Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
Udini unashika kasi! mwinyi na swahiba wake JK ndio watabeba msalaba huu wa udini! mihadhara ya kukashifu ukiristo ilianza awamu ya pili ya ruksa.
 
Bora umejua kuwa 'kufungua nati ndio kushoto, which means kuharibu' lakini kufunga na kufanya iwe imara unaelekeza kulia.

Acha kujishtukia na dini yako, quran sio lugha, kinachoandikwa kulia kwenda kushoto ni kiarabu. Au ndio ule utumwa wa kiimani kwamba akisemwa mwarabu basi mnaona kasemwa mungu wenu.
...........Kiebrania huandikwa na hufanana matamshi na lugha ya kiarabu, lugha iliyo andikia Qur'an !

fahamu tu kwamba Dunia hulizunguka Jua kutoka kulia kwenda kushoto, ndo unapata mashariki na magharibi ! mashariki iko kulia magharibi iko kushoto. Moyo uko kushoto, na mapigo yake huanzia kulia kwenda kushoto ! Engine yeyote iliyopo Duniani, huanzia mapigo kulia kwenda kushoto (Pistons)
Waislaam huizunguka Al Kaaba (Maka) kutoka kulia kwenda kushoto. Ni ipi ishara ya Mwenyezi Mungu mnaikanusha ?
Hizi ni ishara tu, kwa wenye akili ! je we unazo !?
 
BOKO HARAM, AL SHABAAB, AL QAEDA , TUAREG, JANJAWEED .......... wote hawa wanatetea uislam
haya na Tanzania anzisheni la kwenu na nyie muupiganie uislam maana ndo mnachotaka
 
nasikia raha sana nikiona waislamu wakiungana kutetea haki yao.

hakuna haki isiyoendana na wajibu...huna ruhusa ya kudai/kutetea haki ambayo hujaitimizia wajibu wake stahiki..sie wakristo katika kitabu chetu tunaambiwa "asiyefanya kazi na asile"...ni wajibu wetu kufanya kazi ili tupate haki ya kula....

Wenzetu nisaidieni ni wajibu gani mulio-utimiza ili mupate haki mnayostahili...

semeni leo tujue ili tuwaungeni mkono katika kudai haki mliyokwishaitimizia wajibu.
 
Nafikiri mkuu wa skuli hakutumia busara. Kwani hata mimi mwenyewe nilipoingia Ilboru High Sch nililiona hilo la watoto wa kiislam waliojiunga na Form one walikuwa na zamu za kulisha Nguruwe wa skuli waliokuwa wanakaa juu kwenye nyumba za waalim.

Lakin tulichukua busara ya Kuongea na mkuu wa skuli BINO naye alikubali na kuwaondoa katika zamu hizo na kuwa wanapangiwa kazi nyingine.

msingi mkuu kwa dini hizi ni KUHISHIMIANA na SI KUVUMILIANA
 
Hivi kweli bado tu tuseme nchi hii haina uDini!? Kamanda wa Polisi wa mkoa (muIslamu) anashabikia mkuu wa shule (mKristo) kukimbia akihofia maisha yake na familia yake kudhuriwa na wanafunzi wake wa kiIslamu! Aisee....kama kuna jambo JK amefanikiwa/atafanikiwa katika miaka 10 ya uRais wake basi ni kueneza chuki za kiDini!

........una mfahamu huyu kamanda (kuwa ni Muislaam)? kauli yake haina ukweli, kuwa hoja ni Mwalim hatakiwi?
 
hakuna haki isiyoendana na wajibu...huna ruhusa ya kudai/kutetea haki ambayo hujaitimizia wajibu wake stahiki..sie wakristo katika kitabu chetu tunaambiwa "asiyefanya kazi na asile"...ni wajibu wetu kufanya kazi ili tupate haki ya kula....

Wenzetu nisaidieni ni wajibu gani mulio-utimiza ili mupate haki mnayostahili...

semeni leo tujue ili tuwaungeni mkono katika kudai haki mliyokwishaitimizia wajibu.......

wajibu upi uliotupa ambao sasa una udai ?
 
