Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi yakutuweka Dar es salaam ZOO?Wajerumani na waingereza walifanya mambo makubwa Kwa waafrika wa Tanganyika lakini yanafichwa Kwa Sababu ya udini .
Mkuu Raskazone, kwanza naomba kukubali kwa moyo safi na roho nyeupe kuwa mimi ni mjinga. Ujinga ni ile hali ya kutokujua, ukielimishwa ukajua, Ujinga unakutoka unakuwa mwerevu, hivyo naendelea kujielimisha, mwisho wa siku Ujinga utanitoka nitakuwa mwerevu.Pascall ni mjinga kama wajinga wengine , mm sikushangai kuleta uzi huu kwa mbwembwe lakini hauna mashiko isipokuwa kutaka kuwaaminisha kwamba CCM na Serikali zake wanayofanya simakubwa,
Kwanza hili jina la Paskali sio jina la kujiita, bali ndilo jina langu kweli na ni verified member. Jina la kujiita ni alias au a.k.a, hivyo mimi ni Paskali na sio ninajiita Paskali.mm sijasoma comments zote ila nna swali kwako wewe unaejiita Pascal, Je waarabu walikuwa wakristo au Waislam? Kama walikuwa wakristo basi walouza na kuwatesa Waafrika ni wakristo, na kama Waarabu walikuwa Waislam basi kwa nn biashara ya utumwa ilifanyika ndani ya makanisa? Ikiwa hujui biashara hii ilifanyika wapi, tembelea kanisa kuu la Mkunazini Unguja ujionee underground na chambers na minyororo waliodhulumiwa ndugu zako na Kanisa, halafu wewe unaendeleza propaganda kwa kulisave Kanisa wakati wajomba zako wame suffer ndani ya mkono wa kanisa.Jengine utuonyeshe msikiti mmoja tu wenye makumbusho ya Utumwa au Jumba lolote la kifalme lenye kumbukumbu za mateso kama huna funga mdomo wako usizungumze usioyajua kenge wewe.
Hizi pic ha niwatumwa waliofanywa na wajerumani Tanganyika ,halafu zikageuzwa kuficha udhalimu wa wazungu,Kwa sababu za kidini
Mkuu Abuha, hizo picha nilizizungumza ila pia humu JF ukisema lolote kuhusu Waarabu, huibuka wafia dini muflisi kama wewe, hivyo tayari niliisha toa angalizoWajerumani na waingereza walifanya mambo makubwa Kwa waafrika wa Tanganyika lakini yanafichwa Kwa Sababu ya udini .
Nawe umetembea mule mule! .Wanabodi,
Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu na sii lazima ziwe zimepigwa Zanzibar.
Ila pia naomba kutoa Maangalizo muhimu yafuatayo.
1. Tuwe makini sana na watu waliofilisika kiakili ambao watachanganya Uarabu na dini ya Kiislam simply because, Dini ya Kiislamu inatumia lugha ya Kiarabu!. Masikini muflisi hawa, hawajui kuwa hata Ukiristo umeanzia Arabuni. Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismail, aliyezaa na mjakazi wa ki Misri, na Wakristo ni uzao wa Isaka aliyezaa na mkewe Sara. Hata Yesu Kristo, licha ya kuzaliwa Israel, alikulia Misri na alizungumza lugha ya Kiarabu!. Hapa mimi nazungumzia udhalimu wa Waarabu kama jamii na sio dini ya Kiislamu.
Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu hawa hawa ndugu zetu Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa nao na kufurahi nao kwa vile tumeisha samehe na tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!.
2. Kwenye biashara ya utumwa, waliokuwa wakikamata watumwa, sio Waarabu, Waarabu wao walikuwa ni wafanyabiashara ya watumwa kwenye soko kuu la watumwa la Zanzibar, wakitokea Bagamoyo, na wanunuzi wakuu wa watumwa toka soko la Zanzibar kwa ajili ya kuwasafirisha kuwauza Uarabuni na India, ambako kote huko baada ya kufika, watumwa wanaume walihasiwa!. Waarabu pia ndio walikuwa wamiliki wa watumwa katika mashamba ya Zanzibar na`Pemba, ambapo nako watumwa wanaume walihasiwa, wanawake walifanywa vijakazi na ndio wazazi wa machotara wa Zanzibar na Pemba, wengi ni baba Mwarabu, mama uzao wa watumwa wanawake wenye bahati, ambao hawakutumbuliwa mimba za Waarabu!.
Upatikanaji wa watumwa kutoka bara pia ulihusisha baadhi ya watawala wetu wa asili wakiwemo machifu ambapo baadhi ya wahalifu waliostahili adhabu za vifo katika jamii zao, badala ya kuuliwa na kuwa hasara jumla, waliuzwa, utumwani, lakini watumwa wengi ni watu tuu wa kawaida wasio na hatia yoyote ambao waliwamiwa na kukamatwa kwa nguvu, wakiwemo wanawake na watoto!. Zoezi la ukamataji watumwa pia lilihusisha vitendo vya ukatili, ambapo wengi watumwa hawa, waliuawawa katika purukushani, na wengine wengi walifia njiani na miili yao kuachwa ikioza, miili yenye bahati ilifanywa vitoweo vya wanyama wa porini.
Kwenye misafara hiyo, ndugu zetu waliteswa sana mateso ambayo hayazungumziki walioishiwa nguvu, walipigwa hadi kifo ila hakukuwepo na kamera ya mzungu wa kutupigia picha kuja kutuleta humu!.
3. Waarabu ninaowazungumza hapa, ni wale Waarabu madhalimu na makatili wa enzi zile za utumwa ambao wengi wao, mwaka 1964, walifurushwa kutoka Unguja kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964!, ila waliofurushwa ni wale tuu waliokuwa Zanzibar tuu, lakini waliokuwa Pemba hawakuguswa.
