mimi nimejifunza.
Nashangaa watu wengine humu wanakuja kuwatetea wakoloni kwa kukompea na kushindanisha ukoloni.
Ukoloni ni ukoloni tu. Kuna tofauti ya uhuru na ukoloni.
Acheni uzi wa pasco kama hamma hoja za ou argue.
Ad hominem zimejaa humu. Pasco kawavua kanzu wakoloni wa kiarabu [emoji3].
Adumu mtu mweusi.[emoji119]
 
Hapana, si kweli. Pasco hakuanzisha huu uzi, Pasco kajibu uzi ulioanzishwa na Mohamed Said.

Na majibu yenyewe aliyojibu ni utumbo mtupu wa ujinga aliojazwa, hamna ukweli hata chembe.
 
Mkuu Maalim
Mohamed Said
, imepita, hizi juhudi za kutumia ukatili wa wengine kusafishia ukatili wa Waarabu, hazisaidii!. Hoja za uzi huu ni kilichoandikwa humu
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ... na hakikuwahi kukanushwa!.

Pasco
Pasco,
Sijamsafisha yeyote nimekuwekea historia ya dunia na ukatili wa uliofanywa.

Labda nikuwekee ni hii hapo chini:
Vietnam War casualties - Wikipedia, the free encyclopedia

Hoja hapa ni unyama ulopitika hatubagui.
Brutal Exposure: the Congo - International Slavery Museum, Liverpool museums
 
Back
Top Bottom