Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

Usipotaka kuona jezi yenye maneno "TUME HURU" means unaficha weakness za tume na hivyo una conclude kwamba tume iliyopo sio huru. Sasa kwanini wananchi wasitafute namna ya kupata TUME ILIYO HURU.
Kama lengo ni kutoa ujumbe wa kudai tume huru, basi polisi wangejulishwa.

Lakini kama lengo ni kutafuta wanachama zaidi wa jogging Club basi hakuna maana ya kuweka neno Tume Huru kwenye fulana zenu, kama nilivyoainisha hapo juu.

Kwa kifupi ni kwamba wapinzani sasa hivi mpo hoi na mnachofanya ni kujitutumua tu.

Tafuteni mikakati na mipango sahihi.
 
MACCM wameuzia chama chao PoliCCM kwa kuiogopa CHADEMA. πŸ˜€πŸ˜†

Katiba mpya ni lazima.
Tume huru ya uchaguzi ni lazima.
Mheshimiwa Mbowe sio GAIDI.
 
Yaani upinzani uwe hoi halafu kutwa nzima police wanafatilia kila nyendo na hatua za wapinzani. Kubambikia watu kesi, kufunga mikutano ya ndani ya vyema vya upinzani. Braza amka mambo sio mepesi kama unavyojaribu kujiaminisha
 
Mimi niliamka siku miongo kadhaa ilopita.

Tanzania haina wapinzani ila ina mawakala wa CCM walopandikizwa kwenye upinzani.

Upinzani haupo Tanzania, tusidanganyane.
 
Usipotaka kuona jezi yenye maneno "TUME HURU" means unaficha weakness za tume na hivyo una conclude kwamba tume iliyopo sio huru. Sasa kwanini wananchi wasitafute namna ya kupata TUME ILIYO HURU.
Huyo jamaa hata sio wa kumjibu,sijui anaongea vitu gani
 
Ujumbe unatatizo gani ?
 
Wangekuwa hoi jeshi la polisi lingetumia nguvu zote hizo kupambana nao ?
 
Naona neno unyanyasaji wa kijinsia linataka kutumika vibaya itafika kipindi ukiongea na mwanamke utaambiwa unamnyanyasa kijinsia.Naona mnautumia uanamke wenu vibaya
Ameyaanzisha mwenyekiti wa CCM kwa kutanguliza uanamke kwny kila kitu,acha wamuige.
 
Hawa wanawake sasa watumie akili 2025 inaonekana sirro ndio anatumwa kuwapiga wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…