Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HAKUNA CHA MWANA KULITAFUTA WALA MWANA KULIGETView attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Sasa mkuu mtoto wa mjini utamlinganisha na bush boyKwamba Kikwete anaakili kuliko jiwe?
Ni Kikwete huyu huyu aliyekataliwa na Nyerere asigombee urais kisa ni mhuni anayedhani kuwa hapo ikulu ni pahali kula bata?
Ni kikwete huyu huyu aliye anzisha Makundi ya kifisadi ndani ya chama kwa kwa mtu kuhonga pesa ili ateuliwe kugombea urais & ubunge?
Wash your brain and make sure umetakasika ndipo uje hapa kumsifia mzee wa Msoga aka kinara wa upigaji wa kodi na raslimali za nchi
Sijui wakina Halima, Esthers na wenzao wanajisikiaje wakiona haya?View attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Kama yule aliejitangaza na kuanza kampeni ya kugombea urais 2025HAKUNA CHA MWANA KULITAFUTA WALA MWANA KULIGET
hao wamevaa fulana zenye uchochezi wakati si wakati wa siasa au shughuli za promosheni za kisiasa,
WANAYOTAKA KUYAFANYA YANA MUDA WAKE,KAMA JINSI SEREKALI ILIVUOTOA MAELEKEZO.
hao w
Sheria gani inayokataza watu kuvaa sare za chama?Kwani lazima wavae sare za chama?
Sasa hapo kwenye video kuna unyanyasaji gani wa kijinsia embu sema jambo ndugu yanguAmeyaanzisha mwenyekiti wa CCM kwa kutanguliza uanamke kwny kila kitu,acha wamuige.
Tumuulize mama mwenyekiti,ndie muasisi mkuu.Sasa hapo kwenye video kuna unyanyasaji gani wa kijinsia embu sema jambo ndugu yangu
*Hata wewe unaruhusiwa kutamka unataka kugombea*lakini sio kuchapisha mafulana na kuzurura nayo utakapofanya hivyo unakosea,shughuli hizo zina muda wake.Kama yule aliejitangaza na kuanza kampeni ya kugombea urais 2025
Cha msingi akaunti benki haikauki.Sijui wakina Halima, Esthers na wenzao wanajisikiaje wakiona haya?
Amandla...
Huyo unayemwita mtoto wa mjini amekuletea maendeleo gani zaidi ya kuwafanya ndugu zako wawe wadangaji tu, Nyerere alikuwa mtu wa mjini? Mbona aliwasaidia wengi wapate elimu bure wakiwemo hao hao wanaotuharibia nchi yetu, jifunze bwashee uongozi bora si kuwa born townSasa mkuu mtoto wa mjini utamlinganisha na bush boy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So wew unamini mtu mshamba na masikini anaweza kukuletea maendeleo?
Nakushauri ujipe muda kidogo usome tofauti ya ANC ya South Africa na vyama vya upinzani vya Tanzania hususan Chadema. Utagundua tofauti ni kama umbali kati ya dunia na Jua.Lugha hiyo hiyo ilikuwa inatolewa na makaburu SA, hatukushangai. Kwenye mapambano kuna vikwazo/changamoto lakini, yanaendelea.
Lugha hiyo hiyo ilikuwa inatolewa na makaburu SA, hatukushangai. Kwenye mapambano kuna vikwazo/changamoto lakini, yanaendelea.
Nimegundua namna unavyo itumia Akili yako vibaya kuitetea CCM hata kwenye mambo ya kipumbavu kama haya kiasi kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu anaona akili yako haina Akili.Kila binadamu amepewa akili.
Ni namna ya kutumia hizo akili ndipo tatizo lilipo.
Naona nawe wasumbuliwa na hilo tatizo.
Wahenga na Misemo yao "Mzarau Mwiba guu huota Tende" Kama Tanzania Upinzani kwa nini Katiba Mpya na Tume huru vinawafanya CCM na Mapolisi wenu kuwa Vichaa?Mimi niliamka siku miongo kadhaa ilopita.
Tanzania haina wapinzani ila ina mawakala wa CCM walopandikizwa kwenye upinzani.
Upinzani haupo Tanzania, tusidanganyane.
Huu ni ushuzi tu. Nchi hii tumefika mahali pa kupangiwa nguo za kuvaa? Kwani huo ujumbe ni tusi? mr. Richard tumia akili badala ya fuvu lenye usaha ndani. nonsense.Ninyi watu ni wa ajabu sana.
Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?
Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?
Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".
Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.
Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
Serikali inazidi kuwapa Chadema umaarufu
Mama anamuiga Magufuli mtu asiekua na akili
Kati ya akili ya Magufuli na Kikwete,akili ya Kikwete ni milions of miles bigger than that nonsense,ni heri nigeiga ya Kikwete
Mama anaiga matango pori ya Magufuli....ni heri walao atumie hata akili yake binafsi kuliko ya Magufuli aisee