Wewe mwarabu nini? Au half cast koko mashombo ya waarabu na watumwa?
Unatetea waarabu wakati ukweli na evidence za kiistoria zipo. Ukenda bagamoyo na zanzibar ni wazi waarabu walifanya ufedhuri, raping slaves, castration of slaves na mauwaji kebekebe.
Wacha kutuandikia upuuzi kama sisi watoto wadogo hatuna akili ya ku research! Kaa na umanga koko wako na believe what you want to believe. Kwanini husiende kwenye amani Yemen au Saudia ukaishi kwa babu zako wala nguruwe kwa dharura!? Think about it!
mimi ntakuwa ni half cast koko nnae-research na kutafuta ukweli wa mambo na kukataa kuburuzwa na propaganda ili niamini kitu kwa mitazamo ya watu na maslahi yao.
wazanzibari walivamiwa na kuuliwa wakati wa mapinduzi(mavamizi)hii ndio ilokuwa sababu ya mauwaji hayo,wa-iraqi walivamiwa na kuuliwa wakati wa sadam,uongo wa silaha za kuangamiza ndio ilotumiwa kuwa sababu,gaddafi alivamiwa na kuuliwa ulitumiwa udictator ndio sababu ya uvamizi wake,wakati nchi zote za kiara zina madictator lakini lakini target alikuwa peke yake,hii ndio dunia tunayoishi ni uzushi unaowapa nguvu zaidi wenye nguvu.
kwa kuanzia ungeanza kumtafuta mswahili wa kiafrica aitwae tippu tip alikuwa mzanzibari mweusi alieishi miaka ya 1800,huyu ndie alokuwa slave driver mkuu,na hakuna mwarabu hata mmoja alietajwa kufanya biashara ya utumwa zanzibar, biashara ya utumwa ilikuwepo kila pahala miaka hio na zanzibar pia ilikuwepo,lakini wahusika wakuu walikuwa ni waafrika sisi wenywe
itazame hio picha ya kati tippu tip akiwa na watumwa pamoja na mmarekani mnunuzi wake,biashara ya utumwa ilifanywa na wamarekani,waspanya na waengereza ndio walokuwa wakinunua na kuuza watumwa, huku zanzibar walikuwa na mawakala wa kukusanya watumwa na watu kama tippu tip ndio walokuwa mawakala wao,huyu tippu tip alikuwa mzanzibari mwafrika mweusi kwanini hushangai kwa vile yeye hakuwa mtumwa,yeye alikuwa ndio slave driver,watumwa wa warabu walikuwa wahindi na mpaka leo ni hivi hivo watumwa wao bado ni wahindi
Tippu Tip, or
Tib (1832 – June 14, 1905), real name
Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi, was a
Swahili-
Zanzibari slave trader. An ivory trader, explorer, plantation owner and governor, he worked for a succession of the
sultans of Zanzibar. Tippu Tip traded in slaves for Zanzibar's clove plantations. As part of the large and lucrative
ivory trade, he led many trading expeditions into
Central Africa by constructing profitable trading posts that reached deep into the region. He bought the ivory from local suppliers and resold it for a profit at coastal ports