Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.

Bora umejua kuwa 'kufungua nati ndio kushoto, which means kuharibu' lakini kufunga na kufanya iwe imara unaelekeza kulia.

Acha kujishtukia na dini yako, quran sio lugha, kinachoandikwa kulia kwenda kushoto ni kiarabu. Au ndio ule utumwa wa kiimani kwamba akisemwa mwarabu basi mnaona kasemwa mungu wenu.
 
Mkuu wa Wilaya na OCD wanajua lilotokea na kupangwa.
Hata hivyo haya ndio matokeo ya kuacha udini wa kijinga uendelee nchini.
Shule hiyo naifahamu na sasa inelekea mwishoni mwa umaarufu wake.

Namna nzuri ya kuwaonesha hawa pungu ni kuhamisha watoto wetu kule. Kitachobakia ni majengo na sio shule. Madarasa yatageuzwa madrasa na uhuni utachukua mkondo wake. In two years, itakuwa sawa na Masjid Quba kitaaluma.
 
ushawahi kuishi Bagamoyo mkuu?
huko ustaarabu wa dini ya Kiislamu ni sehemu ya maisha kwa asilimia kubwa ya vijiji, mimi nilidhani kwa nafasi yako kama muislamu mstaarabu ungekemea hilo badala ya kunyoosha kidole na kutoa hukumu.

mimi ni mhitimu wa Bagamoyo na ninasikitika sana kwa yanayotokea, naomba mamlaka husika zichukue hatua stahili kwani sifa nzuri za hii shule zinaelekea ukingoni!!! Ikishindikana basi anzeni utaratibu wa kuifanya shule ya kiislamu ili waumini wengine wasiaangaike kuichagua! tuone mwisho wake!
 
hawa ndugu zetu hawataki kusoma .. Then baadae watalalamika kuwa wakristo wamejazana makazini ili hali wao hawapendi shule.. Kusoma sio lelemama .. shule ngumu sana kwa hio hawa ndugu siwashangai kitabu kikiwa kigumu lazima mtafute sababu .. Fukuzeni mwalimu na matokeo yakiwa mabaya andamaneni kwenda baraza la elimu
ROFLMAO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hawana jipya zaidi utaalam wa kuandamana,Mwl atapata kazi sehemu nyingine shule tele.
 
Hawana tabu hao madhali wanakwenda chuoni(madrasa) wanaona kujua kiarabu ndio mwisho wa mambo
 
Eti hiki chama ndio kina ndoto za kuongoza nchi yenye wakristo na waislamu.. Cha,a cha kidini kabisa hiki. Pumba**vu kabisa .. Mtatiro unaona ?

kwani hiyo shule iko chini ya CUF?..
Wala chadema usidhani kuwa wanaweza kuongoza nchi hii ya waislam na wakristo.
 
Hawana jipya zaidi utaalam wa kuandamana,Mwl atapata kazi sehemu nyingine shule tele.

Namshauri mwalimu aende kilimanjaro au mbeya ama kaskazini huko watu wanakula kitabu mambo ya kukomalia utamaduni wa wazungu ama wa waarabu upo huko pwani tu
 
naomba serikali iwahamishe hao waalimu na wanafunzi wakristo wapelekwe Katavi na maeneo mengine wanayopenda elimu wawaache hao ndugu zetu na huo udini wao. Nina uhakika wataigeuza Bagamoyo madrasa wakristo wote watakapoondoka.
 
acheni unafiki mtoa mada taja elimu yako, mimi muislam sijawi pata supp Bsc Eng na Msc, wewe je?
 
Suala la udini tunatakiwa tulishugulikie waislam kwa wakristo kwa pamoja kwa umoja wetu huku tukiwa na nia njema kama ambavyo wanaume na wanawake wanaungana mkono kushughulikia ujinsia kwa umoja wao licha ya tofauti zao.

Vinginevyo tutakuwa tunafanya ushindani wa kipuuzi.mwalimu anatarajiwa kuwa na busara zaidi ya wanafunzi.kama aliona wakristo wanafanya kampeni za kidini na waislam wanafanya kampeni za kidini alitakiwa awakemee wote na kisha aweke misingi ya usawa kwa wote.

kitendo cha kuwakemea waislam tu kwa vyovyote vile kingezua tafsiri mbaya.sasa mimi namshangaa zaidi huyo mkuu wa shule na hata kujiuliza kama naye si mdini kweli?
 
nanusa harufu ya ustaadh dh.aifu kwenye kwenye hili...huyu jk huyu!!Mungu anamchukua amtakaye kwa mapenzi yake na sio kwa mapenzi yangu mimi..amen
 
Hivi ni hatua gani za msingi zikiongozwa Mh Rais wetu na serikali yake zimechukuliwa kuhusu kumaliza hali hii inayoendelea kupata umaarufu mbali na kuliongelea majukwaani tu?
zomba naomba unipe data katika hili mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
na kufunga nut je pia huenda kushoto?mfano mbona kama vile hauendani kabisa....

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…