Hawa Waarabu wa leo, ni vizalia vya Waarabu wale wale, ila hawa wa sasa, ni Waarabu wema, wastaarabu kama Waarabu wa sasa, wenye roho nzuri, sio wakatili, sio wadhalimu na wanawapenda watu weusi na kuwaoa kwa mapenzi, huku wanawake wao, wakiwapenda weusi na wakiolewa nao japo mwanzo ilikuwa ni kwa kulazimishwa na Karume, hivyo nashauri, kwa siku zijazo, hata Waarabu hawa, ama machotaa wao, wakishiriki tena uchaguzi, wakashinda kwenye uchaguzi huru na wa haki, wapewe tuu nchi watawale kwa sababu Waarabu hawa sii wale!, wasinyimwe kutawala eti kwa sababu tuu ni Waarabu!.
Waarabu wa enzi za utumwa, walikuwa madhalimu, hivyo kuendelea kudhani hata hawa wazaliwa wao pia ni lazima watakuwa ni madhalimu!, kwa kanuni ya mwana wa nyoka ni nyoka!, hivyo wanashinda uchaguzi lakini hawapewi, sio kuwatendea haki! .
Japo mwana wa nyoka nyoka lakini sii lazima kila mwana wa nyoka awe ni nyoka mwenye sumu kali, nyoka wengine ni kama joka la mdimu, halina madhara, hivyo Waarabu hawa wa leo wamebadilika, kwa sababu hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, hivyo Waarabu hawa wa sasa ni Waarabu wema, ni wenzetu na ni sehemu yetu!, ukifanyika uchaguzi tena, wakishinda, wapewe tuu nchi!.
Paskali
Mkuu Abuha, hizo picha nilizizungumza ila pia humu JF ukisema lolote kuhusu Waarabu, huibuka wafia dini muflisi kama wewe, hivyo tayari niliisha toa angalizo
Nawe umetembea mule mule! .
Paskali[/QUOT
Mkuu Pascal mimi naheshimu dini zote,na nawandugu katika Imani zote,lakini wewe umeandika mada hii ,kusudio haswa ni udini,tatizo hampendi kuwataja wamisionari,ambao Ni wajerumani na waingereza ambao wamechukua nafasi kubwa ya utumwa tanganyika,kwa kuwalimisha na watumwa waafrika katika mashamba makubwa ya pamba,katani nk,hilo jina lako linatokana na asili ya utumwa wa wamisionari,wazungu,tatizo lilikuwepo hapo umeinbalance maelezo yako,na kujaribu kuficha upande wa pili,wa washiriki wakuu wa biashara ya utumwa,ambao ni wamisionari,wajerumani,waingereza nakadhalika,utumwa ulikuwepo kutokana na ushiriki wa watu wa aina tofauti,umejaribu,kaujanja kutaja historia ndefu,huko nyuma ya toka ibrahim,isihaka na ismail,lakini ukamalizikia katika lengo lako haswa la uislamu wa zanzibari.itaendelea!!!!!Mkuu Abuha, hizo picha nilizizungumza ila pia humu JF ukisema lolote kuhusu Waarabu, huibuka wafia dini muflisi kama wewe, hivyo tayari niliisha toa angalizo
Nawe umetembea mule mule! .
Paskali
Mkuu Pascal ninaheshimu dini zote,haswa kwa Kwa vile,Nina wandugu wenye imani tofauti,tatizo hapa wewe Ni mdini,umeelezea mengi ya utumwa,lakini umeshidwa kuwagusa washiriki wakuu wa utumwa Kwa Tanganyika,kama wajerumani na waingereza, nakadhalika,ambao waliwatesa waafrika wa watanganyika na sehemu kubwa ya Afrika,Kwa kuwafanyisha makazi katika mashamba ya pamba na mikonge nakadhalika,kwa jina la umisionari/ukristo,tatizo lako umekua unbalance katika maelezo yako,Kwa kuuficha ukweli,sababu ya utashi wako wa kiimani,hilo umejaribu kulificha sana,Kwa kujaribu kuchanganya uarabu,uislamu,ukristo,Abraham,isaac,Ishmael,katika historia iliyopita,na mwisho wake ukaangukia pale pale,kwenye kusudio lako la udini,uzanzibari,uisilamu,uarabu,pascal asili ya jina lako linatokana na utumwa wa wajerumani,waingerezi,waliojificha kutekeleza mbinu zao za kuwafanya watumwa,wazee wetu wa kiafrica,Pascal jaribu sana kuelezea uhalisia wa ushahidi tosha,sisemi hivi Kwa sababu ya kutetea ama waislamu au waarabu,lakini tujiulize kwa nini unakosa kuwaingiza washirki wakuu wa biashara ya utumwa Kwa tanganyika ,sababu wanagusa imani yako ??inaendeleaWanabodi,
Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia walituletea dini za Kikristo, vivyo hivyo pamoja na mazuri ya Waarabu kuvivamia visiwa vya Zanzibar na Pemba na kuvitwaa kama mali yao, miongoni mwa mazuri waliyoyaleta Waarabu hawa, ni pamoja na kilimo cha karafuu, miundombinu ya ma kasri, pia Waarabu walileta dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar.
Lakini pamoja na mazuri yote haya, sio vibaya tukakumbushana tuu baadhi ya maovu ya Waarabu hawa kwa kuyajua baadhi ya madhila yaliyowakuta ndugu zetu Wamatumbi, chini ya mikono ya Waarabu wakati wa utawala dhalimu wa Sultani wa Zanzibae kwenye visiwa vya Unguja na Pemba.
Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutoka na mada hii
Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar ya Mkuu Maalim
Mohamed Said yenye lengo la kuonyesha kuwa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ndio pekee yaliyosababisha mauaji ya genocide Zanzibar, as if ukiondoa Mapinduzi ya Zanzibar, hakujawahi kutokea genocide nyingine yoyote Zanzibar, simply because aliyeuwawa kwenye Mapinduzi yale, ni Mwarabu, yaani Mwarabu tuu ndio binadamu, lakini Wamatumbi mamia kwa maelfu wote waliouwawa vifo vya kikatili sana chini ya mikono ya Waarabu, wao sii kitu!, not worth mentioned!. Mkuu Maalim
Mohamed Said
, kwa heshma na taadhima, nakuomba kwanza acha chuki zako dhidi ya wamisionari, usifikirie mabaya tuu ya wamishionari bali ufikirie na wema wao ukiwemo kukusomesheni kwenye shule zao ukiwemo wewe! .