Hizo ndo sera zetu na bado mpaka tutachinjana mwaka huu naona ata kaimu kamanda wa mkoa anafurahia badala kusikitika!
 
tatizo hapo kura za hapana zilikuwa nyingi kushinda za ndio, haya ndio yale yale ya chadema 2010 na sasa waislam wameamka.

kura za hapana haziwez kuwa nyng mkuu,mashulen hakna maislam kabisa,labda km ungesema mwenyekiti wa mtaa wa manzese!
 
[BAHATI MBAYA SANA. TANZANIA TUNAKULILIA, NI BALAA GANI HILI. MUNGU TUEPUSHIE UPOFU HUU WA VIONGOZI WETU, WASIOWEZA KUONA BALAA LINALOIJIA NCHI YETU. ........ HAKIKA MBINU HIZI CHAFU HAZITASHINDA KAMWE, KILA AINA YA UBAGUZI INAENDA KUFIKIA MWISHO!!]

Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia yake kuhofia usalama wa maisha yake.

Pia, baadhi ya wanafunzi wa Kikristo wamekimbia shule hiyo na kurejea majumbani mwao kutokana na vitisho wanavyopewa.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule.

“Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi,” alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, alipotafutwa, alisema mgogoro huo upo, lakini alikataa kutoa maelezo zaidi na hatua zilizochukuliwa yatolewe na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Hata hivyo habari zilizopatikana shule hapo zinaeleza kuwa mgogoro huo ulianza wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi.

Wakati wa uchaguzi huo walijitokeza wagombea wawili wa nafasi ya Kilanja Mkuu wa Shule, Answal Abdul na Emmanuel Mmari ambao walikuwa wakichuana nafasi hiyo. Wote ni wanasoma kidato cha tano.

Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kampeni zilipoanza wanafunzi wa Kiislamu ambao baadhi yao ni viongozi wa msikiti uliopo shuleni hapo, walianza kumpigia kampeni mgombea wa dini yao na wa dini ya Kikristo walianza kufanya hivyo.

Habari zaidi zinaeleza kuwa wakati kampeni zikiendelea, inadaiwa Mkuu wa Shule aliwasihi wanafunzi wa Kiislamu waache kupiga kampeni kwa kufuata misingi ya dini.

Kauli hiyo ya Mkuu wa Shule inadaiwa iliwakera wanafunzi wa Kiislamu ambao walichukua uamuzi wa kumuondoa katika kinyang’anyiro mgombea wa waliyekuwa wakimpigia kampeni, Answal Abdul na kubakia mgombea pekee Emmanuel Mmari.

Habari zinaeleza kuwa siku ya uchaguzi wanafunzi wote walishiriki, lakini wanafunzi wa Kiislamu licha kupewa karatasi za kupigia kura hawakuandika chochote katika karatasi hizo huku wanafunzi wa Kikristo wakipiga kura.

Baada ya uchaguzi huo, Mmari alichaguliwa kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo.

Mkuu wa Shule hiyo, Ndimbo baada ya kukamilika uchaguzi huo alitangaza siku ya kuapisha viongozi wa serikali ya wanafunzi waliochaguliwa na ndipo mgogoro ulioanza.

Siku ya kuapisha viongozi hao, wanafunzi wa Kiislamu inadaiwa walimvamia Mkuu wa Shule na kumnyang’anya karatasi zilizokuwa zimeandika majina ya viongozi waliopangwa kuapishwa, hali iliyozua vurugu ambazo hata hivyo, baadaye zilitulia.

Mtoa habari watu amesematangu siku hiyo wanafunzi wa Kiislamu walianza kushinikiza Mkuu wa Shule ahamishwe na kwamba hawautambui uongozi wa shule uliochaguliwa na pia hawataki walimu Wakristo shuleni hapo.

Habari zaidi zinasema kuwa vitisho viliendelea na kuwa nyakati za usiku watu wasiofahamika walikuwa wakipita na pikipiki kuzunguka mabweni na shule.

Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa Kikristo waliamua kuondoka shuleni hapo kurejea majumbani hadi sasa kuhofia usalama wa maisha yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Bagamoyo, Samuel Saliyanga, alipoulizwa alisema bodi ya shule hiyo ilikuwa inakutana jana kutoa maamuzi ya suala hilo na kwamba yeye atapata taarifa kupitia kwa Afisa Elimu ya Sekondari.




CHANZO: NIPASHE[/QUOTE]
 
So, why are Muslims so powerless?*
Answer: **Lack of education**.*

All we do is shouting to Allah the whole day!!! And blame everyone
else for our multiple failures!!!!!

===============================
*Muslims are not happy*

*They’re not happy in Gaza *

*They're not happy in Egypt *

*They're not happy in Libya *

*They're not happy in Morocco *

*They're not happy in Iran *

*They're not happy in Iraq *

*They're not happy in Yemen *

*They're not happy in Afghanistan *

*They're not happy in Pakistan *

*They're not happy in Syria *

*They're not happy in Lebanon *

*So, where are they happy?*

*They're happy in Australia *

*They're happy in England *

*They're happy in France *

*They're happy in Italy *

*They're happy in Germany *

*They're happy in Sweden *

*They're happy in the USA & Canada *

*They're happy in Norway *

*They're happy in almost every country that is not Islamic!*

*And who do they blame?*
*Not Islam...*
*Not their leadership...*
*Not themselves...*
*THEY BLAME THE COUNTRIES THEY ARE HAPPY IN*

*And they want to change the countries they're happy in,* *to be like
the countries they came from,* *where they were unhappy.*

*Try to find logic in that!*

*Jeff Foxworthy on Muslims: *

*1. If you refine heroin for a living, but you have a moral objection
to liquor, *

*you are a Muslim. ** *

*2. If you own a $3,000 machine gun and $5,000 rocket launcher, but
you can't afford shoes,*

*You are a Muslim*

*3. If you have more wives than teeth,*

*You are a Muslim*

*4. If you wipe your butt with your bare hand, but consider bacon unclean.*

*You are a Muslim.*

*5. If you think vests come in two styles: bullet-proof and suicide,*

*You are a Muslim.*

*6. If you can't think of anyone you haven't declared Jihad against.*

*You are a Muslim. ** *

*7. If you consider television dangerous, but routinely carry
explosives in your clothing,*

*You are a Muslim. ** *

*8. If you were amazed to discover that cell phones have uses other
than setting off roadside bombs,*

*You are a Muslim.*

*9. If you have nothing against women and think every man should own
at least four,*

*You are a Muslim.*

*10. If you find this offensive or racist and don't forward it,*

*You are a Muslim. ** *
 
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.

Aidha, katika shule hiyo ni marufuku mwalim mkristo kumwadhibu mwanafunzi wa kiislam. Mwalim mkristo akifanya hivyo atawashiwa moto na wazazi wa watoto waislam.
 
[QUOTE=Mtoboasiri;Yap,u r alright my friend,that's what it is!!!
 
Ni nani aliruhusu msikiti ujengwe shuleni.......

Mimi naona kuwepo kwa Msikiti siyo tatizo lakini jinsi unavyotumika.

Haya tumeyaona Minaki mwaka 2001,Ndanda,Tosamaganga mwaka huu,Iyunga sekondari mwaka jana.
Iyunga nako kampeni zilianzia msikitini na wakristo nao kuamua kujibu mapigo walipogundua upepo unakokwenda siko walikotegemea wakaanza visingizio.

Tosamaganga nako hivyo hivyo ingawa kule namsifu sana Mkuu wa aliamua kuendesha uchaguzi na kumtangaza aliyeshinda bila kujali upuuzi wa watoto hao waliogomea uchaguzi.
 
Kwani shule ni ya kislamu au ya serikali?Kwa nini wawakatae walimu wakristu ilhali shule ni ya serikali?
Basi serikali iwape waislamu shule kama hawataki wakristu hapo shuleni.Kwa nini serikali ilijenga msikiti kwenye shule yake?:A S-cry:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom