Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.
Ukiwa mdini siku zote utashindwa kuona taswira halisi ya mambo yanavokwenda ndo maana aloleta thread bado anaamin waislamu hawakusoma ndo maana hawawezi kuongoza wizara wala nchi...anasahau kuwa maghembe ni profesa. huu ni ubalakala. wapo waislamu wamesoma na wanaendelea kusoma na siku zote watafanya vizuri kazini,
 
Wagalatia ni watu hatari sana hapa Tanzania. Kila kitu wapewe wao na akipewa mwingine basi nongwa.

Tunataka haki zetu
alozea kudhulumu hapendi kuona haki yatendeka...siku haki ikitendeka ataiita dhuluma...hawa jamaa walizoea kupendelewa sasa haki inatendeka wanakimbilia vigezo vya kidini...kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
 
Unajua wakati mwingine ni vizuri watu wa JF tukawa tunaandika vitu tukiambatanisha na ushahidi, lakini pia ni muhimu zaidi kwa baadhi ya members kuandika vitu kwa kutumia akili zaidi kuliko hisia kali za kipumbavu zilizojaa ubaguzi wa kidini. Nadhani utatusaidia wengi hapa kama utakuja na ushahidi kuliko kukaa kwenye keyboard yako nyumbani na kuandika pumba ambazo zinakujia kichwani.

Udini ndio kitu kinachoweza kuiangusha Tanzania, kwa sababu kuna watu wanadhani wako entitled kuwa kwenye nafasi za juu za uongozi, wako entitled kuwa kwenye nafasi mbalimbali za uongozi katika idara na wizara mbalimbali. Hali hii isipobadilika vichwani mwa baadhi ya watu, sitoshangaa umoja wa Tanzania ukitetereka. Entitlement ni kitu kibaya sana.
 
Hesabu mwenyewe na utupe hesabu. Kumbuka 75% niliandika ni wabunge wakristo wa TZ bara. Nilifanya hivyo kwa sababu wao wana ZEC Nasi tuna yetu. Zingatia kuwa nilangalia Wabunge na sio baraza la wawakilishi.
 
..nadhani kuna watu wanajua kukusanya data lakini kuzichambua na kuzitafsiri ni tatizo kubwa sana.

..ningependa sana tuletewe data zinazoonyesha matumizi ya kila dhehebu ktk sekta ya elimu. hiyo itasaidia sana kujua hali yetu itakuwa vipi 15 to 20 yrs frm now.
 
Kusoma na kuchangia mada hii ni kushiriki ktk UDINI....
 
Hesabu mwenyewe na utupe hesabu. Kumbuka 75% niliandika ni wabunge wakristo wa TZ bara. Nilifanya hivyo kwa sababu wao wana ZEC Nasi tuna yetu. Zingatia kuwa nilangalia Wabunge na sio baraza la wawakilishi.

Wabunge nimeweka na majimbo yao yana julikana kuwa ni ya Bara au wapi. Kabla sija hesabu na kucalculate nakuomba tena uhesabu idadi hizo na tuone kama wabunge wa Bara ni 75% hapa nataka kukuweka on record ili tutumie kama reference baadae.

Pia kumbuka wabunge huchaguliwa na wananchi. Sasa udini hapo unatoka wapi? Idadi kubwa ya wabunge ni wa CCM na hao mpaka kupitishwa kugombea kupitia chamachao ni lazima vile vile waende kwa wananchi. Kwa hiyo sielewi pia logic yako ya udini kwenye idadi ya wabunge.

So tuende logically hapa. Kama kweli idadi ya wabunge wakristo Tanzania bara ni 75%(nasema kama maana saurce ya wabunge niliyo leta inaonyesha picha tofauti) na Tanzania Bara idadi ya Waislamu ni wengi kwa asilimia kadhaa kuliko wakristo hiyo ina maanisha nini? Utakacho kuwa una thibitisha wewe ni kwamba kuna sehemu zina majority Muslims lakini bado waka chagua mbunge Mkristo. Sasa hapo udini upo wapi?

Mwisho kabisa ulitoa takwimu kuhusu ajira serikalini na idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Nimekuomba source ya hizo takwmiu toangalia authenticity yake bado haujatoa. Usipo toa source basi hizo takwimu nita amini kwamba ume zitoa tu kichwani. Please tupe saurce ya takwimu zako.
 