Pili hata kama lengo lako ni kuutetea Uislamu, lakini mara moja moja kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako, kwa sababu naamini kabisa unayajua fika madhila yaliyowapata ndugu zetu Wamatumbi wakati wa kipindi chote cha utumwa chini ya utawala dhalimu wa wavamizi Waarabu kwenye visiwa vyetu vya Zanzibar na Pemba.
Hizo picha hapa chini sii za kuchorwa, ni picha halisi za kupigwa na kamera za wazungu, zikionyesha kidogo tuu ila kiukweli kilichowapata mababu zetu, kikubwa na kibaya kuliko hata hicho kilichoweza kupigwa picha chini ya mikono ya utawala dhalimu wa Waarabu, watumwa wote wanaume walihasiwa!, lengo la kuwahasi wanaume ni ili kuzuia wasizaliane, kitendo cha mwanamke kubeba ujauzito miezi 9 kisha kuzaa mtoto na kumsubiri hadi akue, itakuwa ni hasara, kwa kupunguza kasi ya mahitaji ya watumwa wapya!.
Watumwa wa soko la Zanzibar waliouzwa Arabuni na Bara Hindi, ambapo baada ya kufika kule, wanaume wote walifanyiwa ukatili wa ajabu kwa kuhasiwa ili wasizaliane, na walifanyishwa kazi za shokoa.
Wanawake walifanywa wajakazi, kazi za wajakazi zinajulikana, wenye bahati zao, walifanywa masuria, wasio na bahati waliuliwa na wengine kujifia, ndio maana hakuna kizazi cha watu weusi India na Arabuni, hao machotara, ni kwa baadhi ya Waarabu wenye utu na roho nzuri, lakini the rest ni unyama unyama tuu!.
Idadi kubwa kizazi chotara cha machotara wa Zanzibar, Pemba na Arabuni, kulitokana na wanaume dhalimu wa Kiarabu, kuwaingilia kwa nguvu watumwa wa kike ambao walinunuliwa mahsusi kama wajakazi, na pale waliposhika ujauzito, wamiliki walikuwa huru, kuwafanya chochote watumwa wao, ikiwepo kuwatesa, kuwapiga hadi kuwaua kwa ukatili wa hali ya juu!. Mtumwa mwanamke baada ya kuingiliwa ki nguvu, yaani kubakwa, ikitokea akashika ujauzito, mwanamke yule aliuwawa kwa kutobolewa tumbo, kutoa, kiumbe ambacho ndicho kilizikwa kama binadamu si ridhki, na mwili wa mtumwa ulifukiwa tuu kama mzoga!.
Jee wajua kuwa hata baada ya kupigwa marufuku kwa biashara haramu ya watumwa duniani kote, biashara hii iliendelea kufanyika Zanzibar kwa siri na kificho?!. Jee wajua kuna njia za chini kwa chini zimechimbwa Bagamoyo na Zanzibar ambapo watumwa walifichwa kwenye mapango na kupitishwa chini kwa chini hadi baharini?.
Jee ulikuwa unajua kuwa kila Sultani, wake zao na watoto zao, walipokufa, walizikwa na watumwa hai?!. Jee wajua mapokeo ya kwenye jengo la Beit Al Ajab, kwenye kila milingoti hapo, ndani walimuweka mtumwa hai mwanamume?!.
Jee wajua waliofanikisha kukomesha biashaa ya Utumwa Zanzibar ni akina nani?!. Kwa kusaidia tuu, waliokomesha biashara hii dhalimu ya utumwa Zanzibar ni Wamisionari, ambao waliingia mkatataba na Sultani dhalimu wa Zanzibar, ndipo ikukubaliwa kuwa watumwa wote wenye kutaka kuwa huru, lazima wagombolewe kwa wale matajii wao kufidiwa kwa kulipwa fedha, ambapo hao wamisionari, waliwalipia fedha kuwagomboa watumwa, na ndipo wakaanzisha kanisa la kwanza kabisa Afrika Mashariki, lilianzia Zanzibar, na waumini wa kwanza, ni watumwa waliogombolewa!. Mahali kanisa lilipo ndipo lilipokuwepo soko la watumwa.
Jee wajua kitu walichofanyiwa Waarabu dhalimu hawa baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ilikuwa ni katika kujibu tuu au payback ya "what goes around, comes around?!", ila hapa naomba kukiri wazi, kuwa sio Waarabu wote kabisa walikuwa madhalimu kwa kuwatenda vibaya watumwa wao!, wako baadhi ya Waarabu ambao waliwatendea wema watumwa wao, na Wamisionari walipotaka kuwagomboa, watumwa hao walikataa kwa ridhaa zao, hivyo wakaendelea kubaki utumwani kwa ridhaa zao wenyewe!.
Wako Waarabu, waliwapenda watumwa wa kike, japo waliwanunua kama vijakazi kwa ajili ya kuwafanya watumwa wa mapenzi, lakini wapo waliotokea kuwapenda kwa mapenzi ya dhati vijakazi hao, wengine wakawaoa na kuwa masuria, na wakawazalia watoto!. Namfahamu mmoja wa watoto wa Sultani ambaye alizaliwa na suria, na yungalipo hai hadi leo!.
Hii ni Ripoti ya aliyetumwa na utawala wa Waingereza kufuatilia kilichokuwa kinafanywa na serikali dhalimu ya Sultan, baada ya kupigwa marufuku biashara ya utumwa.
Pitia hapa
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...
Na kwa vile wengi wetu ni wavivu, hatupendi kusoma kujiongezea maarifa bali tunapenda kupikiwa, kupakuliwa, kulishwa, kutafuniwa, sisi kazi yetu ibaki ni kumeza tuu, hivyo na mimi nitawatafunia sehemu chache chache za ripoti hii na kuzitafasiri kwa ajili ya wale wenzangu na mimi!.
"They complained that the Arabs treated them harshly", yaani Waarabu wanawatesa!.
In Zanzibar a good many people had been telling me how slaves were suffering in the hands of Arabs!. At Chaki Chaki I walked into a tumble-down I found a number of slaves male and female, heavily chained and fettered". Nilikuta makundi ya watumwa wake kwa waume wamefungwa minyororo!".
