JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.
Taarifa hizi za kweli kabisa, hata mie nimezipata kwa mwanafunzi aliyeko nyumbani, inasemekana kulikuwa na vitisho kwa kuichoma shulegazeti hili la NIPASHE
serikali ingelipiga BAN kwa kueneza udini., habari hizi ni za uwongo
kabisa.
Ukiukojolea, utageuka mjusi! Same apply hapa. Haya mafundisho ya Uongo! Hiyo ni lugha ya Kikuraish ndivyo inavyoandikwa hata ukiandika TUSI herufi itatoka kulia kwenda kushoto. So there is nothing special with Quran kuandikwa kwenda kushoto.
Kama kweli kamanda wa Polisi amejibu hivyo basi ni bahati mbaya sana. Kwa nini mwalimu mkuu asitakiwe? je, inawezekana sasa Wakristo wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wao Wakristo na Waislamu wakasoma kwenye shule zao wakiwa na walimu wote Waislamu ili kuleta amani? Kama wanafunzi wa Kiislamu hawawataki walimu Wakristo wasilazimishwe kufundishwa nao. Kwanza mtu usiyempenda akikufundisha huelewi somo. Tuepushe vita. Kama kukaa pamoja inashinidika basi tusipigane na kuuana. Tutengane kwa amani.
Unataka kutuambia NATI zilifuata kanuni za Uislamu kwenye kutengenezwa kwake? Saa nazo zinazunguka kwa kufuata kanuni za Kiislamu?
tunavuna kilichopandwa na wakubwa
Kwani shule ni ya kislamu au ya serikali?Kwa nini wawakatae walimu wakristu ilhali shule ni ya serikali?
Basi serikali iwape waislamu shule kama hawataki wakristu hapo shuleni.Kwa nini serikali ilijenga msikiti kwenye shule yake?:A S-cry:
mmmmhhh umesoma habri vizuri...??????hujaona kuwa kuna vitisho
na kwa kawaida waislamu huwa hawafikiri mara mbili wakisema watafanay huwa wanafanya
ni uamuzi mzuri ngoja wapewe walimu wao waislamu tupu,mkuu wa shule muislamu na wasome waislamu tupu
hili tatizo la misikiti mashuleni na watu kujitenga liko kila mahali..........shule nyingi sana wanafunzi wa kiislamu wanafanyia discussion zao msikitini...........HATA PALE UDSM WAPO WANAOFANYIA DISCUSSION PALE MSIKITINI NA KUNA UBAO KABISA WANAJITENGA NA KUFANYA DISCUSSION PEKE YAO.
nb:ukitaka source nenda hata leo pale msikitin udsm

Dini ya kiislamu ni janga la dunia.
Ugaidi wao(Alqaida,bokoharam,alshaabab na makundi mengine meng)
Wao siku zote hawapend Aman wanataka shari tu
Thank u God nlzaliwa mkristo
Dawa ni kuwatengea shule zao wakae peke yao,wafundishwe na walimu wa kwao,tuone kama chokochoko zitaisha.NDANDA Sekondari ilikuwa hivyohivyo kitu kidogo kinakuzwa utadhani ndicho walicho fuata.je, viongozi wa shule wangekuwa wanalipwa posho si ingekuwa balaa!! halafu fuatilia uone huyu anae utaka ukiranja mkuu amekwenda na sifa gani,utakuta kaenda na;DDC badala ya kukaza buti atoke na daraja zuri anautaka ukiranja kwa udi na uvumba.
Mfano wako ndugu yangu...Nut unaifungua baada ya kuifunga.Sasa hayo maandishi ulianza kushoto kwenda kulia kwanza?By the way hata kiebrania,Hebrew nayo pia huanzia kulia kwenda kuhsoto.ILa ustaarabu wao hauwapi shida sana kama wa waarabu.