Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Hapana, si kweli. Pasco hakuanzisha huu uzi, Pasco kajibu uzi ulioanzishwa na Mohamed Said.

Na majibu yenyewe aliyojibu ni utumbo mtupu wa ujinga aliojazwa, hamna ukweli hata chembe.
Pasco amejibu kitaalamu sana.
Kwa tafiti na vyanzo makini.

Tatizo naloliona ni kua wengi wenu hamkutaka jukwaa liwe la great thinker kwasababu tayari mmeshamfanya mohamed said kawa Guru wenu. . Nanyi mmekua wafuasi wake waaminifu. Sasa akikosolewa hamuwezi kamwe kuvumilia ajibu kwa niaba yenu.

Ndio maana naona shutuma anazopewa Pasco hazina solid grounds, sana sana wengi wenu wamebakia kutukana na kum attack personaly(Ad hominem).

Matusi na kashfa ndio kitu kikubwa nachoona kwa wafuasi.
Reasons imekwenda likizo.

Kwa bahati nzuri pasco.amesema ametoa haya kwenye vitabu vilivyoandikwa na walioshuhudia.

Na Kwa Bahati nzuri mohamed said hajatukana kama mfanyavyo wafuasi wake. Japo sijaona akiwakataza pia au kuonyesha kutofurahishwa na matusi[emoji2] . It seems mna mfeva.[emoji13] .

Ukitaka kujua uzito wa hoja za Pasco. Fuatilia majibizano kati ya pasco na MS ndio utaona. Ila wengine humu wamekuja kumwaga tindikali ya matusi na kashfa.
I wish., wafungue uzi mwingine. Kisha waweke majibizano yao tu.
 
Pasco ni Jembe. Kaanzisha uzi, umejaza walaji kwasababu una mantiki sana.

Huu uzi hata mimi nimejifunza.
Nashangaa watu wengine humu wanakuja kuwatetea wakoloni kwa kukompea na kushindanisha ukoloni.
Ukoloni ni ukoloni tu. Kuna tofauti ya uhuru na ukoloni.
Acheni uzi wa pasco kama hamma hoja za ou argue.
Ad hominem zimejaa humu. Pasco kawavua kanzu wakoloni wa kiarabu
emoji3.png
.
Adumu mtu mweusi.
emoji119.png

Hapana, si kweli. Pasco hakuanzisha huu uzi, Pasco kajibu uzi ulioanzishwa na Mohamed Said.

Na majibu yenyewe aliyojibu ni utumbo mtupu wa ujinga aliojazwa, hamna ukweli hata chembe.
Pasco amejibu kitaalamu sana.
Kwa tafiti na vyanzo makini.

Tatizo naloliona ni kua wengi wenu hamkutaka jukwaa liwe la great thinker kwasababu tayari mmeshamfanya mohamed said kawa Guru wenu. . Nanyi mmekua wafuasi wake waaminifu. Sasa akikosolewa hamuwezi kamwe kuvumilia ajibu kwa niaba yenu.

Ndio maana naona shutuma anazopewa Pasco hazina solid grounds, sana sana wengi wenu wamebakia kutukana na kum attack personaly(Ad hominem).

Matusi na kashfa ndio kitu kikubwa nachoona kwa wafuasi.
Reasons imekwenda likizo.

Kwa bahati nzuri pasco.amesema ametoa haya kwenye vitabu vilivyoandikwa na walioshuhudia.

Na Kwa Bahati nzuri mohamed said hajatukana kama mfanyavyo wafuasi wake. Japo sijaona akiwakataza pia au kuonyesha kutofurahishwa na matusi[emoji2] . It seems mna mfeva.[emoji13] .

Ukitaka kujua uzito wa hoja za Pasco. Fuatilia majibizano kati ya pasco na MS ndio utaona. Ila wengine humu wamekuja kumwaga tindikali ya matusi na kashfa.
I wish., wafungue uzi mwingine. Kisha waweke majibizano yao tu.

Porojo hizo za kujazana ujinga ndiyo utaalamu?

Hakika kwa fikra zenu hizo za kikanisa kanisa bado mtaendelea kuabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi kwa muda mrefu sana ujao.
 