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu na sii lazima ziwe zimepigwa Zanzibar.
Lengo la uzi huu sio ubaguzi, au kuwakumbusha machungu ya Waarabu, bali ni kujikumbusha tuu historia na kuwaelimisha baadhi ya wenzetu, wasiowajua hawa Waarabu wa Unguja na Pemba waliwafanya nini mababu zetu!.
Ila pia naomba kutoa Maangalizo muhimu yafuatayo.
1. Tuwe makini sana na watu waliofilisika kiakili ambao watachanganya Uarabu na dini ya Kiislam simply because, Dini ya Kiislamu inatumia lugha ya Kiarabu!. Masikini muflisi hawa, hawajui kuwa hata Ukiristo umeanzia Arabuni. Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismail, aliyezaa na mjakazi wa ki Misri, na Wakristo ni uzao wa Isaka aliyezaa na mkewe Sara. Hata Yesu Kristo, licha ya kuzaliwa Israel, alikulia Misri na alizungumza lugha ya Kiarabu!. Hapa mimi nazungumzia udhalimu wa Waarabu kama jamii na sio dini ya Kiislamu.
Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu hawa hawa ndugu zetu Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa nao na kufurahi nao kwa vile tumeisha samehe na tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!.
2. Kwenye biashara ya utumwa, waliokuwa wakikamata watumwa, sio Waarabu, Waarabu wao walikuwa ni wafanyabiashara ya watumwa kwenye soko kuu la watumwa la Zanzibar, wakitokea Bagamoyo, na wanunuzi wakuu wa watumwa toka soko la Zanzibar kwa ajili ya kuwasafirisha kuwauza Uarabuni na India, ambako kote huko baada ya kufika, watumwa wanaume walihasiwa!. Waarabu pia ndio walikuwa wamiliki wa watumwa katika mashamba ya Zanzibar na`Pemba, ambapo nako watumwa wanaume walihasiwa, wanawake walifanywa vijakazi na ndio wazazi wa machotara wa Zanzibar na Pemba, wengi ni baba Mwarabu, mama uzao wa watumwa wanawake wenye bahati, ambao hawakutumbuliwa mimba za Waarabu!.
Upatikanaji wa watumwa kutoka bara pia ulihusisha baadhi ya watawala wetu wa asili wakiwemo machifu ambapo baadhi ya wahalifu waliostahili adhabu za vifo katika jamii zao, badala ya kuuliwa na kuwa hasara jumla, waliuzwa, utumwani, lakini watumwa wengi ni watu tuu wa kawaida wasio na hatia yoyote ambao waliwamiwa na kukamatwa kwa nguvu, wakiwemo wanawake na watoto!. Zoezi la ukamataji watumwa pia lilihusisha vitendo vya ukatili, ambapo wengi watumwa hawa, waliuawawa katika purukushani, na wengine wengi walifia njiani na miili yao kuachwa ikioza, miili yenye bahati ilifanywa vitoweo vya wanyama wa porini.
Kwenye misafara hiyo, ndugu zetu waliteswa sana mateso ambayo hayazungumziki walioishiwa nguvu, walipigwa hadi kifo ila hakukuwepo na kamera ya mzungu wa kutupigia picha kuja kutuleta humu!.
3. Waarabu ninaowazungumza hapa, ni wale Waarabu madhalimu na makatili wa enzi zile za utumwa ambao wengi wao, mwaka 1964, walifurushwa kutoka Unguja kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964!, ila waliofurushwa ni wale tuu waliokuwa Zanzibar tuu, lakini waliokuwa Pemba hawakuguswa.
Hawa Waarabu wa leo, ni vizalia vya Waarabu wale wale, ila hawa wa sasa, ni Waarabu wema, wastaarabu kama Waarabu wa sasa, wenye roho nzuri, sio wakatili, sio wadhalimu na wanawapenda watu weusi na kuwaoa kwa mapenzi, huku wanawake wao, wakiwapenda weusi na wakiolewa nao japo mwanzo ilikuwa ni kwa kulazimishwa na Karume, hivyo nashauri, kwa siku zijazo, hata Waarabu hawa, ama machotaa wao, wakishiriki tena uchaguzi, wakashinda kwenye uchaguzi huru na wa haki, wapewe tuu nchi watawale kwa sababu Waarabu hawa sii wale!, wasinyimwe kutawala eti kwa sababu tuu ni Waarabu!.
Waarabu wa enzi za utumwa, walikuwa madhalimu, hivyo kuendelea kudhani hata hawa wazaliwa wao pia ni lazima watakuwa ni madhalimu!, kwa kanuni ya mwana wa nyoka ni nyoka!, hivyo wanashinda uchaguzi lakini hawapewi, sio kuwatendea haki! .
Japo mwana wa nyoka nyoka lakini sii lazima kila mwana wa nyoka awe ni nyoka mwenye sumu kali, nyoka wengine ni kama joka la mdimu, halina madhara, hivyo Waarabu hawa wa leo wamebadilika, kwa sababu hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, hivyo Waarabu hawa wa sasa ni Waarabu wema, ni wenzetu na ni sehemu yetu!, ukifanyika uchaguzi tena, wakishinda, wapewe tuu nchi!.
