Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
........una mfahamu huyu kamanda (kuwa ni Muislaam)? kauli yake haina ukweli, kuwa hoja ni Mwalim hatakiwi?

Na habari inasema malimu hatakiwi na wanafunzi wa kiIslamu...yes namfahamu kamanda ni Muislamu!
 

..


Ukweli, ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha uasiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi..

..
 
.........Wachina maandishi yao hutokea juu kwenda chini ! na yanasomeka, maana ni ile ile ! jenga hoja acha kuendekeza ujuha !
..........siku za kutazama tuu zimekwisha, watu wanachukua hatua sasa !.......

..

Ukweli, ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha uasiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.

...
 
Hivi ni viashiria vy bomu linalotaka kulipuka, subirini tuone
 
tunavuna kilichopandwa na wakubwa
 
Hivi hawa jamaa mbona wanaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume
 
gazeti la nipashe. muhariri ni Mbasha Asenga wa mwanahalisi. namjua vizuri huyu jamaa alivyokuwa na chuki na waislam
 

wajibu upi uliotupa ambao sasa una udai ?

mkuu nipe nikupe
mwenzako niliyemnukuhu amesema anafurahi sasa waislam wameanza kudai/kutetea haki zao..

Mie nikasema haki hutolewa baada ya kutimiza pia wajibu uliokuwa mbele yako...sasa nataka kujua waislam wanadai haki zipi ambazo wameishakwisha zitimizia wajibu stahiki...huwezi kudai haki pasi kutimiza wajibu...sasa unaniuliza mie wajibu niliokupa nimeutoa wapi na nakupa wajibu mie kama nani..mufti/sheikh mkuu/ kadhi mkuu au imam?...

Je hakuna wajibu mulizopewa na dini yenu kupitia kitabu chenu kitakatifu cha quran.. Au hakuna wajibu munaotakiwa kuutimiza kwa mujibu wa sheria za katiba ya jamuhuri ya muungano ya tanzania?...

Mfano....katiba inasema nchi yetu haina dini...nyie mnataka haki ya nchi kujiunga na ioc plus mahakama ya kadhi vitu ambavyo vinakinzana na katiba ya nchi.....tuwe logical kidogo...timizeni wajibu mupate grounds za kudai haki hata sie tutaungana nanyi kudai haki zenu baada ya kuonyesha wajibu muliokwishatimiza.
 
gazeti la Nipashe linahistoria mbaya kwa jamii ya kiislam. zuri la waislam wao watalipaka matope, baya la wakiristo wanalipaka mafuta. hii ni kutokana na muhariri wake A.K . A MBASHA ASENGA wa makala za mwanahalisi anavyoharibu kampuni ya IPPMEDIA na kuoekana kama ya KANISA
 
Aidha, katika shule hiyo ni marufuku mwalim mkristo kumwadhibu mwanafunzi wa kiislam. Mwalim mkristo akifanya hivyo atawashiwa moto na wazazi wa watoto waislam.

kuadhibu watoto ovyo ovyo sio vizuri yanaweza kukuta kama haya.-
1-and joseph saw his prudence and understanding and wished him to be acguainted with letters.so he handed him(jesus)over to another schoolmaster(teacher).and the schoolmaster said,''say alpha''.
2-But the boy said,''first tell me what is the 'beta'and i will tell you what the alpha is'',becoming irritated the teacher struck him and JESUS cursed him and THE TEACHER FELL AND DIED.
3-and the boy went home to his parents.and joseph called his mother and commanded her,''Do not let him out of the house so that those who make him angry MY NOT DIE''.
here is the link
 
Return Of Undertaker

Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia yake kuhofia usalama wa maisha yake. Pia, baadhi ya wanafunzi wa Kikristo wamekimbia shule hiyo na kurejea majumbani mwao kutokana na vitisho wanavyopewa.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salehe Mbaga, akizungumza na NIPASHE jana kwa simu, alithibisha kuwepo kwa mgogoro huo, lakini alisema hajapata taarifa za kukimbia kwa Mkuu wa Shule. "Kama kweli Mkuu wa Shule amekimbia shuleni atakuwa amefanya vizuri kwa sababu alikuwa hatakiwi na wanafunzi," alisema Mbaga ambaye hata hivyo, hakutaka kufafanua zaidi chanzo cha mgogoro huo. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, alipotafutwa, alisema mgogoro huo upo, lakini alikataa kutoa maelezo zaidi na hatua zilizochukuliwa yatolewe na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo. Hata hivyo habari zilizopatikana shule hapo zinaeleza kuwa mgogoro huo ulianza wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi.