Hapana, si kweli. Pasco hakuanzisha huu uzi, Pasco kajibu uzi ulioanzishwa na Mohamed Said.

Na majibu yenyewe aliyojibu ni utumbo mtupu wa ujinga aliojazwa, hamna ukweli hata chembe.

Porojo hizo za kujazana ujinga ndiyo utaalamu?

Hakika kwa fikra zenu hizo za kikanisa kanisa bado mtaendelea kuabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi kwa muda mrefu sana ujao.
Bora anaeabudu sanamu kuliko anaeabudu Mungu mnywa dam za wasio na hatia,na majini!!
 
We unayeabudu na kusujudia mawe live utaacha lini?[emoji13] [emoji13] . Wajahilia walifanya bwana wana mambo[emoji13]
 
Bora anaeabudu sanamu kuliko anaeabudu Mungu mnywa dam za wasio na hatia,na majini!!
Bora anaeabudu sanamu kuliko anaeabudu Mungu mnywa dam za wasio na hatia,na majini!!

Ukielewa eucharist ni nini utaelewa ni nani anaekula nyama na kunywa damu ya binadamu.

Kafanye homework yako uelewe eucharist ni nini halafu uje kutuelezea.
 
Hakika kwa fikra zenu hizo za kikanisa kanisa bado mtaendelea kuabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi kwa muda mrefu sana ujao.
This is uncalled for!, Wakristu, Waaislamu ni watoto wa baba mmoja Ibrahim, Waislamu ni uzao wa Isumail, mwana mjakazi wa Kimisri, Hagil, na Wakistu ni uzao Isaka, mwana wa mke wake Sarah. Wote tunafuata sheria moja ya Mungu, iliyoshushwa kupitia kwa Musa, kwenye Taurat na kwenye Torati!. Hakuna yeyote anayeabudu sanamu!. Wakristu tunamwabudu Mungu!.

Ila hata kama ni kweli tunaabudu sanamu kama wafanyavyo Budha, mtu akiishaiita sanamu ni mungu, tafadhali sana heshimu imani yake!, usilazimishe imani yako kuwa ndio imani ya kweli!. Mimi japo Mkristu, nimeishi nyumba moja na Muislamu, mwezi Mtukufu nilifunga!. Mke wangu mkubwa ni Mwislamu, japo watoto wangu ni Wakistu, lakini kwa heshma ya mama yao, watoto wa bi mkubwa siwalishi ile mkuu wa meza japo hawana mwiko!.

Huu uzi sio kuhusu dini, matukano kama haya yalijitokeza kwenye uzi mwanzoni, na posti zote zilifutwa!. Nawaomba sana tujikite kwenye hoja, kama huna hoja, sii lazima kuchangia!.

Pasco
 
This email is uncalled for!, Wakristu, Waaislamu ni watoto wa baba mmoja Ibrahim, Waislamu ni uzao wa Isumail, mwana mjakazi wa Kimisri, Hagil, na Wakistu ni uzao Isaka, mwana wa mke wake Sarah. Wote tunafuata sheria moja ya Mungu, iliyoshushwa kupitia kwa Musa, kwenye Taurat na kwenye Torati!. Hakuna yeyote anayeabudu sanamu!. Wakristu tunamwabudu Mungu!.

Ila hata kama ni kweli tunaabudu sanamu kama wafanyavyo Budha, mtu akiishaiita sanamu ni mungu, tafadhali sana heshimu imani yake!, usilazimishe imani yako kuwa ndio imani ya kweli!. Mimi japo Mkristu, nimeishi nyumba moja na Muislamu, mwezi Mtukufu nilifunga!. Mke wangu mkubwa ni Mwislamu, japo watoto wangu ni Wakistu, lakini kwa heshma ya mama yao, watoto wa bi mkubwa siwalishi ile mkuu wa meza japo hawana mwiko!.

Huu uzi sio kuhusu dini, matukano kama haya yalijitokeza kwenye uzi mwanzoni, na posti zote zilifutwa!. Nawaomba sana tujikite kwenye hoja, kama huna hoja, sii lazima kuchangia!.