Paskali
Mkuu Abua, kuna njia kuu 3 tuu za kupata maarifa kwa kujifunzaMkuu Pascal ninaheshimu dini zote,haswa kwa Kwa vile,Nina wandugu wenye imani tofauti,tatizo hapa wewe Ni mdini,umeelezea mengi ya utumwa,lakini umeshidwa kuwagusa washiriki wakuu wa utumwa Kwa Tanganyika,kama wajerumani na waingereza, nakadhalika,ambao waliwatesa waafrika wa watanganyika na sehemu kubwa ya Afrika,Kwa kuwafanyisha makazi katika mashamba ya pamba na mikonge nakadhalika,kwa jina la umisionari/ukristo,tatizo lako umekua unbalance katika maelezo yako,Kwa kuuficha ukweli,sababu ya utashi wako wa kiimani,hilo umejaribu kulificha sana,Kwa kujaribu kuchanganya uarabu,uislamu,ukristo,Abraham,isaac,Ishmael,katika historia iliyopita,na mwisho wake ukaangukia pale pale,kwenye kusudio lako la udini,uzanzibari,uisilamu,uarabu,pascal asili ya jina lako linatokana na utumwa wa wajerumani,waingerezi,waliojificha kutekeleza mbinu zao za kuwafanya watumwa,wazee wetu wa kiafrica,Pascal jaribu sana kuelezea uhalisia wa ushahidi tosha,sisemi hivi Kwa sababu ya kutetea ama waislamu au waarabu,lakini tujiulize kwa nini unakosa kuwaingiza washirki wakuu wa biashara ya utumwa Kwa tanganyika ,sababu wanagusa imani yako ??inaendelea
Nimesema kwamba wewe Ni mdini,sasa kidogo unakuja katika Imani yako na chuki za udini,maelezo yako yako katika kutetea imani yako na Ustashi wako ,zilizokuandama na kukufanya,ukubali Kuwa mtumwa wa Kuwatetea,wale wale waliowafanya watumwa mababu zetu,utumwa ulifanywa kwa jamii,hilo unaonesha uzaifu wako kutokana na imani yako,inayowapendelea wazungu,kwamba hawakuwafanya watu watumwa,afrika mashariki,huko Ni uzushi wa wazi,wajerumani na wazungu wengine waliwatesa na kuwafanya watumwa,Kama hufahamu kuna vita na wahehe na vita vya majimaji .Mkuu Abua, kuna njia kuu 3 tuu za kupata maarifa kwa kujifunza
1. Kuwepo mwenyewe na kushuhudia
2. Kuhadithiwa au kufundishwa na wanaojua.
3. Kujisomea toka maandishi, filamu, simulizi etc hivyo kukuondoa ujinga na kukupatia ufahamu.
Biashara ya utumwa imefanywa kwa miaka mingi na mahali pengi. Mfano Waisrael walikaa utumwani Misri kwa muda wa miaka 400!.
Kwa upande wa biashara ya utumwa kwa bara la Africa imefanywa kwenye routes mbili kuu. Trans Atlantic Slave Trade iliyofanywa kutumia bahari ya Atlantic, watumwa walikamatwa kutoka nchi za West Africa, na kupelekwa bara la Ulaya, Marekani na America ya Kusini, wale watu weusi wote wa Latin America ni hadi America ya Kati ni watumwa kutoka Africa. Kule japo nako waliteswa ila waliachwa kuendelea kuzaliana. Biashara hiyo ilipopigwa marufuku, nchi za Marekani na Uingereza zikatoa fursa kwa watumwa wanaotaka kurejeshwa Africa warejee. Marekani ikatengeneza nchi inayoitwa Liberia na kuwarejesha watumwa kutoka Marekani. Na Uingereza ikafuatia ikatengeneza nchi ya Sierra Leone ikawarejesha watumwa huru wa Uingereza.
Route ya pili ni Indian Ocean Slave Trade ni biashara ya utumwa iliyoendeshwa kwenye bahari ya Hindi. Hawa ndio watumwa kutoka Afrika Mashariki. Soko kuu la watumwa lilikuwa Zanzibar. Biashara hii haikufanywa na wazungu bali ilifanywa na Waarabu, na watumwa hawa walipelekwa Arabuni na India. Watumwa hawa ndio mababu zetu na kiukweli waliteswa!. Kitu cha kwanza walipofika tuu, watumwa wote wanaume wali hasiwa!. Hivyo kizazi chote cha watumwa weusi wa Arabuni na India ni wazalia wa watumwa wanawake waliokuwa vijakazi tena kwa kupewa mimba kwa kubakwa au kuingiliwa kwa nguvu!.
Biashara hii ilipopigwa marufuku, hakukuwepo watumwa wowote wa kurudishwa Africa toka Arabuni na India, badala yake waliwafanyia genocide na kuwauwa wote waliotaka uhuru!.
Paskali
Mkuu Pascal ni lazima ujirekebishe,kama unataka kuungwa mkono, mzalendo wa kweli,anahukumu haki katika masuala na maandishi kwa faida ya wote,ukikataa kwamba wazungu hawakufanya watumwa,wazee wetu,huo si ukweli,wazungu,wamisionari/wakristo wamewafinyia wazee wetu ushenzi mkubwa,katika vita ya maji maji waliwauwa watanganyika zaidi ya laki mbili,kabla ya kusalimu amri,na mwisho wameondoka mali zetu nyingi na kutuachia dini,halo chini Ni moja ya mateso ya wajerumani kwa watumwa wao.Wanabodi,
Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia walituletea dini za Kikristo, vivyo hivyo pamoja na mazuri ya Waarabu kuvivamia visiwa vya Zanzibar na Pemba na kuvitwaa kama mali yao, miongoni mwa mazuri waliyoyaleta Waarabu hawa, ni pamoja na kilimo cha karafuu, miundombinu ya ma kasri, pia Waarabu walileta dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar.
Lakini pamoja na mazuri yote haya, sio vibaya tukakumbushana tuu baadhi ya maovu ya Waarabu hawa kwa kuyajua baadhi ya madhila yaliyowakuta ndugu zetu Wamatumbi, chini ya mikono ya Waarabu wakati wa utawala dhalimu wa Sultani wa Zanzibae kwenye visiwa vya Unguja na Pemba.
Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutoka na mada hii
Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar ya Mkuu Maalim
Mohamed Said yenye lengo la kuonyesha kuwa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ndio pekee yaliyosababisha mauaji ya genocide Zanzibar, as if ukiondoa Mapinduzi ya Zanzibar, hakujawahi kutokea genocide nyingine yoyote Zanzibar, simply because aliyeuwawa kwenye Mapinduzi yale, ni Mwarabu, yaani Mwarabu tuu ndio binadamu, lakini Wamatumbi mamia kwa maelfu wote waliouwawa vifo vya kikatili sana chini ya mikono ya Waarabu, wao sii kitu!, not worth mentioned!. Mkuu Maalim
Mohamed Said
, kwa heshma na taadhima, nakuomba kwanza acha chuki zako dhidi ya wamisionari, usifikirie mabaya tuu ya wamishionari bali ufikirie na wema wao ukiwemo kukusomesheni kwenye shule zao ukiwemo wewe! .
