Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hapo kwenye bold ulitaka kumaanisha nini? Kwamba maandishi yanakwenda kushoto ni yale ya qurani? wewe hujui korani kwa nini maandishi yanakwenda kushoto.
Ningekufundisha ila kwa kuwa inaonekana huupendi uislamu wacha nikupongeze kwa kukupa "home work". Kwa kuwa kwenda kushoto inaonekana ni "kituko" basi nenda kwa ma injinia uwaambie wafungue nati yoyote kwenye engine au kifaa chochote kinachohusisha mechanics.
Waambie waifungue nati hiyo KWA KUIZUNGUSHA KWENDA KULIA!!!!! Nadhani itafunguka........na dunia "haitakushangaa".
Bora umejua kuwa 'kufungua nati ndio kushoto, which means kuharibu' lakini kufunga na kufanya iwe imara unaelekeza kulia.
Acha kujishtukia na dini yako, quran sio lugha, kinachoandikwa kulia kwenda kushoto ni kiarabu. Au ndio ule utumwa wa kiimani kwamba akisemwa mwarabu basi mnaona kasemwa mungu wenu.