Pasco

Siku nyingi nilikwambia usijidanganye kuwa una mke wa Kiislam. Hakuna ndoa ya mwanamke wa Kiislam na mwanamme asiye Muislam. Huyo mnazini tu na hukumu ya Kiislam kwa mzinifu namna hiyo ni mawe mpaka kifo, kwa kifupi unazini na maiti au akubali tu kawa kafiri mwenzako.

Pasco labda uwadanganye wapya wa JF. Sisi tunaujuwa udini na ubaguzi wako na matusi yako ya nguoni kwa Waislam. Huna cha kutueleza.
 
Pasco,
Sijamsafisha yeyote nimekuwekea historia ya dunia na ukatili wa uliofanywa.
Labda nikuwekee ni hii hapo chini:
Vietnam War casualties - Wikipedia, the free encyclopedia
Hoja hapa ni unyama ulopitika hatubagui.
Brutal Exposure: the Congo - International Slavery Museum, Liverpool museums
Mkuu Maalim Mohamed Said, ni kweli kwenye dunia hii kumefanyika ukatili wa hali ya juu!, Makatili wa mwanzo kabisa katika vitabu vitakatifu ni Mafarao wa Misri ambao nao ni Waarabu. Ila kwa kadri dunia ilivyokwenda kumekuja kutokea makatili, na makatili na makatili wa kupitiliza, hivyo yakifanyika mashindano ya ku wa ranki ni kina nani ni makatili zaidi, inawezekana Mwarabu akashika nafasi ya 99!, yaani atakuwa ametanguliwa na makatili wengine wengi, lakini kwa kufuata kanuni ya proximity, na relevance, tunapozungumzia vitendo vya ukatili wa kutisha kabisa na unyama usiomithilika waliofanyibu zetu!, katili mkuu nambari moja ni Mwarabu, akifuatiwa na mkoloni!.

Kwa vile mada iliyoko mezani sio kuhusu idadi ya makatili duniani, wala kiwango cha ukatili, bali ni hiki kilichoandikwa humu kilichofanywa na Waarabu!, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...
Nilitegemea wewe Mkuu Maalim, utaipangua hiyo ripoti hoja kwa hoja, na kutueleza hiki na hiki ni urongo, ukweli ni huu, then tutakuelewa, kitendo cha wewe pia kujiunga na hawa wendawazimu wa humu kwa kuhusianisha Waarabu na dini ya Kiislam, kumepelekea hawa washabiki maandazi, wanaojitita tia kuwa wao ni wafia dini, wanatuharibia huu mnakasha!.

Nlisema kwa heshma yako, kwa busara zako, kwa kukubalika kwako na wale wafuasi wako, ambao mimi nafahamu the power you command!, ukiona wanakwenda ndivyo sivyo, kemea, kama mimi nilivyomkemea huyo ajuza wa mtaani kwako!.

Kama mna hoja, changine hoja kwa hoja au pangueni hoja, kama hamna hoja, kaeni kimya wenye hoja waje!, kama hoja zimekwisha, msichangie kitu na uzi utajimalizikia wenyewe!.

Pasco
 
Mkuu Pasco watendee watoto wako haki kuwanyima Mbuzi katoliki ni kukiuka haki za binadamu pasipo sababu za msingi.
Mkuu Ngongo, kwa vile kila mama na kwake, kwa bi mkubwa ni swala tano!, watoto japo wamebatizwa Katoliki, kule ni mwendo wa hijab kwa kwenda mbele, tena kuna siku mimi nilipata hiyo kitu, nikanawa vizuri na kushushia na ile kitu yangu, ili hata harufu isisikike!, ile kufika tuu, nikarudishiwa mlangoni!, ana maruhani almanusura yapande!, hivyo watoto hata wakiwa na baba, hawapati na wameishapigwa madrasa, kwa vile sheria yetu ni moja ni ile ile sheria ya Musa, na ilikataza hiyo kitu, hivyo nimeridhia wasiotaka kula wasile, wanaotaka kula wale!.

Pasco
 
Siku nyingi nilikwambia usijidanganye kuwa una mke wa Kiislam. Hakuna ndoa ya mwanamke wa Kiislam na mwanamme asiye Muislam. Huyo mnazini tu na hukumu ya Kiislam kwa mzinifu namna hiyo ni mawe mpaka kifo, kwa kifupi unazini na maiti au akubali tu kawa kafiri mwenzako.

