Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?

Hongera mkuu. Mnatakiwa sana nyie kwenye jamii. Natumaini hata kwenye elimu ya maisha hujapata sup
 
ni mbaya sana kuwa na kichwa kilichojazwa gadhabu muda wote!!! mara zote "Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu".
 

Hapo kwenye bold ulitaka kumaanisha nini? Kwamba maandishi yanakwenda kushoto ni yale ya qurani? wewe hujui korani kwa nini maandishi yanakwenda kushoto.

Ningekufundisha ila kwa kuwa inaonekana huupendi uislamu wacha nikupongeze kwa kukupa "home work". Kwa kuwa kwenda kushoto inaonekana ni "kituko" basi nenda kwa ma injinia uwaambie wafungue nati yoyote kwenye engine au kifaa chochote kinachohusisha mechanics.

Waambie waifungue nati hiyo KWA KUIZUNGUSHA KWENDA KULIA!!!!! Nadhani itafunguka........na dunia "haitakushangaa".
Mfano wako ndugu yangu...Nut unaifungua baada ya kuifunga.Sasa hayo maandishi ulianza kushoto kwenda kulia kwanza?By the way hata kiebrania,Hebrew nayo pia huanzia kulia kwenda kuhsoto.ILa ustaarabu wao hauwapi shida sana kama wa waarabu.
 
Suala la udini tunatakiwa tulishugulikie waislam kwa wakristo kwa pamoja kwa umoja wetu huku tukiwa na nia njema kama ambavyo wanaume na wanawake wanaungana mkono kushughulikia ujinsia kwa umoja wao licha ya tofauti zao.

Vinginevyo tutakuwa tunafanya ushindani wa kipuuzi.mwalimu anatarajiwa kuwa na busara zaidi ya wanafunzi.kama aliona wakristo wanafanya kampeni za kidini na waislam wanafanya kampeni za kidini alitakiwa awakemee wote na kisha aweke misingi ya usawa kwa wote.

kitendo cha kuwakemea waislam tu kwa vyovyote vile kingezua tafsiri mbaya.sasa mimi namshangaa zaidi huyo mkuu wa shule na hata kujiuliza kama naye si mdini kweli?

yeye ni msomi so hawezi kuwa mdini.
 
Leo ni Ijumaaa. Sijaenda kazini kwa sababu naogopa fujo za katikati ya Jiji. Napendekeza Ijumaa iwe siku ya Mapumziko ili tuwaruhusu hawa wenzetu wawe wanahudhuria maandamno kil Ijumaa
 

Hapo kwenye bold ulitaka kumaanisha nini? Kwamba maandishi yanakwenda kushoto ni yale ya qurani? wewe hujui korani kwa nini maandishi yanakwenda kushoto.

Ningekufundisha ila kwa kuwa inaonekana huupendi uislamu wacha nikupongeze kwa kukupa "home work". Kwa kuwa kwenda kushoto inaonekana ni "kituko" basi nenda kwa ma injinia uwaambie wafungue nati yoyote kwenye engine au kifaa chochote kinachohusisha mechanics.

Waambie waifungue nati hiyo KWA KUIZUNGUSHA KWENDA KULIA!!!!! Nadhani itafunguka........na dunia "haitakushangaa".

Duh ! hata biblia lazima ufungue kurasa kuelekea kushoto,sijui anaiwekaje hiyo concept yake!!
 
The solution is simple really. Shule ziwe managed professionally kama shule zinavyotakiwa ziwe. Anaetaka shule atasoma anaetaka mambo ya dini aonyeshwe sehemu sahihi ambako dini ni main activity.
 
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?

Sasa unangoja nini kuwaelemisha waislam wenzako wasome bila supp kama wewe????? nafikiri ni busara kutumia hiyo msc yako kuwaelimisha na sio kuja kutamba nayo hapa. KAAZ KWEL KWEL!
 
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?

Comment hii inaleta shaka kama kweli umeelimika weye. Unadhani kitendo walichofanya waislamu wenzio ni sawa?
 
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.

mmmmhhh umesoma habri vizuri...??????hujaona kuwa kuna vitisho
na kwa kawaida waislamu huwa hawafikiri mara mbili wakisema watafanay huwa wanafanya
ni uamuzi mzuri ngoja wapewe walimu wao waislamu tupu,mkuu wa shule muislamu na wasome waislamu tupu
hili tatizo la misikiti mashuleni na watu kujitenga liko kila mahali..........shule nyingi sana wanafunzi wa kiislamu wanafanyia discussion zao msikitini...........HATA PALE UDSM WAPO WANAOFANYIA DISCUSSION PALE MSIKITINI NA KUNA UBAO KABISA WANAJITENGA NA KUFANYA DISCUSSION PEKE YAO.

nb:ukitaka source nenda hata leo pale msikitin udsm
 
Hivi hizi tabia za kinyume nyumbe zinawasaidia nini? Ukweli mnaita uongo! Uongo mnaita ukweli! Maandishi yanaenda kushoto! Tafakarini, dunia inawashangaeni!

.........Wachina maandishi yao hutokea juu kwenda chini ! na yanasomeka, maana ni ile ile ! jenga hoja acha kuendekeza ujuha !
..........siku za kutazama tuu zimekwisha, watu wanachukua hatua sasa !
 
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule.

"
Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi," alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo.

Hivi kweli bado tu tuseme nchi hii haina uDini!? Kamanda wa Polisi wa mkoa (muIslamu) anashabikia mkuu wa shule (mKristo) kukimbia akihofia maisha yake na familia yake kudhuriwa na wanafunzi wake wa kiIslamu! Aisee....kama kuna jambo JK amefanikiwa/atafanikiwa katika miaka 10 ya uRais wake basi ni kueneza chuki za kiDini!
 
ushawahi kuishi Bagamoyo mkuu?
huko ustaarabu wa dini ya Kiislamu ni sehemu ya maisha kwa asilimia kubwa ya vijiji, mimi nilidhani kwa nafasi yako kama muislamu mstaarabu ungekemea hilo badala ya kunyoosha kidole na kutoa hukumu.
Umemsahau Rejao,kila kitu yeye anageuza kinyume.
 
Hivi ni hatua gani za msingi zikiongozwa Mh Rais wetu na serikali yake zimechukuliwa kuhusu kumaliza hali hii inayoendelea kupata umaarufu mbali na kuliongelea majukwaani tu?
zomba naomba unipe data katika hili mkuu wangu.

Hali ipi hiyo, kuwa wazi kidogo. Huo uzushi wa kuhama wanafunzi Bagamoyo? hao si wanafik tu, watuambie wamefanywa nini bagamoyo hata kiwakimbize? Hapo ni Waalimu wanjitafutia OFF Days au wanafunzi wanatafuta njia ya kutoka mabweni ya kutiwa adabu, unaambiwa shule za bweni za Tanzania (majority) ni kama jela ya watoto. Wamepata sababu ya kutokea, hawana lolote.
 
Nasikia raha sana nikiona Waislamu wakiungana kutetea haki yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom