Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Sheikh Saad Al Salem Al Sabah wa Kuwait (marehemu) alikuwa mweusi na mama yake alikuwa mtumwa aliyeolewa na Amir.
Na wapo wengi tu wenye wadhifa mkubwa serikalini
Nimewaona Air force wengi tena officers wa rank kubwa jeshini weusi
Binafsi nina kaka yangu ni mwanajeshi wa cheo cha Raid yuko zake huko anakula maisha na wala sio mwarabu.
 
Wewe unamatatizo ya kutosoma na kuelewa. Pascal ameandika na nanukuu kama ifuatavyo:
"Lengo la uzi huu sio ubaguzi, au kuwakumbusha machungu ya Waarabu, bali ni kujikumbusha tuu historia na kuwaelimisha baadhi ya wenzetu, wasiowajua hawa Waarabu wa Unguja na Pemba waliwafanya nini mababu zetu!"

Sasa wewe unadai kwamba Pascal hajaelimika eti analeta utashi wa dini na wa binadamu wakati ameelezea vizuri bila utashi na nanukuu aliandika "Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu hawa hawa ndugu zetu Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa nao na kufurahi nao kwa vile tumeisha samehe na tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!"

Sasa wewe unafikiri huu mjadala hauna faida! Kwa taarifa yako kwa wengine hipo faida sababu ndiyo historia yenyewe. Tatizo wewe unaonekana umeathirika na ujinga na udini ambao unakupeleka katika ugaidi kama wadhalimu waarabu.

wewe ndio hujaelewa na huyo pascal wako utumwa zanzibar uliletwa na wazungu sio waarabu wao ni kwa ajili ya dini yao ndio tukawasema walinzisha utumwa . mpaka leo huwezi kukuta picha iliyopigwa kwa kamera mwarabu anamtesa au kumfunga myororo mtumwa ila utakuta za kuchora tu, na nenda kaangalie picha zilizopigwa kwa camera za watumwa utakuta ni wazungu ni ndio walileta upumbavu huu. leo hii wamekuletea chandarua mbu hatu anakufa wewe unalalia unajua madhara yake . leo wNakuletea chanjo ya kinga fulani je unajua madhara yake
 
Kiukweli mpaka leo hii nashindwa kufahamu ni ipi historia halisi ya Zanzibar kutokana na wazungumzaji wote wanaongelea historia kwa utashi wao wa kisiasa tu
 
Waafrica bado ni watumwa hata sasa ni nature we huoni mkoloni mweusi mmoja dikteta anaburuza watu zaidi ya million 60 Na wote wameufyata,kuna tofauti ipi Na slave master 5 kuswaga watumwa zaidi ya 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ukishakuwa mtumwa wa kifikra hata huelewi nani mbaya wako
Historia nyingi zimeficha ukweli lakini kama unaburuzwa utakubali kila kitu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu nimetafuta maana ya timberland nimekosa,msaada tafadhali
Inavyosemekana ni kuwa mwenye mali ya Timberland ni mmoja katika kundi la KKK
Na huo mti ni ishara ya watumwa weusi waliokuwa wananyongwa kwenye mti
Ndio asili ya hiyo nembo
20180821_085615.jpeg
20180821_085547.jpeg
20180821_085522.jpeg


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Timberland and Maya Angelou
Does a poem by Maya Angelou assert that Timberland is owned by the KKK?

You are in love with TOMMY
Because his last name is HILFIGER
But behind closed doors, TOMMY
Is calling you a nigger.
But you could care less
Because you have been taught to dress to impress.
If I asked you about your true history
You would have to look on the back of your jeans and GUESS!
You come up in the club wearing VERSACE
Clothes made by a homosexual male
So even when you say you are straight
It is very hard to tell.
And for footwear you wear TIMBERLANDS,
Even under the sun
That same tree that is the symbol for them
Could have been the same one your ancestors were hung from.
I can not forget your NAUTICA
When the last memory you have of ships
Is coming to North America in shackles,
Being beat over the back with whips.
And to my beautiful black queens
Whose creative womb has become barren?
I am confused, because your face says Nefertiti,
But your sweater reads DONNA KARAN.
When was the last time you saw LIZ CLAIBORNE
Conversing with black women,
But as soon as her name is printed on a purse
To Macy’s you quickly go running.
RALPH LAUREN doesn’t even look at black men
Unless they are driving him around town
But as soon as that slave master appears on the back of the horse
You put whatever you have picked up down.
My people reclaim your status in this world
and in your life.
FUBU, in case you didn’t know, stands for “For Us By Us”.
Buying black will someday suffice.


DO YOU KNOW WHO OWNS TIMBERLAND FASHIONS?, WELL, TIMBERLAND IS OWNED BY THE PRESIDENT OF K.K.K. SURPRISED? DON’T BE. READ MORE BOOKS, BLACK PEOPLE. ALWAYS HOPE FOR THE BEST AND PREPARE FOR THE WORST YOU MAY NOT GET WHAT YOU PAY FOR, BUT YOU’LL SURELY PAY FOR WHAT YOU GET!!!
Maya Angelou

ORIGINS: This piece, variously titled “Clothes” or “FUBU,” began circulating in March 1999. It has come to be attributed to Maya Angelou,the celebrated African-American poet, but it is not hers, as she has disclaimed on her web site. According to a spokesperson at Dr. Angelou’s speakers’ agency, “It is not her work. She is aware of it and is very disappointed.” (As well she should be — what’s circulating on the Internet is dreadfully executed and lumpen, and it must be galling to have so many think she was capable of writing that far beneath her abilities.)

That the poem is ascribed to her shouldn’t surprise anyone; it’s written from the stance of an African-American’s pointing out to others of that community the errors of their consumeristic ways. For many, African-American + poem = Maya Angelou, in the same way that any rumor about hamburgers is transmuted by those who hear it into something associated with McDonalds, or anything to do with fried chicken devolves onto KFC.

Timberland isn’t owned by the Ku Klux Klan, nor does it have any such connections. This very successful outfitter was founded in 1952 by Nathan Swartz (Born in Odessa, Ukraine). It remained a family-owned business until 1987, when Sidney Swartz (Nathan’s son) took the company public. Timberland now trades on the New York Stock Exchange under the ticker symbol TBL, and in 2000 its consolidated revenue totaled $1.1 billion.

As for who runs the company, according to the corporate profile on Timberland’s site:


Our company was founded by Nathan Swartz, whose legacy of craftsmanship, integrity and quality is carried on today through the active involvement of his son, Sidney Swartz, Chairman, and his grandson, Jeffrey Swartz, President and Chief Executive Officer. As of March 28, 2003, the Swartz family, together with trusts and a charitable foundation established by the family, held approximately 46% of Timberland stock and approximately 82% of voting power.

Jeffrey Swartz (the grandson of the founder and Timberland’s President and CEO) has been a member of the board of City Year, the national youth organization that provides community service in 13 U.S. cities, since 1991 and its chair since 1994. He is also a director of several social justice organizations, including Business for Social Responsibility and Combined Jewish Philanthropies of Greater Boston. He’s hardly recruitment material for the KKK, even if he weren’t Jewish. (The KKK regards Jews with about as much affection as it does African-Americans.)

This rumor persists in part due to claims about the tree on Timberland’s logo representing a tree on which blacks were lynched. (Apparently a tree can’t just be a tree any more.) Snapple was subjected to a similar rumor having to do with the sailing ship then on its label: common knowledge had it the ship was a blackbirder, a vessel that brought slaves in chains to America. It wasn’t — the image came from a drawing of the Boston Tea Party, but facts didn’t long stand in the way of rumor, and the label was changed.

Slanders about this or that company’s being owned by the KKK are a dime a dozen, ranking right up there with equally fallacious claims about the CEOs of such companies appearing on The Oprah Winfrey Show to utter appallingly disparaging comments about blacks. (Sometimes these mythical CEOs announce that their companies tithe to the Church of Satan, which vilifies them to an even wider audience.) These are common rumor types, and such tales should be dismissed as gossip not even worth the effort of repeating.

From: FACT CHECK: Timberland and Maya Angelou

Maoni yangu: Zimekuwepo habari kama hizi nyingi sana. Inawezekana ni kampuni ya FUBU walikuwa wanazitengeneza. Owner wa FUBU ni Black Ameriacans ila kiongozi wao Mama yake ni kutoka KOREA. Ndiyo maana alipata misaada mingi tu kutoka kampuni za Korea kama SAMSUNG.
Jina la Swartz ni la Kiyahudi na pia mji wa Odessa ni mji wa Wayahudi. Swartz alikuwa Myahudi na hivyo hawezi hata kidogo kujiunga na KKK. KKK wanawaabudu NAZI na Hitler wakati hao ndiyo walishiriki kuwauwa Wayahudi milioni kadhaa.

Soma hapa: Meet the Jewish billionaire who studies Torah every morning

Inavyosemekana ni kuwa mwenye mali ya Timberland ni mmoja katika kundi la KKK
Na huo mti ni ishara ya watumwa weusi waliokuwa wananyongwa kwenye mti
Ndio asili ya hiyo nembo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Watu weusi msijipendekeze , kitu tunachotakiwa kukifahamu ni kuwa mtu mweusi hana rafiki wa kweli ( ngozi nyeupe kamwe haitakaa iithamini nyeusi hata siku moja ) , inauma unavyoona sisi watu weusi tunachukiana , tunaumizana na hatuishi kwa upendo sisi wenyewe na wakati huo tunawathamini na kuwaabudu hawa mashetani weupe ............ Dini zote za kuletwa ( Abrahamic religions )ni unafiki tu uwe ukristo , uyahudi au uwe uislam zote ni njia za kuendeleza utumwa wa kisaikolojia kwa mtu mweusi ...............Hebu angalia watu weusi wanachofanyiwa huko uarabuni sikuhizi , ni kubakwa , kulawitiwa , kupigwa kama mbwa na hata kuuawa ...........Ona hawa watu weusi wanajiita black jews kutoka North Africa wanachofanywa huko Israel ..........Ona watu weusi wanachofanyiwa huko Libya ...........Ona watu weusi wanavyokuwa treated huko Ulaya na Marekani ...........Huko India ndo usiseme kabisa hadi kuna System ya kimatabaka inaitwa caste system ambapo wahindi weupe ambao wanatoka Northern India ndio wanaothaminika katika kila nyanja ya kijamii na hao weusi ( Black Hindus ) kutoka kusini mwa India , huu ubaguzi humo hadi kwenye dini ya kihindu , mhindu mweusi hawezi kuwa cleric au mhubiri au kupewa cheo chochote ndani ya temple , wahindi weusi wanachukuliwa kama mbwa au mende tu ...............Sisi tumekalia upumbavu wa kuvaa mabomu na kujilipua ili kuua wenzetu ambao wana mlengo tofauti na sisi ( Al shabaab , Lords Resistance Army na Boko Haram) .............Huu ni utumwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasco wa jf. Timwache mode asiufunge huu uzi...nimeipenda hii:...Katili mkuu nambari moja ni Mwarabu!
Nimemkumbuka Tipu Tippu yule tiliyemsoma kwenye historia.Kweli alikuwa KATILI....

