acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp bsc eng na msc, wewe je?
waelimishe na wenzako sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp bsc eng na msc, wewe je?
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?
Mfano wako ndugu yangu...Nut unaifungua baada ya kuifunga.Sasa hayo maandishi ulianza kushoto kwenda kulia kwanza?By the way hata kiebrania,Hebrew nayo pia huanzia kulia kwenda kuhsoto.ILa ustaarabu wao hauwapi shida sana kama wa waarabu.
Hapo kwenye bold ulitaka kumaanisha nini? Kwamba maandishi yanakwenda kushoto ni yale ya qurani? wewe hujui korani kwa nini maandishi yanakwenda kushoto.
Ningekufundisha ila kwa kuwa inaonekana huupendi uislamu wacha nikupongeze kwa kukupa "home work". Kwa kuwa kwenda kushoto inaonekana ni "kituko" basi nenda kwa ma injinia uwaambie wafungue nati yoyote kwenye engine au kifaa chochote kinachohusisha mechanics.
Waambie waifungue nati hiyo KWA KUIZUNGUSHA KWENDA KULIA!!!!! Nadhani itafunguka........na dunia "haitakushangaa".
Suala la udini tunatakiwa tulishugulikie waislam kwa wakristo kwa pamoja kwa umoja wetu huku tukiwa na nia njema kama ambavyo wanaume na wanawake wanaungana mkono kushughulikia ujinsia kwa umoja wao licha ya tofauti zao.
Vinginevyo tutakuwa tunafanya ushindani wa kipuuzi.mwalimu anatarajiwa kuwa na busara zaidi ya wanafunzi.kama aliona wakristo wanafanya kampeni za kidini na waislam wanafanya kampeni za kidini alitakiwa awakemee wote na kisha aweke misingi ya usawa kwa wote.
kitendo cha kuwakemea waislam tu kwa vyovyote vile kingezua tafsiri mbaya.sasa mimi namshangaa zaidi huyo mkuu wa shule na hata kujiuliza kama naye si mdini kweli?
Unaweza kusoma halafu usielimike"acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?
Na Al Nuur linaeneza nini? Na ile Radio yenye watangazaji wasiosoma inaeneza siasa?gazeti hili la NIPASHE serikali ingelipiga BAN kwa kueneza udini.
yeye ni msomi so hawezi kuwa mdini.
Hapo kwenye bold ulitaka kumaanisha nini? Kwamba maandishi yanakwenda kushoto ni yale ya qurani? wewe hujui korani kwa nini maandishi yanakwenda kushoto.
Ningekufundisha ila kwa kuwa inaonekana huupendi uislamu wacha nikupongeze kwa kukupa "home work". Kwa kuwa kwenda kushoto inaonekana ni "kituko" basi nenda kwa ma injinia uwaambie wafungue nati yoyote kwenye engine au kifaa chochote kinachohusisha mechanics.
Waambie waifungue nati hiyo KWA KUIZUNGUSHA KWENDA KULIA!!!!! Nadhani itafunguka........na dunia "haitakushangaa".
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.
Hivi hizi tabia za kinyume nyumbe zinawasaidia nini? Ukweli mnaita uongo! Uongo mnaita ukweli! Maandishi yanaenda kushoto! Tafakarini, dunia inawashangaeni!
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule.
"Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi," alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo.
Umemsahau Rejao,kila kitu yeye anageuza kinyume.ushawahi kuishi Bagamoyo mkuu?
huko ustaarabu wa dini ya Kiislamu ni sehemu ya maisha kwa asilimia kubwa ya vijiji, mimi nilidhani kwa nafasi yako kama muislamu mstaarabu ungekemea hilo badala ya kunyoosha kidole na kutoa hukumu.
Hivi ni hatua gani za msingi zikiongozwa Mh Rais wetu na serikali yake zimechukuliwa kuhusu kumaliza hali hii inayoendelea kupata umaarufu mbali na kuliongelea majukwaani tu?
zomba naomba unipe data katika hili mkuu wangu.