Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...........Kiebrania huandikwa na hufanana matamshi na lugha ya kiarabu, lugha iliyo andikia Qur'an !Bora umejua kuwa 'kufungua nati ndio kushoto, which means kuharibu' lakini kufunga na kufanya iwe imara unaelekeza kulia.
Acha kujishtukia na dini yako, quran sio lugha, kinachoandikwa kulia kwenda kushoto ni kiarabu. Au ndio ule utumwa wa kiimani kwamba akisemwa mwarabu basi mnaona kasemwa mungu wenu.
nasikia raha sana nikiona waislamu wakiungana kutetea haki yao.
Hivi kweli bado tu tuseme nchi hii haina uDini!? Kamanda wa Polisi wa mkoa (muIslamu) anashabikia mkuu wa shule (mKristo) kukimbia akihofia maisha yake na familia yake kudhuriwa na wanafunzi wake wa kiIslamu! Aisee....kama kuna jambo JK amefanikiwa/atafanikiwa katika miaka 10 ya uRais wake basi ni kueneza chuki za kiDini!
hakuna haki isiyoendana na wajibu...huna ruhusa ya kudai/kutetea haki ambayo hujaitimizia wajibu wake stahiki..sie wakristo katika kitabu chetu tunaambiwa "asiyefanya kazi na asile"...ni wajibu wetu kufanya kazi ili tupate haki ya kula....
Wenzetu nisaidieni ni wajibu gani mulio-utimiza ili mupate haki mnayostahili...
semeni leo tujue ili tuwaungeni mkono katika kudai haki mliyokwishaitimizia wajibu.......
waelimishe na wenzako sasa
nchi zote zza kiislamu hazina amani
Ni nani aliruhusu msikiti ujengwe shuleni
huyu hapa.... !!Ni nani aliruhusu msikiti ujengwe shuleni
tatizo hapo kura za hapana zilikuwa nyingi kushinda za ndio, haya ndio yale yale ya chadema 2010 na sasa waislam wameamka.
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.
Ni nani aliruhusu msikiti ujengwe shuleni.......