Pasco labda uwadanganye wapya wa JF. Sisi tunaujuwa udini na ubaguzi wako na matusi yako ya nguoni kwa Waislam. Huna cha kutueleza.
Mke ndio wa dini ya Kiislamu sijasema nina ndoa ya Kiislam, ndoa yangi ni ya kimila, na hakuna mwisho wa idadi!. Walipokuja Waarabu na Wazungu kutuletea hizi dini zao, walitukuta tuna imani zetu, mila na desturi, nyingine mbaya tumeziacha, na kufuata za dini zao, na nyingine ni nzuri, mimi nimeamua kuzifuata!, na miongoni mwa hizo nzuri za kabila langu, ni hii ya kuoa bila mwisho wa idadi!.

Uzuri wa sisi Wakristu, hatuokolewi kwa matendo, bali tunaokolewa kwa neema, matendo ni mambo ya mwili tuu ukifa unaoza na matendo yake, kinachoingia mbinguni ni roho na sio mwili, chakula cha roho ni imani na sio mambo ya mwilini!, tena sitashangaa siku hiyo ikifika, naweza kumkuta peponi Osama, Sadam na Ghadafi, na kuwashuhudia motoni, Bush, Blair na Obama!.

Tena wiki ijayo naenda Zanzibar, kule ndio usiseme!, karibu!.

Pasco
 
Ukielewa eucharist ni nini utaelewa ni nani anaekula nyama na kunywa damu ya binadamu.

Kafanye homework yako uelewe eucharist ni nini halafu uje kutuelezea.
Sio kula na kunywa damu na nyama ya binadamu.

Ni kula mwili na kunywa damu ya YESU.

Additionally..Anayekula Mwili na Damu ya yesu, Yesu amehaidi atamfufua siku ya mwisho.

FaizaFoxy mnahitajika muwe wanawake wawili ili ushahidi wenu uwe wa kweli, dhidi ya mwanaume mmoja. Manake naona unahoroja tu peke yako. Hata maana yeke hujuwi.[emoji108]
 
Siku nyingi nilikwambia usijidanganye kuwa una mke wa Kiislam. Hakuna ndoa ya mwanamke wa Kiislam na mwanamme asiye Muislam. Huyo mnazini tu na hukumu ya Kiislam kwa mzinifu namna hiyo ni mawe mpaka kifo, kwa kifupi unazini na maiti au akubali tu kawa kafiri mwenzako.

Pasco labda uwadanganye wapya wa JF. Sisi tunaujuwa udini na ubaguzi wako na matusi yako ya nguoni kwa Waislam. Huna cha kutueleza.
Kwahiyo mungu kawaambia mpige mawe mpaka kufa! Mtafanyia hukohuko uarabuni
 
Hapa hatuihesabu hiyo kama ni ndoa ni uzinifu tu.

Hivi Biblia hukumu yake ipi kwa wazinifu?
Nilisema tangu mwanzo, Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja na wanamwabudu Mungu mmoja, chini ya Sheria ya moja ya Musa iliyoshushwa kwenye Torati, hivyo ndani ya Biblia, sheria ni hiyo hiyo!, ila kwa sisi Wakristu, sheria hiyo imeboreshwa zaidi na Bwana wetu Yesu Kristo, pale alipoletewa mwanamke mzinifu, kwa kutaka asiye na dhambi, ndie na awe wa kwanza kutupa hilo jiwe!.

Hapakuwepo hata mmoja!, ndipo Yesu kutumia mamlaka yake ya Mungu Mwana, akamsamehe, na kutoa kibali kwa makasisi kusamehe dhambi, ila kabla hujasamehewa lazima kwanza ukiri dhambi, kisha uungame na kuijutia, na baada ya hapo utapewa adhabu ya kufanya malipizi!.

Si wakristo na Waislam, ulimwengu mzima ni watoto wa baba mmoja na mmoja, watoto wa Adam na Hawa na ndiyo maana tunaitwa binadamu. Usijilimit kwa fikra finyu ya Ukristo na Uislam tu. Kumbuka hilo kijana.