Pili hata kama lengo lako ni kuutetea Uislamu, lakini mara moja moja kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako, kwa sababu naamini kabisa unayajua fika madhila yaliyowapata ndugu zetu Wamatumbi wakati wa kipindi chote cha utumwa chini ya utawala dhalimu wa wavamizi Waarabu kwenye visiwa vyetu vya Zanzibar na Pemba.
Hizo picha hapa chini sii za kuchorwa, ni picha halisi za kupigwa na kamera za wazungu, zikionyesha kidogo tuu ila kiukweli kilichowapata mababu zetu, kikubwa na kibaya kuliko hata hicho kilichoweza kupigwa picha chini ya mikono ya utawala dhalimu wa Waarabu, watumwa wote wanaume walihasiwa!, lengo la kuwahasi wanaume ni ili kuzuia wasizaliane, kitendo cha mwanamke kubeba ujauzito miezi 9 kisha kuzaa mtoto na kumsubiri hadi akue, itakuwa ni hasara, kwa kupunguza kasi ya mahitaji ya watumwa wapya!.
Watumwa wa soko la Zanzibar waliouzwa Arabuni na Bara Hindi, ambapo baada ya kufika kule, wanaume wote walifanyiwa ukatili wa ajabu kwa kuhasiwa ili wasizaliane, na walifanyishwa kazi za shokoa.
Wanawake walifanywa wajakazi, kazi za wajakazi zinajulikana, wenye bahati zao, walifanywa masuria, wasio na bahati waliuliwa na wengine kujifia, ndio maana hakuna kizazi cha watu weusi India na Arabuni, hao machotara, ni kwa baadhi ya Waarabu wenye utu na roho nzuri, lakini the rest ni unyama unyama tuu!.
Idadi kubwa kizazi chotara cha machotara wa Zanzibar, Pemba na Arabuni, kulitokana na wanaume dhalimu wa Kiarabu, kuwaingilia kwa nguvu watumwa wa kike ambao walinunuliwa mahsusi kama wajakazi, na pale waliposhika ujauzito, wamiliki walikuwa huru, kuwafanya chochote watumwa wao, ikiwepo kuwatesa, kuwapiga hadi kuwaua kwa ukatili wa hali ya juu!. Mtumwa mwanamke baada ya kuingiliwa ki nguvu, yaani kubakwa, ikitokea akashika ujauzito, mwanamke yule aliuwawa kwa kutobolewa tumbo, kutoa, kiumbe ambacho ndicho kilizikwa kama binadamu si ridhki, na mwili wa mtumwa ulifukiwa tuu kama mzoga!.
Jee wajua kuwa hata baada ya kupigwa marufuku kwa biashara haramu ya watumwa duniani kote, biashara hii iliendelea kufanyika Zanzibar kwa siri na kificho?!. Jee wajua kuna njia za chini kwa chini zimechimbwa Bagamoyo na Zanzibar ambapo watumwa walifichwa kwenye mapango na kupitishwa chini kwa chini hadi baharini?.
Jee ulikuwa unajua kuwa kila Sultani, wake zao na watoto zao, walipokufa, walizikwa na watumwa hai?!. Jee wajua mapokeo ya kwenye jengo la Beit Al Ajab, kwenye kila milingoti hapo, ndani walimuweka mtumwa hai mwanamume?!.
Jee wajua waliofanikisha kukomesha biashaa ya Utumwa Zanzibar ni akina nani?!. Kwa kusaidia tuu, waliokomesha biashara hii dhalimu ya utumwa Zanzibar ni Wamisionari, ambao waliingia mkatataba na Sultani dhalimu wa Zanzibar, ndipo ikukubaliwa kuwa watumwa wote wenye kutaka kuwa huru, lazima wagombolewe kwa wale matajii wao kufidiwa kwa kulipwa fedha, ambapo hao wamisionari, waliwalipia fedha kuwagomboa watumwa, na ndipo wakaanzisha kanisa la kwanza kabisa Afrika Mashariki, lilianzia Zanzibar, na waumini wa kwanza, ni watumwa waliogombolewa!. Mahali kanisa lilipo ndipo lilipokuwepo soko la watumwa.
Jee wajua kitu walichofanyiwa Waarabu dhalimu hawa baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ilikuwa ni katika kujibu tuu au payback ya "what goes around, comes around?!", ila hapa naomba kukiri wazi, kuwa sio Waarabu wote kabisa walikuwa madhalimu kwa kuwatenda vibaya watumwa wao!, wako baadhi ya Waarabu ambao waliwatendea wema watumwa wao, na Wamisionari walipotaka kuwagomboa, watumwa hao walikataa kwa ridhaa zao, hivyo wakaendelea kubaki utumwani kwa ridhaa zao wenyewe!.
Wako Waarabu, waliwapenda watumwa wa kike, japo waliwanunua kama vijakazi kwa ajili ya kuwafanya watumwa wa mapenzi, lakini wapo waliotokea kuwapenda kwa mapenzi ya dhati vijakazi hao, wengine wakawaoa na kuwa masuria, na wakawazalia watoto!. Namfahamu mmoja wa watoto wa Sultani ambaye alizaliwa na suria, na yungalipo hai hadi leo!.
Hii ni Ripoti ya aliyetumwa na utawala wa Waingereza kufuatilia kilichokuwa kinafanywa na serikali dhalimu ya Sultan, baada ya kupigwa marufuku biashara ya utumwa.
Pitia hapa
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...
Na kwa vile wengi wetu ni wavivu, hatupendi kusoma kujiongezea maarifa bali tunapenda kupikiwa, kupakuliwa, kulishwa, kutafuniwa, sisi kazi yetu ibaki ni kumeza tuu, hivyo na mimi nitawatafunia sehemu chache chache za ripoti hii na kuzitafasiri kwa ajili ya wale wenzangu na mimi!.