Last edited:

kwani aliyeanzisha mada hii aliposema kuwa mwantum mahiza,professor dihenga na jumanne maghembe walijuaje kama ni waislam? Mliwatendea haki hawa? Ndio misingi ya dini mnayoiamini? Swali hili ungemuuliza muanzisha mada.
kifupi mimi nimefanya utafiti sikukurupuka.
 

wewe acha upumbavuu,hiyo concern ina data zipi???????leta data humu tuone...........
 
you are a real truth of your ownself...so it means you planned to kill them at mwembechai and now you wait for another chance...ooohh gosh!!!

Kulingana na mtoa maoni, Zawadi Ngedere, Watanzania woote wasio Waislamu wajione wana bahati ya ajabu kupata nafasi ya kuishi kwa amani na utulivu nchini mwao sababu wenye ridhaa ya amani Tanzania ndiyo kama hawa...





 

Acha uongo wapi na lini Tumtemeke Sanga alichukua Digri saba?vyuo gani alisoma?

kwanini Ni scan wakati wewe ndio unatakiwa uje na kopi ya gazeti hilo kuwa niliyoandika si ya kweli. Gazeti lipo Maktaba acha uvivu nenda kasome. nimweka Chumba, muda wa Interview namba za watahiniwa.unataka nini? kama Waislam hawana uwezo wawaite kwenye interview then waseme kuwa Walishindwa kwenye Interview.
AIBU KWENU WAKRISTU KWA KUWAKANDAMIZA WAISLAM.
 

mimi NIKO HAPA JF KABLA WEWE HUJAJIUNGA,MATUSI NA KASHFA UNATOA WEWE NA LEO UNALALAMIKA NINI? HUJAJIBIWA UNALALAMA KAMA MBWA ASIYE NA BWANA.

SOMA MICHANGO YAKO KAMA INALETA SENSE? NAONA MODERATOR HAWAFANYI KAZI YAO ILITAKIWA UWE UMEFUNGIWA.ENDELEA NA MATUSI SISI TUNAMWAGA DATA UMMA UNAELEWA NA KUAMKA.

ZAWADI NGODA MSIMJIBU HUYU GALATIA ANATAKA KU KUPOTEZA MUELEKEO WA MADA KWANI TUMEWASHIKA VIBAYA SANA HAWA JAMAA.WAMELETA UZUSHI UDOM NIKAWABANA NA MZUMBE WAMEKIMBIA.

HAPA WAMEKUJA NA PUMBA ZAO NAWABANA NDANI NA NJE SASA WANATAFUTA KWA KUTOKEA.

WAMESHINDWA KUSEMA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA ELIMU NI CELESTINE GESIMBA MKRISTU MWENZAO.
 
wewe acha upumbavuu,hiyo concern ina data zipi???????leta data humu tuone...........

Mosi, data muulize aliyeleta mada
By the way, wewe sio tu ni mpumbavu bali pia ni choko.
 
Last edited:
mimi NIKO HAPA JF KABLA WEWE HUJAJIUNGA,MATUSI NA KASHFA UNATOA WEWE NA LEO UNALALAMIKA NINI? HUJAJIBIWA UNALALAMA KAMA MBWA ASIYE NA BWANA.

Unajuaje kuwa ulijiunga kabla yangu Ewe Boko Haram? Tuliza kipago ktk hili maana unaaanza kuonesha level yako ya ufahamu ilivyo finyu. Pili matusi na kashfa adhabu yake ni kifungo ni sio kufuta posts. MODS wanaogopa hili maana wanajua nao ni LOGIC SUFURI kama wewe, wakiambiwa wathibitishe matusi au kashfa ni nini MNASHINDWA. Sasa hapo mbwa ni nani? Jibu nadhani unalo.

SOMA MICHANGO YAKO KAMA INALETA SENSE? NAONA MODERATOR HAWAFANYI KAZI YAO ILITAKIWA UWE UMEFUNGIWA.ENDELEA NA MATUSI SISI TUNAMWAGA DATA UMMA UNAELEWA NA KUAMKA.

Unamwaga data za kitabu cha al Qaeda , Chapter nzima? Nadhani hii ndio Great Thinking ambayo MODS wanaitaka, endeleeni. Halafu unaleta tangazo la gazeti eti Wizara inachuja Wasilamu! Ukileta upupu kama huu kwenye hadhara ya watu wenye akili mdebwedo kama wewe wanakuona genius, lakini sisi wenye busara zetu tunajua umeishiwa hoja, ok hata hivyo sijakaa kuona ni lini umeleta hoja. Maana umekuwa ukishusha pumba mfululizo bila breki kaa mtu anayeendesha bila leseni.

Eti unasema jamaa yako amekatwa huku akiwa na ma-certificate kibao, inaonekana kwako kitu kinachoitwa RELEVANT QUALIFICATION ni msamiati wa kichina. Wewe na huyo jamaa yako ni sore losers tu, hata ningekuwa mimi kwenye dawati la usaili ningewakata kwenye raundi za awali, maana mnakosa very basic principles za kujua mahitaji ya kazi mnayoomba. Kama kazi inahusu profession A wewe unaleta mi-certificate ya B,C na D, ni wazi hujasoma na kama umesoma hujaelimika hivyo not fit for the job.


ZAWADI NGODA MSIMJIBU HUYU GALATIA ANATAKA KU KUPOTEZA MUELEKEO WA MADA KWANI TUMEWASHIKA VIBAYA SANA HAWA JAMAA.WAMELETA UZUSHI UDOM NIKAWABANA NA MZUMBE WAMEKIMBIA.

Unajua mfano wa Galatia ni nani? Galatia ni wale jamaa waliorubuniwa na kuanza kuwafuata waliojianzishia dini zao wenyewe na kujisingizia kuwa wametumwa na Mungu, mitume bandia, sasa go figure nani anafit haya maelezo.

HAPA WAMEKUJA NA PUMBA ZAO NAWABANA NDANI NA NJE SASA WANATAFUTA KWA KUTOKEA.

WAMESHINDWA KUSEMA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA ELIMU NI CELESTINE GESIMBA MKRISTU MWENZAO.

Inaonekana bado hoja yangu haijakuingia kichwani, au ndo umeshameza heater unachemka na kudhani kila asiye msilamu ana fikra potofu dhidi ya usilamu. Mimi msimamo wangu uko palepale na nilishauweka bayana kuwa vyeo vya kuteuana vikomeshwe, na vikikomeshwa wakufunzi wa kulalama kama wewe na muanzisha mada mtakosa la kusema na kubaki kuinamisha vichwa chini. Ila ninyi mnaodhani kuwa vyeo vinapaswa kugawanywa kwa staili kama baba anavyowagawia watoto wake peremende endeleeni hivyohivyo na kila siku mtarudi hapa ndani kulumbana.
 
Haika nakubaliana na wewe kwa % 100. Utezi wa JK wowote ule ni waislamu. Sijui kama kweli hao watu wote wanasifa za uongozi au anaokota tu ilimradi waislam.

Tarehe 29 november 2008 JK aliteua makatibu wakuu wafuatao.

1.DR.FOLENCE TURUKA -WIZARA YA HABARI-MKRISTU

2-RAMADHAN KIJJAH-HAZINA-MUISLAM.

3-JOYCE MAPUNJO-VIWANDA NA BIASHARA-MKRISTU.

4-ANDREW NYUMAYO-WIZARA YA ULINZI-MKRISTU.
HAPO JUU 75%NI WAKRISTU.

AKATEUA MANAIBU MAKATIBU WAKUU SAMBAMBA NA MAKATIBU WAKUU HAO.
NAO NI KAMA IFUATAVYO.
1.DR.PHILIPH MPANGO WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI-MKRISTU.
2.CELESTINE GESIMBA-WIZARA YA ELIMU -MKRISTU.
3.SETI KAMUHANDA-WIZARA YA MAMBO YA NJE -MKRISTU.
HAPA ASILIMIA 100 WOTE NI WAKRISTU.

AIDHA MUELEWE KUWA SETI KAMUHANDA ALITEULIWA NA JK KUWA MWANIDSHI WAKE WA HOTUBA KABLA YA UTEUZI HUO.
MPANGO NAYE ALIKUWA MSAIDIZI WA RAIS JK KWENYE UCHUMI.WOTE ALIWATEUA AKIJUA NI WAKRISTU.

NAOMBA NIKURUDISHE MARCH 27 2009 AMBAPO JK ALITEUA WAKUU WA WILAYA 15 KATI YA HAO WATU 15 WAISLAM WALIKUWA WANNE TU.

WALIOTEULIWA NI1. MERCY SILLA(KARATU),2.NORMAN SIGGALA AMBAYE ANA PhD FEKI (HAI).3.KANALI ISSA NJIKU(MISENYI),

4.ANGELINA MABULA(KARAGWE).5-DKT REHEMA NCHIMBI-NEWALA, 6-FRANCIS ISSACK-MBULU.
7.BENEDICT KITENGA(RORYA). 8.COSMAS KAYOMBO-MBARALI.

9-CHRISTOPHER ROBYA-KWIMBA.10.QUEEN MWANSHINGA MLOZI(UKEREWE).
11.FATMA MWASSA(MVOMERO).12.FATMA ALLY(NAMNYUMBU)

13.JUMA MADAHA(TUNDURU).14 ANATORY CHOYA-KISHAPU NA 15 NI ERASTO SIMA-TANGA.JEE HII NDIO ASILIMIA MIA YA WAISLAM WANAOTEULIWA NA JK?

SWALI HATA KAZI ZA UKUUU WA WILAYA HAKUNA WAISLAM?

KWELI BETTY MKWASSA AMBAYE NI KIDATO CHA NNE AU JOHN GUNINITA AMBAYE ANA ELIMU NI DARASA LA SABA ALIPEWA UKUUU WA WILAYA RUFIJI NA MKAPA.
KWELI UNAMPA MTU MWENYE ELIMU YA DARASA LA SABA MJI HUO WA RUFIJI UTAPIGA HATUA? HATA KAMA WAISLAM HAWAJASOMA LAKINI SIO KUWA HAKUNA DARSA LA SABA KAMA GUNINITA AMBAO WANGEPEWA UKUU WA WILAYA.

JULY 13 MWAKA HUU 2009 JK ALITEUA MAJAJI 10 KATI YA HAO 10 WAISLAM NI WATATU NA WANAWAKE NI SITA.

TOKA AFANYE TEUZI YAKE YA KWANZA YA MAJAJI 2006 DECEMBER ALIPOTEUA MAJAJI 20 ALIKUWA ANA NIA YA KUBALANCE UWAKILISHI WA WANAWAKE KWENYE VYOMBO VYA JUU VYA MAAMUZI ALIANZA NA ASILIMIA 30 KWENYE MAJAJI 20.

MAJAJI 10WALIOTEULIWA JULY 13 1-NI FERDINAND WAMBALI,2-ELIAMANI MBISE,3-SEKELA MOSHI,4-FATUMA MASENGI,5-SIRANGILWA MWANGESI,6-PELLAGIA KADAY,7-MOSES MZUMA,8-HAMISA KALOMBOLA,9-FREDRICA MGAYA.10-PROFESSOR IBRAHIM JUMA. WAISLAM NI WATATU.NA MAJAJI SABA NI WAKRISTU.

MWEZI MAY 24 2008 JK ALITEUA MAJAJI 11 KATI YAKE SABA WALIKUWA WANAWAKE UTEUZI HUO ULIZINGATIA NAFASI ZA WANAWAKE KAMA ALIVYOFANYA HUKO NYUMA.

WALIOTEULIWA NI SOPHIA WAMBURA,CRECENCIA WILLIAM,ZAINAB MURUKE,UPENDO HILLARY MSUYA,ATUGANILE FLORIDA NGWALA,ROSE TEMBA,REHEMA MKUYE,KASSIM NYANGARIKA,GABRIEL KAMUGISHA,IBRAHIM SAYIDA MIPAWA,LAWRENCE KADURI,SAMBAMBA NA HILO ALIMTEUA FERDINAND WAMBALI LEONS KUWA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI. JEE ASILIMIA 100 YA WAISLAM IKO WAPI HAPO?

DECEMBA 2006 ALITEUA MAJAJI 20 KWA MARA YA KWANZA. HAPA WANAWAKE WALIKUWA ASILIMIA 30.WALIOTEULIWA KUWA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU NI ALICE CHINGWILE,IMAN ABOUD,STELLA MUGISHA,AISHA NYERERE,AISHIEL SUMARI,ALOYCE MUJULIZI,GEOFREY SHAIDI,

AUGUSTINO MWARIJA,ZAIDUN CHOCHA,AUGUSTINO SHAYO,SEKIETI KIHIYO,SHABAN LILLA,LAWRENCE UZIA,FREDERICK WEREMA,KAKUSULO SAMBO,AGATHON NCHIMBI NA ROBERT MAKARAMBA. JEE HAO ANAOWAPENDELEA JK MNAOWAITA WAISLAM WANGAPI HAPO?