Halafu, usimtie maneno yako Yesu.

Njoo huku upewe darsa: https://www.jamiiforums.com/threads/yesu-hakusulubiwa.1031629/page-6#post-15918885
 
Mode, kwa heshma na taadhima, nakuomba sasa uufunge rasmi huu uzi, watu hawana tena hoja, wameishiwa!, ila pia naomba uufunge kwa sababu leo nimekutana na Mtanzania fulani mwenye asili ya Kiarabu, Mhe. Yusuf Nasir, aliyekuwa mbunge wa Korogwe, ambaye ameishanisaidia sana kimaisha, wakati ninaanza maisha, nilipokutana nae lea, akanisabahi kwa kauli kuwa "japo najua unawachukia sana Waarabu, na mimi ni Mwarabu, lakini sitaacha kukusabahi", ndipo hapo nikagundua kuwa chanzo ni jf!, yaani kupitia uzi huu, nimegundua watu humu ni wavivu kusoma attachment, hawasomi kilichomo ndani ya ripoti hii, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ... humu bali wanaishia kunishutumu mimi Pasco wa jf kuwa nina chuki dhidi ya Waarabu!. Kiukweli nimejisikia vibaya haswa baada ya kukumbuka fadhila!. Mimi sina chuki yoyote na Waarabu, na nawahakikishieni kuwa Waarabu ninawapebda sana tuu, ila matendo ya baadhi yao!. Najua wengi hamuwezi kuamini, hata huyu sijui nimuite dada yetu, mama yetu, bibi yetu, au hata kama ni kigagula, FaizaFoxy, ninampenda sana kwa dhati ila basi tuu!, tena haswa kwa kuzingatia kwetu sisi Wasukuma, ndio kabila linaloongoza kwa kupenda na age ain't nothing but a number!, ili kulithibitisha hili, sasa nitatafuta mke wa nne, huyu atakuwa ni binti mbichi wa Kiarabu, na sio tuu, nitamuolea kwa DC kama wale wengine, safari hii nitasilimu, na kufungia ndoa Masjid, hivyo nitakuwa Muislamu na jina nitabadili kutoka Pasco kuwa Pasqwa.

Mode, huu uzi ulianzishwa kwa nia njema kwa ajili tuu ya kuijadili ripoti hii, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ... flakini watu humu ripoti hawasomi, wala hawajadili kilichomo wamebaki kutukana na kukashifu dini za watu, hivyo nashauri bora uufunge tuu huu uzi imetosha!.

Pasco (soon to be Pasqwa)
 
Pasco wa jf. Timwache mode asiufunge huu uzi...nimeipenda hii:...Katili mkuu nambari moja ni Mwarabu!
Nimemkumbuka Tipu Tippu yule tiliyemsoma kwenye historia.Kweli alikuwa KATILI....
 
Pasco wa jf. Timwache mode asiufunge huu uzi...nimeipenda hii:...Katili mkuu nambari moja ni Mwarabu!
Nimemkumbuka Tipu Tippu yule tiliyemsoma kwenye historia.Kweli alikuwa KATILI....
Chuwaalbert,
Tatizo kubwa katika sisi wana-barza ni kule kukosa kuwa na
msingi mzuri wa kile ambacho tunataka kukifanyia mjadala.

Tippu Tip wala hayuko katika orodha ya watu waovu kama
uovu unavyoeleweka.

Naamini wengi hapa hamajasoma historia ya Ulaya ambako
unyama mkuwa ulifanyika.

Hebu someni yaliyofanyika Aushwitz na wale wahusika wakuu
waliotenda mambo hayo yalofurtu ada.

Mshamsikia Heinrich Himmler, Reinhard Heydrich, Joseph
Mengele, Adolf Eichmann
kukutajia wachache tu.

Hawa si Waarabu.
Hawa wote ni Wazungu.

Chukueni muda msome historia ya dunia vinginevyo mtakuwa hapa
kila wakati mnastaajabisha watu kwa taarifa zisizo na ukweli.

Someni kitabu: ''The Rise and Fall of the Third Reich,'' kilichoandikwa
na William Shirer mtajifunza mengi.
 
Back
Top Bottom