"They complained that the Arabs treated them harshly", yaani Waarabu wanawatesa!.
In Zanzibar a good many people had been telling me how slaves were suffering in the hands of Arabs!. At Chaki Chaki I walked into a tumble-down I found a number of slaves male and female, heavily chained and fettered". Nilikuta makundi ya watumwa wake kwa waume wamefungwa minyororo!".
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu na sii lazima ziwe zimepigwa Zanzibar.
Lengo la uzi huu sio ubaguzi, au kuwakumbusha machungu ya Waarabu, bali ni kujikumbusha tuu historia na kuwaelimisha baadhi ya wenzetu, wasiowajua hawa Waarabu wa Unguja na Pemba waliwafanya nini mababu zetu!.
Ila pia naomba kutoa Maangalizo muhimu yafuatayo.
1. Tuwe makini sana na watu waliofilisika kiakili ambao watachanganya Uarabu na dini ya Kiislam simply because, Dini ya Kiislamu inatumia lugha ya Kiarabu!. Masikini muflisi hawa, hawajui kuwa hata Ukiristo umeanzia Arabuni. Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismail, aliyezaa na mjakazi wa ki Misri, na Wakristo ni uzao wa Isaka aliyezaa na mkewe Sara. Hata Yesu Kristo, licha ya kuzaliwa Israel, alikulia Misri na alizungumza lugha ya Kiarabu!. Hapa mimi nazungumzia udhalimu wa Waarabu kama jamii na sio dini ya Kiislamu.
Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu hawa hawa ndugu zetu Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa nao na kufurahi nao kwa vile tumeisha samehe na tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!.
2. Kwenye biashara ya utumwa, waliokuwa wakikamata watumwa, sio Waarabu, Waarabu wao walikuwa ni wafanyabiashara ya watumwa kwenye soko kuu la watumwa la Zanzibar, wakitokea Bagamoyo, na wanunuzi wakuu wa watumwa toka soko la Zanzibar kwa ajili ya kuwasafirisha kuwauza Uarabuni na India, ambako kote huko baada ya kufika, watumwa wanaume walihasiwa!. Waarabu pia ndio walikuwa wamiliki wa watumwa katika mashamba ya Zanzibar na`Pemba, ambapo nako watumwa wanaume walihasiwa, wanawake walifanywa vijakazi na ndio wazazi wa machotara wa Zanzibar na Pemba, wengi ni baba Mwarabu, mama uzao wa watumwa wanawake wenye bahati, ambao hawakutumbuliwa mimba za Waarabu!.
Upatikanaji wa watumwa kutoka bara pia ulihusisha baadhi ya watawala wetu wa asili wakiwemo machifu ambapo baadhi ya wahalifu waliostahili adhabu za vifo katika jamii zao, badala ya kuuliwa na kuwa hasara jumla, waliuzwa, utumwani, lakini watumwa wengi ni watu tuu wa kawaida wasio na hatia yoyote ambao waliwamiwa na kukamatwa kwa nguvu, wakiwemo wanawake na watoto!. Zoezi la ukamataji watumwa pia lilihusisha vitendo vya ukatili, ambapo wengi watumwa hawa, waliuawawa katika purukushani, na wengine wengi walifia njiani na miili yao kuachwa ikioza, miili yenye bahati ilifanywa vitoweo vya wanyama wa porini.
Kwenye misafara hiyo, ndugu zetu waliteswa sana mateso ambayo hayazungumziki walioishiwa nguvu, walipigwa hadi kifo ila hakukuwepo na kamera ya mzungu wa kutupigia picha kuja kutuleta humu!.
3. Waarabu ninaowazungumza hapa, ni wale Waarabu madhalimu na makatili wa enzi zile za utumwa ambao wengi wao, mwaka 1964, walifurushwa kutoka Unguja kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964!, ila waliofurushwa ni wale tuu waliokuwa Zanzibar tuu, lakini waliokuwa Pemba hawakuguswa.
Hawa Waarabu wa leo, ni vizalia vya Waarabu wale wale, ila hawa wa sasa, ni Waarabu wema, wastaarabu kama Waarabu wa sasa, wenye roho nzuri, sio wakatili, sio wadhalimu na wanawapenda watu weusi na kuwaoa kwa mapenzi, huku wanawake wao, wakiwapenda weusi na wakiolewa nao japo mwanzo ilikuwa ni kwa kulazimishwa na Karume, hivyo nashauri, kwa siku zijazo, hata Waarabu hawa, ama machotaa wao, wakishiriki tena uchaguzi, wakashinda kwenye uchaguzi huru na wa haki, wapewe tuu nchi watawale kwa sababu Waarabu hawa sii wale!, wasinyimwe kutawala eti kwa sababu tuu ni Waarabu!.
Waarabu wa enzi za utumwa, walikuwa madhalimu, hivyo kuendelea kudhani hata hawa wazaliwa wao pia ni lazima watakuwa ni madhalimu!, kwa kanuni ya mwana wa nyoka ni nyoka!, hivyo wanashinda uchaguzi lakini hawapewi, sio kuwatendea haki! .
Japo mwana wa nyoka nyoka lakini sii lazima kila mwana wa nyoka awe ni nyoka mwenye sumu kali, nyoka wengine ni kama joka la mdimu, halina madhara, hivyo Waarabu hawa wa leo wamebadilika, kwa sababu hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, hivyo Waarabu hawa wa sasa ni Waarabu wema, ni wenzetu na ni sehemu yetu!, ukifanyika uchaguzi tena, wakishinda, wapewe tuu nchi!.