Wakati wa uchaguzi huo walijitokeza wagombea wawili wa nafasi ya Kilanja Mkuu wa Shule, Answal Abdul na Emmanuel Mmari ambao walikuwa wakichuana nafasi hiyo. Wote ni wanasoma kidato cha tano. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kampeni zilipoanza wanafunzi wa Kiislamu ambao baadhi yao ni viongozi wa msikiti uliopo shuleni hapo, walianza kumpigia kampeni mgombea wa dini yao na wa dini ya Kikristowalianza kufanya hivyo.

Habari zaidi zinaeleza kuwa wakati kampenizikiendelea, inadaiwa Mkuu wa Shule aliwasihi wanafunzi wa Kiislamu waache kupiga kampeni kwa kufuata misingi ya dini. Kauli hiyo ya Mkuu wa Shule inadaiwa iliwakera wanafunzi wa Kiislamu ambao walichukua uamuzi wa kumuondoa katika kinyang'anyiro mgombea wa waliyekuwa wakimpigia kampeni, Answal Abdul na kubakia mgombea pekee Emmanuel Mmari. Habari zinaeleza kuwa siku ya uchaguzi
wanafunzi wote walishiriki, lakini wanafunzi wa Kiislamu licha kupewa karatasi za kupigia kura hawakuandika chochote katika karatasi hizo huku wanafunzi wa Kikristo wakipiga kura.

Baada ya uchaguzi huo, Mmari alichaguliwa kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Ndimbo baada ya
kukamilika uchaguzi huo alitangaza siku ya kuapisha viongozi wa serikali ya wanafunzi waliochaguliwa na ndipo mgogoro ulioanza. Siku ya kuapisha viongozi hao, wanafunzi wa Kiislamu inadaiwa walimvamia Mkuu wa Shule na kumnyang'anya karatasi zilizokuwa zimeandika majina ya viongozi waliopangwa kuapishwa, hali iliyozua vurugu ambazo hata hivyo, baadaye zilitulia. Mtoa habari wetu amesema tangu siku hiyo wanafunzi wa Kiislamu walianza kushinikiza Mkuu wa Shule ahamishwe na kwamba hawautambui uongozi wa shule uliochaguliwa na pia hawataki walimu Wakristo shuleni hapo.

Habari zaidi zinasema kuwa vitisho viliendelea na kuwa nyakati za usiku watu wasiofahamika walikuwa wakipita na pikipiki kuzunguka mabweni na shule. Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa Kikristo waliamua kuondoka shuleni hapo kurejea majumbani hadi sasa kuhofia usalama wa maisha yao. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya
Bagamoyo, Samuel Saliyanga, alipoulizwa alisema bodi ya shule hiyo ilikuwa inakutana jana kutoa maamuzi ya suala hilo na kwamba yeye atapata taarifa kupitia kwa Afisa Elimu
ya Sekondari.

CHANZO: NIPASHE

Sasa kwa mtazamo wangu hakuna wa kuuzima huu moto ndani ya serikali hii kwa maana kwa njia moja au nyingine inawasaidia watawala katika divide and rule.


Return Of Undertaker nimerekebisha tu mpangilio wa bandiko lako!!
 
sipati picha inakuwaje hawa wanafunzi wa imani zote wanakutana na kutishiana kisa dini zao. Ni aibu
 
Unataka kutuambia NATI zilifuata kanuni za Uislamu kwenye kutengenezwa kwake? Saa nazo zinazunguka kwa kufuata kanuni za Kiislamu?
 
Nimewahi kuishi bagamoyo ni mji mzuri nilikupenda na nlisoma hapo kidato cha 1 nkahama,waislam badilikeni kuna tatizo ktk imani yenu mmezidi kwa fujo na sababu zisizo na msingi
 
Hii dini ushirikina???dini gani hii ipenda harufu ya damu????
 

Ukiukojolea, utageuka mjusi! Same apply hapa. Haya mafundisho ya Uongo! Hiyo ni lugha ya Kikuraish ndivyo inavyoandikwa hata ukiandika TUSI herufi itatoka kulia kwenda kushoto. So there is nothing special with Quran kuandikwa kwenda kushoto.
 
ungefafanua vizuri mkuu ni shule gani ili nasi tuwawahi watoto wetu.

Ni Bagamoyo Secondari wala sio Islamic Seminary...Hawawataki walimu wakristo!!!!!!!!!!

Out of the Topic:
Huyu ni Mamndenyi ninayemfahamu au macho yangu? Mie namfahamu Mamndenyi kuwa ni Ke na sio Me sasa hii avatar inanichanginyi...

 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…