2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Pasco amejibu kitaalamu sana.Hapana, si kweli. Pasco hakuanzisha huu uzi, Pasco kajibu uzi ulioanzishwa na Mohamed Said.
Na majibu yenyewe aliyojibu ni utumbo mtupu wa ujinga aliojazwa, hamna ukweli hata chembe.
Kwa tafiti na vyanzo makini.
Tatizo naloliona ni kua wengi wenu hamkutaka jukwaa liwe la great thinker kwasababu tayari mmeshamfanya mohamed said kawa Guru wenu. . Nanyi mmekua wafuasi wake waaminifu. Sasa akikosolewa hamuwezi kamwe kuvumilia ajibu kwa niaba yenu.
Ndio maana naona shutuma anazopewa Pasco hazina solid grounds, sana sana wengi wenu wamebakia kutukana na kum attack personaly(Ad hominem).
Matusi na kashfa ndio kitu kikubwa nachoona kwa wafuasi.
Reasons imekwenda likizo.
Kwa bahati nzuri pasco.amesema ametoa haya kwenye vitabu vilivyoandikwa na walioshuhudia.
Na Kwa Bahati nzuri mohamed said hajatukana kama mfanyavyo wafuasi wake. Japo sijaona akiwakataza pia au kuonyesha kutofurahishwa na matusi[emoji2] . It seems mna mfeva.[emoji13] .
Ukitaka kujua uzito wa hoja za Pasco. Fuatilia majibizano kati ya pasco na MS ndio utaona. Ila wengine humu wamekuja kumwaga tindikali ya matusi na kashfa.
I wish., wafungue uzi mwingine. Kisha waweke majibizano yao tu.