Mpaka leonikiwatazama waarabu nasisimkwa kwa namna walivyowatenda vibaya mababu zetu.
 
Pascal Mayalla

Nimezipitia hizi picha pamona na kukumbukia baadhi ya picha kwenye vitabu vya historia yaonekana bila shaka waarabu wengi sio wote waliokuja Tanganyika na Zanziba hawakuwa na utu.

Hali kadhalika wazungu waliokuja baada ya warabu; wazungu walionunua watumwa Afrika magharibi na kuwapeleka Latin America; nao ni kampuni ile ile.

Ifikie wakati, tujikomboe kifikra kwa kuthaminiana sisi kwa sisi kwa misingi ya utu wetu na Utanzania.

Anyway: kuna wakati mpaka huwa nawaza, hivi hawa waarabu na wazungu walituletea dini za kweli. Yale yaliyo kwenye vitabu vya mpende jirani yako kama nafsi yako; mbona utekelezaji hakuwa kwa vitendo?

Usikwibe; mbona walikuwa wanakwiba na wa-missionary wanawaangalia tu wezi bila kuwakemea???

Anyway; tuishini kwa upando kwa kupendana kwa misingi ya kiutu na kuishi kama wajamaa sawia na mfumo ilivyokuwa kabla ya ukoloni
 
Unajua Waafrika dini zinatufanya tuwe kama wehu! Hapa wengine watatetea wazungu wengine watatetea Mwarabu lakini chachu ikiwa ni Ukristo na Uislamu!

Waarabu na Wazungu wote ni wafedhuli tu linapokuja suala la biashara ya utumwa kwa sababu wote hawa walikuwa wanadaka na kuuza Waafrika na wote walikuwa wananunua na kutumikisha Waafrika!

Hata hoja kwamba Wazungu walipiga marufuku biashara ya utumwa nayo ni nonsense kwa sababu pamoja na kwamba tunataka kujitoa ufahamu; majority tunafahamu kwamba Wazungu hawakupiga marufuku biashara ya utumwa kv walitupenda au kutuhurumia bali walifanya hivyo baada ya ku-shift production zone from Europe to Africa! Sasa watu wameshaamua mashamba yao wahamishie Africa bado mnatarajia wangeendelea kupeleka Watumwa Ulaya? Wakafanye nini wakati nguvu zao walitaka kuelekeza Africa?

Tanzania tuna historia ya vita vya Maji maji ambavyo kimsingi vina - reflect hoja ya hapo juu kwamba; agricultural production ilihamishwa from Europe to Africa. Wale wazee ambao walichoka na kuanzisha mtiti dhidi ya Mjerumani nao walikuwa watumwa tu ndani ya nchi yao ya Tanganyika.
mimi ili nikubalianr na pasco naomba vita moja tu kati ya mwarab na mwafrika ...maana mzungu na mwafrika ni hii maji maji... slave trade 90% ni mzungu mpaka hapa ushaidi wa kimazingira unaonesha aliusika mzungu kote alipopita mpaka mkunazini unguja chini ya nyumba ya kuabudia
 
Mpaka leonikiwatazama waarabu nasisimkwa kwa namna walivyowatenda vibaya mababu zetu.
kama kungekua na ushaidi wa kimazingira .. ningekubaliana nae lakini wa maneno matupu?? ametoa picha za watu wenyeminyololo anasema sio lazima iwe zanzibar?? kwenye ubongo wake ameamini biashala ya utumwa ni mwarab tu.... kongo watu walivishwa izo na hakukua na mwarab picha katoa wapi hizi? majimaji na vita zote africa mashariki ni mzungu na mwafrika vipi niamini maneno yake?7
 
Pasi kali umeongizwa na hisia na mafundisho ya Mchungaji kanisani kwako, ila ungeandika kama mtu huru, tusingesoma upupu huu.

Huna tofauti na Polepole baada ya kuwekwa kwenye kiti cha enzi, alisahau aliyoyatamka awali, wala hakua na tafakuri kwamba kiti alichokalia kilikua kimekaliwa na mwenzake.
 
Back
Top Bottom