Paskali
Nakupongeza mkuu. Kesha koma huyo harudii tenaPascall ni mjinga kama wajinga wengine , mm sikushangai kuleta uzi huu kwa mbwembwe lakini hauna mashiko isipokuwa kutaka kuwaaminisha kwamba CCM na Serikali zake wanayofanya simakubwa, mm sijasoma comments zote ila nna swali kwako wewe unaejiita Pascal, Je waarabu walikuwa wakristo au Waislam? Kama walikuwa wakristo basi walouza na kuwatesa Waafrika ni wakristo, na kama Waarabu walikuwa Waislam basi kwa nn biashara ya utumwa ilifanyika ndani ya makanisa? Ikiwa hujui biashara hii ilifanyika wapi, tembelea kanisa kuu la Mkunazini Unguja ujionee underground na chambers na minyororo waliodhulumiwa ndugu zako na Kanisa, halafu wewe unaendeleza propaganda kwa kulisave Kanisa wakati wajomba zako wame suffer ndani ya mkono wa kanisa.Jengine utuonyeshe msikiti mmoja tu wenye makumbusho ya Utumwa au Jumba lolote la kifalme lenye kumbukumbu za mateso kama huna funga mdomo wako usizungumze usioyajua kenge wewe.
Ndugu zangu,Kwa kutumia tu akili ya kawaida na kwa kuangalia maisha ya leo tunavoish utakundua kuhusu tofaut ambayo bado ipo mpaka leo.....
Waarabu na Wahindi wapo radhi waoane ndugu ili mradi tu usio au kuolewa na Rangi nyeusi na ikitokea umeoa au kuolewa bas ujue unatengwa na familia. Hi inaonyesha tu jins gan hali ilivyo sasa pata picha enzi hizo ilikuaje.? Hapo ujaongelea mauaj na manyanyaso wanayofanyiwa ndugu zetu uko kwao....!
Pia Wazungu wenyewe ni wabaguzi wakubwa ata kwa Watu nyota weusi na mifano iko wazi tu, kutoka na kuendelea mapema ktk technologia basi kumekua na uahahid mkubwa na wawazi kuhusu waliowafanyia babu zetu...
Watu wasijenge hoja kwa misingi ya udini, kujifanya mfia dini apa, au mwarabu au mzungu akati uku uswahilin tunaishi wote, na tunaishi poa na tunashikiana kwenye raha na matatizo klko ata ao weupe wenu....
Akuna Mtu mweupe yoyote duniani mwenye nia njema na mtu mweusi, tena asa wanyonyaji wakizungu.....
doohPascall ni mjinga kama wajinga wengine , mm sikushangai kuleta uzi huu kwa mbwembwe lakini hauna mashiko isipokuwa kutaka kuwaaminisha kwamba CCM na Serikali zake wanayofanya simakubwa, mm sijasoma comments zote ila nna swali kwako wewe unaejiita Pascal, Je waarabu walikuwa wakristo au Waislam? Kama walikuwa wakristo basi walouza na kuwatesa Waafrika ni wakristo, na kama Waarabu walikuwa Waislam basi kwa nn biashara ya utumwa ilifanyika ndani ya makanisa? Ikiwa hujui biashara hii ilifanyika wapi, tembelea kanisa kuu la Mkunazini Unguja ujionee underground na chambers na minyororo waliodhulumiwa ndugu zako na Kanisa, halafu wewe unaendeleza propaganda kwa kulisave Kanisa wakati wajomba zako wame suffer ndani ya mkono wa kanisa.Jengine utuonyeshe msikiti mmoja tu wenye makumbusho ya Utumwa au Jumba lolote la kifalme lenye kumbukumbu za mateso kama huna funga mdomo wako usizungumze usioyajua kenge wewe.
Waarabu watu wabaya sana
Bwana Mohammed ,ikiwa hii Ni picha,tofauti na anayoeleza,kwa hiyo,kusudia lake haswa Ni upotoshajjiNdugu zangu,
Huu uzi tuliujadili kwa kirefu sana siku za nyuma sijui vipi tena
umerudishwa upya.
Hii picha hapo chini aliyoweka Paskali nilimweleza huko nyuma
kuwa haina uhusiano na utumwa ni picha ya Vita Vya Maji Maji
1905 - 1907.
![]()
Bwana Mohammed,ahsante kwa kutusaidia,kuweka wazi upotoshaji wake.Ndugu zangu,
Huu uzi tuliujadili kwa kirefu sana siku za nyuma sijui vipi tena
umerudishwa upya.
Hii picha hapo chini aliyoweka Paskali nilimweleza huko nyuma
kuwa haina uhusiano na utumwa ni picha ya Vita Vya Maji Maji
1905 - 1907.
![]()
Abuha,Bwana Mohammed ,ikiwa hii Ni picha,tofauti na anayoeleza,kwa hiyo,kusudia lake haswa Ni upotoshajji
Bwana Mohammed,ahsante kwa kutusaidia,kuweka wazi upotoshaji wake.
Mzee wanguNdugu zangu,
Huu uzi tuliujadili kwa kirefu sana siku za nyuma sijui vipi tena
umerudishwa upya.
Hii picha hapo chini aliyoweka Paskali nilimweleza huko nyuma
kuwa haina uhusiano na utumwa ni picha ya Vita Vya Maji Maji
1905 - 1907.
![]()
Mzee wangu
Tatizi sio picha, nachokiona ni mtu kutete weupe kwa Misingi ya Dini na kutoa point ndogo ambazo kiualisia si kweli......
Ndo maana nkasema awa Wazungu au Warabu wote ni walewale tu, Wazungu wa leo ndo awa wanatunuonya, Waarabu wa leo ndo ao wanau Tembo na Faru wetu........
Ni wazi mtumwa ni mtumwa tu, mtumwa hana say, mtumwa atanyanyaswa, aatateswa na wapo watakao uawawa tu kwa kubisha au kutolewa kama mifano. Labda mtu aniambie kua Waarabu awajawai kifanya biashara ya utumwa kabisa... Ili hali Waarabu wapo Africa Masharik around karne ya 7......
Wote mko vizuri sana ila nawomba mtumie kalamu zenu vizuri kuleta umoja wa kitaifa, kuleta umoja na kumfumbua mtu mweusi apo alipokwamwa asogee mbele na si upotoshaji wa kugawanyiaha watu kwa misingi ya kidini na kufanya watu waendelee kua ma bwege mbele ya watu weupe
Babu kwanza shikamoo mzee wangu Mohamed.Huwa nasomaga bila kucomment napitaga tu sema nimejisikia kucomment mzee wangu kama sikustahili samahan sana mzee wanguMadrid...
Huu mjadala ni wa siku nyingi zilizopita vipi upo hapa hii leo?