JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.
MIMI nimewasifu nini chakufia? kwanini upoteze muda kubishana na mtu aliye tumwa kubisha hata jambo lililo wazi kabisa!! wao wakitaka jambo lao wanalichanganya na dini ili wapate kuungwa mkono na watu wengi wa dini yao.kadiri miaka inavyo songa mbele nazidi kugundua dini ya kweli ni ipi.NASHUKURU MUNGU NINAISHI DINI YA KWELI.