UKITIZAMA GRAPH YA WANAWAKE AMBAYO ALITAMKA WAZI ANATAKA IPANDE IMEKUWA IKIPANDA KADRI ANAVYO CHAGUA TOKA KWENYE ASILIMIA 30 HADI ZAIDI YA ASILIMIA 60 ALIPOTEUA MAJAJI SABA WANAWAKE KWENYE MAJAJI 11.MBONA GRAPH YA WAISLAM INASHUKA?

KWENYE WAKUU WA WILAYA 15 WAISLAM NI WANNE JEE UPENDELEO WA JK UKO WAPI> MKAPA ALIWEZA KUTEUA WAKUU WA WILAYA 15 NA WAKRISTU WAKAWA WANNE?

JK ALIPOINGIA TU ALIWATEUA ELSIE KANZA KUWA MSAIDIZI WAKE WA UCHUMI NA PREMIERE KIBANGA KUWA MWANDISHI WA HABARI AKISAIDIANA MAURA MWINGIRA WOTE NI WAKRISTU.MPIGA PICHA WAKE NI MDOGO WAKE MAMA MKAPA FREDDY MARO AMBAYE NI MKRISTU.

LABDA NIKUPE BAADHI YA WATU WALIOTEULIWA KUWA WENYEVITI WA BODI MBALIMBALI NA JK MWENYEKITI WA BODI YA TBC NI WILFRED NYACHIA KACHAGULIWA KIASI CHA WIKI SITA TU ZILIZOPITA.

MAREHEMU NYAULAWA RICHARD ALITEULIWA KUWA MWENYEKITI WA PARETO NA JK.

PROFESSOR RAPHAEL MWALYOSI MWENYEKITI-BONDE LA MTO RUFIJI.
PETER NGUMBULU -TANESCO.

BLANDINA NYONI-MWEYEKITI-NSSF.

FLOWN NYONI-BASATA HAWA NI WAKRISTU WALIOTEULIWA NA JK.

JK AMEWATEUA WATU KAMA TIDO MHANDO ELIMU YAKE KIDATO CHA NNE NDIO CEO TBC.

22-04-09 KAMTEUA CLEMENT MSHANA KUWA MKURUGENZI MAELEZO.
THOMAS KASHILILLAH KATIBU WA BUNGE AMBAYE ANAAJIRI WAKRISTU-WAKATOLIKI WATUPU BUNGENI.

OFISI YA WAZIRI MKUU KATIBU MKUU NI PANIEL LYIOMO AKISAIDIANA NA FANUEL MBONDE NAIBU KATIBU-TAMISEMI. JEE KWANINI HAMSEMI KUWA OFISI YA WAZIRI MKUU NI YA WAKRISTU?

PINDA KAMTEUA NANI MUISLAM TOKA AKIWA WAZIRI TAMISEMI ALICHUKUA WATENDAJI WA HALMASHAURI WOTE WAKRISTU.

KUSEMA KUWA JAKAYA MRISHO ANAWAPENDELEA UISLAM NI KUMCHEKA UJINGA KWA ANAVYOJIPENDEKEZA KWA WAKRISTU LAKINI WAO HAWANA SHUKRANI NAE YAANI PAMOJA NA KUWAFANYIA HAYA YOTE BADO WAKRISTU WANAMSHUTUMU NA KUSEMA KUWA WATAMUONESHA 2010 KWA UDINI WAKE?

KINA ABDULHAKIM LETENI FACTS SIO FICTION. NILICHOWEKA HAPA KINAITWA HARD FACTS.
 
KINA ABDULHAKIM LETENI FACTS SIO FICTION. NILICHOWEKA HAPA KINAITWA HARD FACTS.

Abdulhalim is the name,

Nakushauri uanze kusoma posts zangu kuanzia mwanzo wa thread ujue nilichokiongea, sipo interested na kujadiliana kwa makelele bila kuwa na misingi ya mjadala au hoja. Misingi ya hoja zangu nilishaiweka, ipo clear. Sina la zaidi la kuongezea maana huna jipya unaloliongea, umejaa jazba na ndio maana akili yako haifanyi kazi, as a result hoja zako zimejaa upumbavu.
 
kama je walioomba wana vigezo zaidi ya waliokosa?
Una ushahidi?
I hate this!!!
Najua appointments za jk nyingi ni za waislamu, ila kama utendaji wao ni mbovu inabidi watolewe, na si

ushahidi nimekuwekea soma daily news la 03/-06.09.home work nenda library ukalisome,nyie si wasomi sasa mbona unaona uvivu kwenda maktaba ya taifa uone kopi mcezo mchafu wa ajira unaoratibiwa kanisani?

nimekujibu kuhusu appointments za jk anateua wakristu wengi na hamna shukrani. 28.nov makatibu wakuu wanne wakristu watatu, muislam mmoja.

akajaza manaibu makatibu wakuu watatu wakristu watupu.
majaji 10 july 2009 waislam watatu tu.
wenyeviti wa bodi wa taasisi na mashirika wengi wakristu kateua.

wakuu wa wilaya 15 na waislam wanne.waliobaki wakristu.naomba data au unakurupuka tu kama mtu wa mataifa?
 

naona wewe ni mmoja wa waliopata hizi kazi za wizara ya NISATI KWA UPENDELEO.

HR MZURI AMBAYE ANAMCHAGUA MTU MMOJA AENDE KWENYE INTERVIEW YA NAFASI MOJA?BASI ANGEMPA KAZI MOJA KWA MOJA BILA KUMWITA KWENYE USAILI.UNASAILI NINI?INATAKIWA NAFASI MMOJA WATU WATATU HAO NDIO PROFESSIONAL HR SIO HUYU WA KANISA WA NAFASI NA MTU MMOJA.ANGEITA WATATU WOTE WAKRISTU ATLEAST TUNGEMUELEWA.

SHAME ON YOU KWA KUENDEKEZA UZEMBE KAMA HUU.
 

anakerwa na nini wakati amesHindwa kusema kuwa SKOLASHIPS HIZO ZILIKUWA NGAPI,KAPEWA NANI WAMEKWENDA NCHI GANI,LINI NA WAPI ZOEZI HILO LILIFANYIKA?

NILICHOONA NI CHUKI NA MAJUNGU AMBAYO KAAMUA KUYAPIKA KWA SABABU ZA WAZI NAZO NI CHUKI DHIDI YA WAISLAM NA JK.ATUPE DATA NANI KAPEWA YUKO KIMYA. MIE NAMWAGA TU MIDATA YANGU.MTOA MADA KIFUPI NI MZUSHI.
 
ushahidi nimekuwekea soma daily news la 03/-06.09.home work nenda library ukalisome,nyie si wasomi sasa mbona unaona uvivu kwenda maktaba ya taifa uone kopi mcezo mchafu wa ajira unaoratibiwa kanisani?

Inaonekana bado sana faculty yako ya understanding and reasoning ina matatizo makubwa. Ktk post mojawapo walizoziondoa hawa ma-MODS vihiyo niliomba ulete uthibitisho kuwa ktk hiyo shortlisting criteria, kuu ktk mojawapo ilikuwa ni DINI, umeshindwa kulithibitisha hili. Na sidhani kama unazo nyenzo za kulithibitisha hili.

Mosi, ungekuja na hilo jopo la usaili ukathibitisha kuwa kweli lina matatizo ya kupendelea dini moja dhidi ya nyingine - Hili hujafanya.

Pili, ungekuja na TOR ya kila nafasi iliyotangazwa ili tujue mahitaji ya kila nafasi- hili hujafanya.

Tatu, ungekuja na ripoti ya kamati ya usaili, na viambatanishi vyake wakti wa ku-shortlist, kuonesha kwa vipi kila aliyeomba ; aliyepita ana vigezo vipi na alikatwa ameshindwa wapi -hili pia hujafanya.

Nne, ungekuja na majina ya yote walioomba na testimony zao kukiri kuwa ni wafuasi wa dini fulani, - Maana tunajua dini sio jina. Hapa ungeleta listi yote na takwimu kuonesha wailsmau waliokatwa ni wangapi, wapagani, wakristu na watu wa dini nyengine ni wangapi. Na ktk mfululizo huohuo ni wangapi wamepita mchujo. Hili hujafanya.

Etc etc..

Kwa kuzingatia yote haya, nadhani huna tofauti na muanzilishi wa hii thread. Madai yako sio ya kisomi na hayana ushahidi; na nachelea kuyaita ya kipumbavu. Nakukumbusha kuwa usidhani kuwa audience ya JF imesheheni watu wenye fikra duni kama wewe. Hapa hoja inatestiwa kama ina-hold water au la, hatuendi kama tupo kwenye mikutano ya akina Mazinge.



Hujanijibu chochote!

Mimi nipo against appointments, wewe unanipa mifano ya appointments za JK..Hivi una akili kweli wewe?

Naona unanipotezea wakati. Nakushauri endelea kujibizana na wenye fikra duni wenzako. I'm too smart to waste my precious time any longer.

Phew!
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…